Kikwete: Hata Marekani na Uingereza bado zinapambana na changamoto mbalimbali za maendeleo

Kikwete: Hata Marekani na Uingereza bado zinapambana na changamoto mbalimbali za maendeleo

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Rais mstaafu mzee Kikwete amesema binadamu ili awexe kuishi ni lazima apambane na changamoto za kimaendeleo, ndio maana ana ubongo ili aweze kufikiri.

Mstaafu mzee Kikwete ameyasema hayo jijini Arusha alipokuwa anafungua mradi wa maji.
Kikwete amesema hata Marekani na Uingereza bado hadi leo zinapambana na changamoto mbalimbali za kimaendeleo pamoja na ukubwa wao.

Source ITV habari!

Maendeleo hayana vyama!
 
Back
Top Bottom