Kikwete, huu mtandao ni hatari! Be careful, otherwise waweza kuwa historia (Part 1)

Kikwete, huu mtandao ni hatari! Be careful, otherwise waweza kuwa historia (Part 1)

Wakuu hii habari inanipa picha ya kuwa ni kweli. waliokuwa Dodoma wanasema wakati EL anafunguka juu ja JK, Mkapa alikuwa anatabasm kuonyesha kufurahia kilichokuwa kinaendelea pale ndani.Pia kwa sasa bifu la JK na EL lipo wazi mno. it means wapo kwenye makundi mawili tofauti.
Taarifa za magogoni na kwa invincibles zinasema EL hatafika 2015 kwenye kugombea huo urais na kama atakuwa hai basi atakuwa ''vegetable''. MMM hujazinusa hizi?
Source; Subiri uone matukio yatakavyokuwa
 
kuna vitu havipo sawa

aliyemchagua Shein ni Mkapa na sio Kikwete...

Karume na Bilal hawaelewani.......hawapo kundi moja

Mkuu The Boss,

Ni kweli Shein alipendekezwa na Mkapa kuwa Makamu wa Rais wa Mkapa mara baada ya kifo cha Dr. Omar Ali Juma. Ilipokuja zama za JK, JK tayari alikuwa na chaguo lake ambalo watu wa mtaani wanasema alikuwa ni Mama Zakhia Meghji. So, according to Hutaki Unaacha na redio mbao nyingine za mtaa wa pili, Dr. Shein hakuwa chaguo la JK bali alikuwa ni chaguo la Mkapa. Hoja ya Mkapa kwenye kumtaka JK amrithi Dr. Shein kama Mgombea Mwenza ilikuwa ni kwamba ingeleta picha mbaya kwamba the guy amefanya kazi muda mfupi halafu anakuja kurukwa na kupewa mtu mwingine.

Kwa nyongeza tu, hata uteuzi wa EL kuwa PM, Mkapa hakukubaliana nao. Chaguo la Mkapa ilikuwa ni John Pombe Magufuli.

It is very true kwamba Dr. Bilal haivi na Karume kwa kuwa zama za Komandoo Dr. Salmin Amour, Karume alipigwa panga na Komandoo ili Dr. Bilal aweze kuingia Ikulu ya Unguja. Uteuzi wa Dr. Bilal kuwa mgombea mwenza ilikuwa ni kunusuru mpasuko ambao ungetokea Unguja haswa baada ya Dr. Bilal kupigwa chini. Lakini linapokuja swala la politics, huwa hakuna permanent enemies wala permanent friends. Binafsi sioni connection yoyote kati ya Dr. Bilal na Karume.

Lakini ukisoma maelezo ya mtoa mada, mengine yana ukweli na mengine yana walakini. Muhimu kila mmoja anatakiwa kuchanganya na zake then anafanya conclusion kivyake.
 
kama JK asipofika 2015 kwa sababu zozote zile
atakaekuwa incharge ni Bilal
na Bilal hawezi kuruhusu Karume apate tena madaraka
so bado game iko tight hapo....
na wote jk na Bilal afya zao sio nzuri saana
na mtu mwingine powerfull ni msekwa
asipokuwepo JK ni Msekwa atakaimu Uenyekiti...so jiulize Msekwa yupo kundi lipi????
 
Picha nayopata hapa kma hizi habari ni za kweli
Muungano wa Tanzania upo kusaidia zaidi kutomegeka kwa zenj. kuvunjikaa kwa muungao kutaitahiri zaidi zenj kuliko sisi bara . Japo wabunge wa zenj na wanasiasa wao wengi mdomoni wanaonekana kukerwa nao lakini uweli muungano ndio unawalinda.

Kuhusu huu mtandao. Sihani kama ni kweli huo mtandao alionyesh mleta mada ni hatari iasi hicho. Mtandao hatari kwa CCM na uhai wa CCM na TAIFA ni MAFISADI. Navyomjua Pinda hana siasa za majitaka kumshauri kucheza falo zozote boss wake JK .

Maskini ya ukiona wenye watu hatari na shein yumo unaweza kujua nani yupo nyuma ya propaganda hiyo. Yaani kumtaja Shein tika list yawatu hatari ni sawa na kumtaja Pinda.

