FairPlayer
JF-Expert Member
- Feb 27, 2006
- 4,145
- 723
Unamwondoaje Lowasa kwenye genge lake mwenyewe tena mwanae akiwemo? FP, nikiwafahamu marafiki zako wa karibu inatosha kukufahamu wewe ni nani.
Kaazi kwelikweli. Mimi ngoja nisubiri KATIBA MPYA. Ningekuwa na uwezo ningemfufua Mwalimu. Taabu yote hii isingekuwepo.Wildcard,
Mtoa habari ameongea sahihi. Hapa tulipofikia ni kiongozi wa aina ya Lowassa tu ndo anaweza kutukwamua na kupeleka maendeleo mbele. Kweli tunapenda personality maana kwa sasa inabidi aje MTU na ku change DIRECTION ya hili airline isiende chini.
Inatakiwa mtu mwenye KUWEZA KUONYESHA MAMLAKA na mwenye KUTHUBUTU ili tuweke mambo sawa. Nadhani tunamuhitaji Lowassa for only five years.
Then tunarudi kwa kiongozi wa aina mnayempenda nyie. Lowassa kwangu ni Transitional leader, aweke mambo sawa tu kisha awaachie (na naamini MTACHAFUA TENA)
Lowassa is a Tanzanian Kagame.
Sijui umeelewa?, mie ni beyond ushabiki na labda nina uchungu na nchi hii kuliko nyie. Kama unaye kiongozi wa aina ya Lowassa ambaye ni msafi kuliko Lowassa mtaje nami nikiridhika nitampigia debe mpaka lipasuke.
Wildcard,
Lowassa is a Tanzanian Kagame.
Kama unaye kiongozi wa aina ya Lowassa ambaye ni msafi kuliko Lowassa mtaje nami nikiridhika nitampigia debe mpaka lipasuke.
Kaazi kwelikweli. Mimi ngoja nisubiri KATIBA MPYA. Ningekuwa na uwezo ningemfufua Mwalimu. Taabu yote hii isingekuwepo.
Mkuu mbona sasa unaji contradict? Kwenye uzi huu huu (ukusara fulani) umeandika kwamba ENL kuchukua nchi hii ni lazima na ni kama count down ya new year,, sasa mbona unakuja kivingine tena?? Unaanza kunitia mashaka
Kaazi kwelikweli. Mimi ngoja nisubiri KATIBA MPYA. Ningekuwa na uwezo ningemfufua Mwalimu. Taabu yote hii isingekuwepo.
Sisi kule kwetu tunaamini kama mwanao umemzaa kweli, anakuwa KIVULI chako, kwa matendo na tabia. Ujana wa Lowasa unaufahamu? Wala hautakiwi kukubaliana na kila ninachokiandika.Wildcard,
Usijivishe upofu kwa sababu tu magazeti na mitandao yamekufundisha hivyo kuhusu mtu.
Hivi kweli unaamini EL anaweza kushare ujinga wa G8 (including mwanae)?, yaani baba na mwana wapo kama walivyozaliwa na kufanya hayo yaliyotajwa?!
Comeon kaka naanza ku doubt baadhi ya maandiko yako sasa.
Mke wa Hanga bado yupo. Ana maelezo mazuri tu juu ya kifo cha mmewe. Mtafute maeneo ya Upanga. Ya Sokoine tuliyaona sote kama tulivyoyaona ya Dr OA Juma.Naye tungeanza kumueleza kuhusu VIFO vya watu mbalimbali. Kuanzia Kassim Hanga to Sokoine.
Tunawasisitiza hakuna aliye MSAFI. Hata huyo SAINT alikua mchafu kwa namna yake. VIFO ni vibaya kuliko kuchukua rushwa maana imeandikwa USIUE!
Sisi kule kwetu tunaamini kama mwanao umemzaa kweli, anakuwa KIVULI chako, kwa matendo na tabia. Ujana wa Lowasa unaufahamu? Wala hautakiwi kukubaliana na kila ninachokiandika.
Wildcard,Sisi kule kwetu tunaamini kama mwanao umemzaa kweli, anakuwa KIVULI chako, kwa matendo na tabia. Ujana wa Lowasa unaufahamu? Wala hautakiwi kukubaliana na kila ninachokiandika.
FP,Wild Card,
Usitumie nguvu. Nipe jina nianze kupiga debe. Kama huna kwanini usijiunge na sisi?. Hili ndo tatizo la JF wengi mnapinga bila data.
FP,
Kwa sasa jina sina. Tutengeneze KATIBA nzuri tu. Jina litapatikana tu. Lowasa mwenyezi Mungu kama ni wetu sote atuepushe na kikombe hiki.
Tuambie sasa kuanzia hiyo Volkswagen TAP 180 hadi mali zisizohamishika na zinazohamishika anazomiliki sasa. Usianze na hadithi za kuuza vocha na maua za hivi karibuni.Wildcard,
Umejivishwa upofu na kusahau. Mtu ambaye maisha yake yote ya ujana kasoro miaka 23 iliyopita alikua anamiliki Volkswagen TAP 180 anawezaje kufanya starehe za aina ya G8?.
Mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni. Naona nakaribia kunyamaza maana argument zingine utafikiri mtu umeibiwa password ya JF! LOL
Tuambie sasa kuanzia hiyo Volkswagen TAP 180 hadi mali zisizohamishika na zinazohamishika anazomiliki sasa. Usianze na hadithi za kuuza vocha na maua za hivi karibuni.
KATIBA MPYA itamtupa Lowasa wako mbali kabisa kama sio JELA. Kama JMK anamgwaya kumfikisha mahakamani sasa, 2015 baada ya uchaguzi mkuu tutajua la kufanya na Rais mpya atakayekuwepo. Mali na Rasilmali za WATANZANIA lazima zirudi.ahahahahahahaha andaeni MISA MAKANISANI NA SALA MISIKITINI. AHAHAHH.
I am truly happy. JINA HUNA.
Nikanushe nini sasa! Mimi nimekuuliza tu unaufahamu ujana wake? Au hakuwahi kuwa KIJANA?Kabla ya kukwambia, kanusha kuhusu UJANA wake kwanza.
Wildcard,
Mtoa habari ameongea sahihi. Hapa tulipofikia ni kiongozi wa aina ya Lowassa tu ndo anaweza kutukwamua na kupeleka maendeleo mbele. Kweli tunapenda personality maana kwa sasa inabidi aje MTU na ku change DIRECTION ya hili airline isiende chini.
Inatakiwa mtu mwenye KUWEZA KUONYESHA MAMLAKA na mwenye KUTHUBUTU ili tuweke mambo sawa. Nadhani tunamuhitaji Lowassa for only five years.
Then tunarudi kwa kiongozi wa aina mnayempenda nyie. Lowassa kwangu ni Transitional leader, aweke mambo sawa tu kisha awaachie (na naamini MTACHAFUA TENA)
Lowassa is a Tanzanian Kagame.
Sijui umeelewa?, mie ni beyond ushabiki na labda nina uchungu na nchi hii kuliko nyie. Kama unaye kiongozi wa aina ya Lowassa ambaye ni msafi kuliko Lowassa mtaje nami nikiridhika nitampigia debe mpaka lipasuke.
umesha kula hela zake za kampeni wewe. umesahau kuwa ni kati ya watuhumiwa wakubwa wa UFISADI? Lipi limefanyika baya nchini la kushusha uchumi wa nchi huyo bebari hahusiki? Wacha siasa za ajabu humu ndani