Uwezo Tunao
JF-Expert Member
- Nov 14, 2010
- 6,942
- 1,191
Mkuu, tatizo letu ni nani wa kumfunga paka kengele! Nani anajitolea Muhanga kuongoza mapambano haya? Je ni Wa-TZ wangapi wanayo dhamira ya kweli (kama unavyoonesha wewe) ya kuikomboa inji hii? TAFAKARI, CHUKUA HATUA!
Mkuu nilikuwa ninamaanisha kwamba kama haya yamemshtua dada Jane, then inawezekana akijuwa yote anaweza pata heart attack lolTatizo kubwa kwe wenzetu mliowengi ni kwamba nyinyi ni MA-THOMASO; hamuamini hata siku moja hizi dondoo tunazozishusha hapa JF mpaka pale muwe mmeona kwa macho au kugusishwa kabisa kwa mikono.
Na hiyo ndio maana dozi ya taarifa nyeti hudondoshwa kwa mtindo wa dondoo ili nao wenye presha wasome, wachukue hatua lakini bila kupoteza uhai.
Siasa zetu hivi karibuni ni zaidi ya mchezo ule wa watu makini sana duniani yaani CHASEBOARD. Tafakari juu ya tafakari ni muhimu sana maana hakuna njia zozote za mkato zitakazokua salama na zenye kheri kwa vyovyote vile.
JK naye hana dogo!pale ulipo-attempt kumfanya Zakhia kuwa makamu wa rais. Asingekuwa Edward, Rostam, Mkapa na Karume, leo hii Shein angekuwa mwenyekiti wa TPDC au TANAPA!.
Zakhia na Salma wapi na wapi mkuu wangu mbona umepotoshwa sana..JK naye hana dogo!
Si ni mama mkwe wake huyu jamani?
Ama ni rumours tu?
Mimi,mkuu kuusu othman na apson si kweli kua wapo kundi moja,hawa jamaa wana beef mbaya la chini kwa chini kwa sababu othman sio msikivu kwa apson ambaye ndio aliemfanya yeye awepo hapo.othman yupo kundi moja na jk HIYO NI UHAKIKA,
Mimi,
Naweza kukubaliana na wewe katika hili. Lakini Othman ni ndumilakuwili. Nasikia kuna wakati Kikwete alimwita na kumuuliza ni nani rais wa nchi hii akakaa kimya. Akamuuliza hizi ripoti unazoniletea ni nani mwingine anayepelekewa.
Mwenyewe hamu ninayo basi? Nimepatwa Na hofu Na woga wa ajabu. People are working eheee! They are very clever. Wanaoteuliwa, nilifikiri huteuliwa kwa uchapakazi kumbe huwekwa tu kwa Kazi maalumu! Hata huyu aliyeteuliwa juzi naye ukute yupo kwa maslahi ya watu hao, from ubalozini to CS wakati kina Yambesi wapo, tena wazoefu wazuri Na utumishi. Damn them.
Naona kama nimekupata kidogo. Nnachokiona dunia inaelekea mahali ambapo Policing itaanza kufanywa from the central point (katika level ya dunia) kuwainvestigate ikiwezekana hata viongozi wa nchi na kuwafungulia mashtaka. Hii njia hatuwezi kuiepuka na hasa ukitilia maanani kuwa uchumi wa dunia upo pabaya sana.
Mataifa makubwa yamekamua wananchi wao ili kusaidia masikini wa third world lakini misaada hiyo inaishia kwa wajanja wachache and the rest wanabaki masikini wa kutupwa. There will be a strategy to deal with this Mafia kwa nguvu zote, huko ndio tunakokwenda sasa.
Lets wait and see, ila this trend will come to an end, i do not know when though.
mkuu simtishi ila nawambia ukweli...ELairline haitawafikisha salama na hawatafika....huo ndio ukweli maan huyu jamaa tangu 2007 amekuwa akimfuta na kumpepea sana lowasa kwa kisingizio kwamba ndani ya ccm wote ni wezi..mda ukifika asinilaumu kuwa sikumwambia...
wee muache usimuamshe mapema atashtuka, anaweza akaruka na parachuti hahahahaha, muache akalipuke na ELairline akifikiri itadondokea baharini.
mkuu kuusu othman na apson si kweli kua wapo kundi moja,hawa jamaa wana beef mbaya la chini kwa chini kwa sababu othman sio msikivu kwa apson ambaye ndio aliemfanya yeye awepo hapo.othman yupo kundi moja na jk HIYO NI UHAKIKA,