Na kama sio Kucheza faulo basi mtandao hatari ni wa EL.Haya sasa tunaona na Mrithi wa luhanjo anatoka majuu. Hii yote ni kukwepa mapandikizi ya au kukwepa watu ambao wakipewa cheo hicho mtandao wa EL unaweza kutumika kuwacahafua( Sababu wanajua mafaili yao) na kumchafua JK

Mtandao hatari ni wa EL tu hao wengine wote
 
Wakati mwingine habari hizi huwa ni za kweli wakati mwingime ni porojo. Vijana tujitahidi kujadili mambo ya maendeleo msimu wa siasa ulikwishapita mwaka jana. Mfano sasa hivi vijana wa Kenya na Uganda wanafanya biashara tofauti tofauti huko Juba wana explore opportunity za South Sudan kila kitu kinauzwa kwa dola. Mazao hasa perishable goods yanasoko na ukifika ni cash yako then you flight back to Tz.
 
Siasa zinatumaliza vijana. Watu wanacheza na akili za wengine maana wanajua mwelekeo (sentiment) uko wapi.

Maisha yetu hayataboreka kwa mood hii hata tukiweka kile chama tunachokipenda sana. Tunaitaji kubadilika, tuanzishe biashara, tuwe wabunifu na kulipa kodi. Ufisadi upo kila sehemu maana wanadamu ni wale wale. Nenda US (Corporate scandals), nenda China pamoja na ukali wote rushwa kama kazi.

Cha msingi ni watu kupiga kazi na kuzalisha kwa wingi. Hata tuwe na democrasia hipi bila kuzalisha tutaishia kulalama tu. Resources tunazo bila kuzi-add value au kuzitumia wenyewe hata aje mwekezaji yupi hazitatusaidia sana.
 
Wakuu, Hili la nani kampendekeza Fulani, na fulani hakumtaka nani sioni Msingi wake hapa, kwani hao jamaa ni wao kwa wao huo ni Mduara wao kwa hiyo mkuu Pasco, Mkandara na wengine msitegemee kuvutwa huko si wanaimba Kuna wenyewe?
Hayo wote tunayahisi ndivyo yanavyokwenda kama hatuyajui kwa uhakika.

Hoja kwa mtoa Mada:
1.Uelewa wangu kutokana na Somo hili ni Kuwa Wewe ni "Mtoto wa Jikoni"ie ulikuwapo in Person kiasi ukashiriki kucheka jina la Shein lilipokosewa kwa mara tatu. Unataka tuamini hivyo??
2.Kwa vile unamfahamu vizuri JK kama unavyodai hapa, kwa nini usimpelekee ushauri wako Ana kwa Ana kwa uelewa ninaopata mimi, weew huwezi kuwa Mgeni kwake.
3.Huoni Kigugumizi chako kinaweza kusababisha Madhara ? Zile Vurugu na Fujo Usizozitaka hujui na sisi hatuzitaki pia!!
4.Tupe mifano Miwili ya Plani za JK alizopanga Zikafeli/kufelishwa na Jamaa hao.
5.Wakati Jussa anapokezwa Kitita kikao hicho ulikihudhuria? Au ulihudhuria cha Jussa kumkabidhi Maalim Seif ?

What am traying to Establish is A Sense of Reality and Realstic.

Tafadhali Muda usiwe kisingizio Tuletee sehemu ya pili Ukizingatia Hoja hapo juu.
Nawasilisha.
 
Safari ni hatua, safari ya kuelekea 2015 ndio hii imeanza, magari ni mengi na yanachomoka mbio tatizo mengine mengi hayatafika,
hivyo ni muhimu sana kuangalia ni gari gani unadandia ili ufike hiyo safari,

Karibu sana Mkuu Mkandara, kwenye gari letu linaloendeshwa na dereva bingwa mzoefu, Edward Lowassa
Aaaah mwenzako vya kunyonga siviwezi... ingawa Uislaam mgumu lakini itanibidi nibakie na imani yangu nguruwe kale wewe sana sana vinaishia chooni. Nitakula magimbi na mbaazi maana Vegetarian nao hufanikiwa mbona India wameweza!...Wee dandia tu hiyo meli ya Silver nini vile?...

On the otherhand though, I think CCM wakimsimamisha Lowassa sisi tutakuwa na nafasi nzuri zaidi ya ushindi kuliko wakati wowote uliopita maana 2005 CCM walichagua mtu anayekubalika japokuwa msanii!...Safari hii wanaenda kinyume, watatereza kwa hiyo nadhani kidogo naelewa kwa nini Chadema wanamtaka Lowassa asimame... watammaliza vibaya sana kabla hata hajashtuka kama vibaka wa Daladala..
It's a blessing! - bring it on!
 
