Mzee Mwanakijiji
Platinum Member
- Mar 10, 2006
- 33,771
- 41,027
Nimemaliza kuangalia hotuba ya JK Umoja wa Mataifa jana; kuna mengi amezungumza (mtayasoma kwenye magazeti) kitu kimoja ni kuwa inaonekana hakufanya mazoezi kuisoma hiyo hotuba kabla yake maana alikuwa yuko frustrated kila akikosea na kufanya ile "chi" ya kiswahili kama msonyo fulani hivi.
Alikuwa anajaribu kuzungumza kwa haraka lakini nadhani maneno yake yalikuwa yanakimbia zaidi ya maandishi aliyokuwa anasoma. Najaribu kuwawekea hotuna nzima klhn na unaweza kuiona pia kwenye UN website.
Hii si mara ya kwanza delivery yake ya speech inaleta matatizo; ile ya Dodoma alijikuta anaongeza mambo mengi kuliko ilivyokuwa imeandikwa.... what is the problem?
Labda afya ya mkewe inamchanganya

inawezekana lakini the question ni Mke yupi ?

We need to see/hear what he said so as to make our own judgement on the substantive issues. He is supposed to have a proficient/prolific speech writer but again he ought to have read it in advance to avoid such embarassments.
Who is that proficient/ prolific speech writer?

The president normaly has a speech writer! This person is supposed to do his/her work with proficiency!..Checking both substance and other things including flow of thoughts, grammar etc......
If you want to know who this person is... then may be other contributors may help as I dont know the current one!
Mtoto wa Makamba, kwa jina Januari. Hata muda wa kumfanyia mzee research hana maana yuko busy na vijitoto 24 hours!