Kikwete, huu mtandao ni hatari! Be careful, otherwise waweza kuwa historia (Part 1)

Kikwete, huu mtandao ni hatari! Be careful, otherwise waweza kuwa historia (Part 1)

Hapa naona lowassa anavyopata pesa za kuhonga walala hoi, pia naona isivyowezekana kumzuia kuingia ikulu ya magogoni!
 
Duh Hutaki Unaacha siku hizi umekuwa adimu sana kama sukari enzi za Mwl ebu kuja kipande hii.
 
Last edited by a moderator:
Mtandao hatari sana. Sasa mbona Shein hafananii na hivi vitu. Ila Kaliletwa kweli.
 
Naona unatumiwa na kundi dukani kuleta propaganda ambazo hazieleweki,wewe umetumwa huna lolote
 
Naona unatumiwa na kundi fulani kuleta propaganda ambazo hazieleweki,wewe umetumwa huna lolote
 
Watu sasa umefika waka wakutafakari na kutafuta mkombozi,,,hili kundi ni hatari sana kwa tanzania,, kama tungejua basi tungekaa nyuma ya MAGUFURI..
 
inaonesha jinsi gani tanzania game inavyochezwa na watu fulani fulani,, kuwa makini mtanzania maana huu uzi uliletwa 2011 na jamaa anaitwa KAMA HUTAKI UNAACHA.... Hii story inaangaza kitoakeacho sasa.... poleni watanzania tutumie akili maana haiwezekani watu zaidi ya mil45 tunaendeshwa na wehu wasiozidi 20..
 
Naona unatumiwa na kundi fulani kuleta propaganda ambazo hazieleweki,wewe umetumwa huna lolote

Mkuu angalia post ni ya mwaka gani, usiangalie hapa ulipo tu, angalia nyuma na uendako pia, Tanzania hii na viongozi wake ni zaidi ya uwajuavyo
 
Haya maigizo yalijulikana zamani kwa watu timamu,,, leo wafuata mkumbo wanatupigia kelele tu humu ndani,, EL ni tatizo na bomu linalotembea
 
Híi michezo ipo katika kila chama ama nchi yeyote unapofika wakati wa chaguzi, lakini mwisho wa yote watu hurudi kati na kumpa nafasi aliyeshinda kugombea na kuongoza, umesahau ya Obama na H. Clinton? Mbona le wanaendesha Taifa na kila mmoja kwa nafasi yake.

Humtishi kikwete wala humtahadharishi hapa umeleta story2 ya kupokea mwaka 2012 tukiburudika.. ccm imekomaa bwana haya yote yatapita na jembe la 2015 litapatikana kwa njia hz hz lakini patabaki kuwa shwari watu wakila bata. Hata ungekuwa wewe madarakani ni lazima wangekuwepo ambao hawakukuunga mkono wakati wa mchakato, ila baada ya hapo ni kufanya nao kazi.

JK unadhani ananoma na hilo?.. Semeni na mengine yeye anajuwa kilichomgusa mpaka akagombea urais.

Haaaaahaaa
Here we are today
 
Back
Top Bottom