FairPlayer
JF-Expert Member
- Feb 27, 2006
- 4,145
- 723
Unamwondoaje Lowasa kwenye genge lake mwenyewe tena mwanae akiwemo? FP, nikiwafahamu marafiki zako wa karibu inatosha kukufahamu wewe ni nani.
Wildcard,
Usijivishe upofu kwa sababu tu magazeti na mitandao yamekufundisha hivyo kuhusu mtu.
Hivi kweli unaamini EL anaweza kushare ujinga wa G8 (including mwanae)?, yaani baba na mwana wapo kama walivyozaliwa na kufanya hayo yaliyotajwa?!
Comeon kaka naanza ku doubt baadhi ya maandiko yako sasa.