Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kuna vitu havipo sawa
aliyemchagua Shein ni Mkapa na sio Kikwete...
Karume na Bilal hawaelewani.......hawapo kundi moja
Hapo kazi ipo 2015 kuna kila dalili za umwagikaji damu ktk nchi hii
Mkuu The Boss,
Ni kweli Shein alipendekezwa na Mkapa kuwa Makamu wa Rais wa Mkapa mara baada ya kifo cha Dr. Omar Ali Juma. Ilipokuja zama za JK, JK tayari alikuwa na chaguo lake ambalo watu wa mtaani wanasema alikuwa ni Mama Zakhia Meghji. So, according to Hutaki Unaacha na redio mbao nyingine za mtaa wa pili, Dr. Shein hakuwa chaguo la JK bali alikuwa ni chaguo la Mkapa. Hoja ya Mkapa kwenye kumtaka JK amrithi Dr. Shein kama Mgombea Mwenza ilikuwa ni kwamba ingeleta picha mbaya kwamba the guy amefanya kazi muda mfupi halafu anakuja kurukwa na kupewa mtu mwingine.
Kwa nyongeza tu, hata uteuzi wa EL kuwa PM, Mkapa hakukubaliana nao. Chaguo la Mkapa ilikuwa ni John Pombe Magufuli.
It is very true kwamba Dr. Bilal haivi na Karume kwa kuwa zama za Komandoo Dr. Salmin Amour, Karume alipigwa panga na Komandoo ili Dr. Bilal aweze kuingia Ikulu ya Unguja. Uteuzi wa Dr. Bilal kuwa mgombea mwenza ilikuwa ni kunusuru mpasuko ambao ungetokea Unguja haswa baada ya Dr. Bilal kupigwa chini. Lakini linapokuja swala la politics, huwa hakuna permanent enemies wala permanent friends. Binafsi sioni connection yoyote kati ya Dr. Bilal na Karume.
Lakini ukisoma maelezo ya mtoa mada, mengine yana ukweli na mengine yana walakini. Muhimu kila mmoja anatakiwa kuchanganya na zake then anafanya conclusion kivyake.
Wakati mwingine habari hizi huwa ni za kweli wakati mwingime ni porojo. Vijana tujitahidi kujadili mambo ya maendeleo msimu wa siasa ulikwishapita mwaka jana. Mfano sasa hivi vijana wa Kenya na Uganda wanafanya biashara tofauti tofauti huko Juba wana explore opportunity za South Sudan kila kitu kinauzwa kwa dola. Mazao hasa perishable goods yanasoko na ukifika ni cash yako then you flight back to Tz.
Aaaah mwenzako vya kunyonga siviwezi... ingawa Uislaam mgumu lakini itanibidi nibakie na imani yangu nguruwe kale wewe sana sana vinaishia chooni. Nitakula magimbi na mbaazi maana Vegetarian nao hufanikiwa mbona India wameweza!...Wee dandia tu hiyo meli ya Silver nini vile?...Safari ni hatua, safari ya kuelekea 2015 ndio hii imeanza, magari ni mengi na yanachomoka mbio tatizo mengine mengi hayatafika,
hivyo ni muhimu sana kuangalia ni gari gani unadandia ili ufike hiyo safari,
Karibu sana Mkuu Mkandara, kwenye gari letu linaloendeshwa na dereva bingwa mzoefu, Edward Lowassa
Hawa watu wa ajabu sana kila siku kujipanga kugombea madaraka kitu maendeleo kwa wananchi hakitamkwi tumechoka na thread hizi za watu wa mitandao na wenye uroho wa madaraka wakati umaskini unashambilia nchi na wanachi utafikiri kirus cha kompyuta au hiv
..Ndio maana mnalialia kila kukicha maisha magumu, hayawezi kuwa rahisi kama mnaamini story ya kutunga kama hiyo hapo juu.
..Andikeni sana! KIM JONG ILL wa N. Korea atafufukia Tz ndani ya Lowasa-Next presidenti, hii haina ubishi!:eyebrows:
Mtazamo, tumpe mara ngapi?. Yeye ndiye "The King Maker" aliyemuweka JK kwa zile fedha za Kagoda na sasa ndiye anayemweka EL mwaka 2015!. There is nothing we can do!.
Msiomkubali Lowassa, nawashauri bora mkubalini tuu vinginevyo!.
It is pity that in 2011, just a year after the 2010's election, we're already discussing presidential candidates for 2015. Five years in politics is a long time. More than enough for peril to be averted and political capital to be accumulated in the process. So, let's escape from that hypothetical and face the facts of brutal reality.
In 2015, the public will assess the present government in terms of the decisions made and the choices taken. They will also be delivering their verdict on the state of Tanzania in those five years. At the moment, what the public want to hear is not presidential candidates for 2015, but whether their problems are being heard and addressed.
Did I get you correctly????I know you'd be surprised and shocked if I were to tell you there is also this devilish plan, from some quarters, to give Kikwete, the best president we ever had, a third term in 2015 ! Reason ? Tumethubutu, tumeweza na tunazidi kusonga mbele !
Mkuu FP hapa si JF where we dare to talk openly!?Mchunguzi nenda kwenye PM nikueleze kwanini namkubali Lowassa, tujadiliane huKo mpaka mwisho. Achana na magazeti kaka na mtandao.
.Wakuu hii habari inanipa picha ya kuwa ni kweli. Waliokuwa Dodoma wanasema wakati EL anafunguka juu ya JK, Mkapa alikuwa anatabasamu kuonyesha kufurahia kilichokuwa kinaendelea pale ndani.
Pia kwa sasa bifu la JK na EL lipo wazi mno. It means wapo kwenye makundi mawili tofauti.
Taarifa za magogoni na kwa invincibles zinasema EL hatafika 2015 kwenye kugombea huo urais na kama atakuwa hai basi atakuwa ''vegetable''. MMM hujazinusa hizi?
Source: Subiri uone matukio yatakavyokuwa
Aaaah mwenzako vya kunyonga siviwezi... ingawa Uislaam mgumu lakini itanibidi nibakie na imani yangu nguruwe kale wewe sana sana vinaishia chooni. Nitakula magimbi na mbaazi maana Vegetarian nao hufanikiwa mbona India wameweza!...Wee dandia tu hiyo meli ya Silver nini vile?...
On the otherhand though, I think CCM wakimsimamisha Lowassa sisi tutakuwa na nafasi nzuri zaidi ya ushindi kuliko wakati wowote uliopita maana 2005 CCM walichagua mtu anayekubalika japokuwa msanii!...Safari hii wanaenda kinyume, watatereza kwa hiyo nadhani kidogo naelewa kwa nini Chadema wanamtaka Lowassa asimame... watammaliza vibaya sana kabla hata hajashtuka kama vibaka wa Daladala..
It's a blessing! - bring it on!