Kikwete frustrated at the UN?

Kikwete frustrated at the UN?

Mzee Mwanakijiji

Platinum Member
Joined
Mar 10, 2006
Posts
33,771
Reaction score
41,027
Nimemaliza kuangalia hotuba ya JK Umoja wa Mataifa jana; kuna mengi amezungumza (mtayasoma kwenye magazeti) kitu kimoja ni kuwa inaonekana hakufanya mazoezi kuisoma hiyo hotuba kabla yake maana alikuwa yuko frustrated kila akikosea na kufanya ile "chi" ya kiswahili kama msonyo fulani hivi.

Alikuwa anajaribu kuzungumza kwa haraka lakini nadhani maneno yake yalikuwa yanakimbia zaidi ya maandishi aliyokuwa anasoma. Najaribu kuwawekea hotuna nzima klhn na unaweza kuiona pia kwenye UN website.

Hii si mara ya kwanza delivery yake ya speech inaleta matatizo; ile ya Dodoma alijikuta anaongeza mambo mengi kuliko ilivyokuwa imeandikwa.... what is the problem?
 
M.M

Kaka unashangaa nini? The man is not serious at all....! Mambo mengi handling capacity poor
 
Watu makini huwa wanajiandaa kikamilifu kabla ya kutoa speech hata kapresentation kadogo tu iweje mtu unahutubia UN unashindwa kupitia hotuba yako?
 
Bi ametingwa na vijisafari...mwili umechoka maana na yeye amekuwa nadhani "mwekezaji"ndio jina litalomfaa kwa sasa....
 
Hii si mara ya kwanza delivery yake ya speech inaleta matatizo; ile ya Dodoma alijikuta anaongeza mambo mengi kuliko ilivyokuwa imeandikwa.... what is the problem?

Hivi watuw a Ikulu hawajamaliza tu kuongeza hayo maneno mengine na kuichapa hotuba na kuigawa?
 
JK ujuaji unamsumbua .Anadhani pale ni kama siku ile pale Ikulu anashindwa kuweka sahihi anachukua dakika tano kuweka sahihi yake mwenyewe .Mzee wetu ubishoo mwingi na kulemba .
 
Nimemaliza kuangalia hotuba ya JK Umoja wa Mataifa jana; kuna mengi amezungumza (mtayasoma kwenye magazeti) kitu kimoja ni kuwa inaonekana hakufanya mazoezi kuisoma hiyo hotuba kabla yake maana alikuwa yuko frustrated kila akikosea na kufanya ile "chi" ya kiswahili kama msonyo fulani hivi.

Alikuwa anajaribu kuzungumza kwa haraka lakini nadhani maneno yake yalikuwa yanakimbia zaidi ya maandishi aliyokuwa anasoma. Najaribu kuwawekea hotuna nzima klhn na unaweza kuiona pia kwenye UN website.

Hii si mara ya kwanza delivery yake ya speech inaleta matatizo; ile ya Dodoma alijikuta anaongeza mambo mengi kuliko ilivyokuwa imeandikwa.... what is the problem?

He is unqualified for that position.
 
Mnamuonea. Pale mahali panatisha! Halafu msisahau kuwa amefunga. Hawezi kunywa maji hata koo ikikauka.
 
Hata yule anayesafiri nae naye ni mgonjwa yule wa wizara ya mambo ya nje na ushirikiano wa kimataifa ?

Leo nimeona kikatuni amerushiwa jiwe na chama cha walimu
 
We need to see/hear what he said so as to make our own judgement on the substantive issues. He is supposed to have a proficient/prolific speech writer but again he ought to have read it in advance to avoid such embarassments.
 
Who is that proficient/ prolific speech writer?
 
The president normaly has a speech writer! This person is supposed to do his/her work with proficiency!..Checking both substance and other things including flow of thoughts, grammar etc......
If you want to know who this person is... then may be other contributors may help as I dont know the current one!
 
ok.............
 
Mtoto wa Makamba, kwa jina Januari. Hata muda wa kumfanyia mzee research hana maana yuko busy na vijitoto 24 hours!

Huyu jamaa namsikia sikia tu....who the hell is this guy? Ana uzoefu gani katika mambo ya kuandika spichi? Au uzoefu wake kautoa youngafrican kubishana na kina Critic na Bill Powers.....
 
Back
Top Bottom