Mzee Mwanakijiji
Platinum Member
- Mar 10, 2006
- 33,771
- 41,027
Nimemaliza kuangalia hotuba ya JK Umoja wa Mataifa jana; kuna mengi amezungumza (mtayasoma kwenye magazeti) kitu kimoja ni kuwa inaonekana hakufanya mazoezi kuisoma hiyo hotuba kabla yake maana alikuwa yuko frustrated kila akikosea na kufanya ile "chi" ya kiswahili kama msonyo fulani hivi.
Alikuwa anajaribu kuzungumza kwa haraka lakini nadhani maneno yake yalikuwa yanakimbia zaidi ya maandishi aliyokuwa anasoma. Najaribu kuwawekea hotuna nzima klhn na unaweza kuiona pia kwenye UN website.
Hii si mara ya kwanza delivery yake ya speech inaleta matatizo; ile ya Dodoma alijikuta anaongeza mambo mengi kuliko ilivyokuwa imeandikwa.... what is the problem?