Uwezo Tunao
JF-Expert Member
- Nov 14, 2010
- 6,942
- 1,191
Ondoa hofu, hakuna hata mtu mmoja aliyewahi kushinda vita DHIDI YA UMMA. Huyo paka mnywa damu za Watanzania atafungiwa zaidi ya kengele 10 miezi si mingi sana na wengi mlio waoga kamwe hamtoamini jambo hili.
Mkuu, tatizo letu ni nani wa kumfunga paka kengele! Nani anajitolea Muhanga kuongoza mapambano haya? Je ni Wa-TZ wangapi wanayo dhamira ya kweli (kama unavyoonesha wewe) ya kuikomboa inji hii? TAFAKARI, CHUKUA HATUA!