Hawa watu wa ajabu sana kila siku kujipanga kugombea madaraka kitu maendeleo kwa wananchi hakitamkwi tumechoka na thread hizi za watu wa mitandao na wenye uroho wa madaraka wakati umaskini unashambilia nchi na wanachi utafikiri kirus cha kompyuta au hiv

Hata kama hutaki kuzisoma, zitakuwepo tu. Ni bora ukasoma ili ujue nini kinachoendelea.
 
Ndio maana mnalialia kila kukicha maisha magumu, hayawezi kuwa rahisi kama mnaamini story ya kutunga kama hiyo hapo juu.
..
KWa nini unapinga hii story? Kwani inakuhusu kwa namna gani? Hapo juu umesema kwamba HAMSHIKIKI????!!!
 
Andikeni sana! KIM JONG ILL wa N. Korea atafufukia Tz ndani ya Lowasa-Next presidenti, hii haina ubishi!:eyebrows:
..

Tunahitaki Maombi. Huyo aliyekwenda kuomba atengenezewe mvua? Kichwa cgake sijui kinafanyaje kazi.
 
Mtazamo, tumpe mara ngapi?. Yeye ndiye "The King Maker" aliyemuweka JK kwa zile fedha za Kagoda na sasa ndiye anayemweka EL mwaka 2015!. There is nothing we can do!.

Msiomkubali Lowassa, nawashauri bora mkubalini tuu vinginevyo!.

There is only one solution which we can change the course of these events.......
 
It is pity that in 2011, just a year after the 2010's election, we're already discussing presidential candidates for 2015. Five years in politics is a long time. More than enough for peril to be averted and political capital to be accumulated in the process. So, let's escape from that hypothetical and face the facts of brutal reality.

In 2015, the public will assess the present government in terms of the decisions made and the choices taken. They will also be delivering their verdict on the state of Tanzania in those five years. At the moment, what the public want to hear is not presidential candidates for 2015, but whether their problems are being heard and addressed.

If the wishes were horses, even the berger would ride!
 
I know you'd be surprised and shocked if I were to tell you there is also this devilish plan, from some quarters, to give Kikwete, the best president we ever had, a third term in 2015 ! Reason ? Tumethubutu, tumeweza na tunazidi kusonga mbele !
Did I get you correctly????

Otherwise, I need my head examined.
 
Mchunguzi nenda kwenye PM nikueleze kwanini namkubali Lowassa, tujadiliane huKo mpaka mwisho. Achana na magazeti kaka na mtandao.
Mkuu FP hapa si JF where we dare to talk openly!?

Sasa kama una sababu zako muhimu za kumkubali Lowassa kwanini usiziweke hadharani ili kujaribu kuwashawishi wengine kwamba Lowassa anafaa kuchukua nchi 2015!?

Mie sioni sababu ya kwenda PM zimwage sababu hizo hadharani.

Mkuu Hutaki Unaacha tunakusubiri kwa hamu kuu uendelee na part 2 ya habari hii. Usikawie sana kurudi tena jamvini.
 
Wakuu hii habari inanipa picha ya kuwa ni kweli. Waliokuwa Dodoma wanasema wakati EL anafunguka juu ya JK, Mkapa alikuwa anatabasamu kuonyesha kufurahia kilichokuwa kinaendelea pale ndani.

Pia kwa sasa bifu la JK na EL lipo wazi mno. It means wapo kwenye makundi mawili tofauti.

Taarifa za magogoni na kwa invincibles zinasema EL hatafika 2015 kwenye kugombea huo urais na kama atakuwa hai basi atakuwa ''vegetable''. MMM hujazinusa hizi?

Source: Subiri uone matukio yatakavyokuwa
.

Inashangaza ni kwanini hadi leo halijafanyika.....???

:shock:
 
Aaaah mwenzako vya kunyonga siviwezi... ingawa Uislaam mgumu lakini itanibidi nibakie na imani yangu nguruwe kale wewe sana sana vinaishia chooni. Nitakula magimbi na mbaazi maana Vegetarian nao hufanikiwa mbona India wameweza!...Wee dandia tu hiyo meli ya Silver nini vile?...

On the otherhand though, I think CCM wakimsimamisha Lowassa sisi tutakuwa na nafasi nzuri zaidi ya ushindi kuliko wakati wowote uliopita maana 2005 CCM walichagua mtu anayekubalika japokuwa msanii!...Safari hii wanaenda kinyume, watatereza kwa hiyo nadhani kidogo naelewa kwa nini Chadema wanamtaka Lowassa asimame... watammaliza vibaya sana kabla hata hajashtuka kama vibaka wa Daladala..
It's a blessing! - bring it on!

CHADEMA wanajidanganya. Nakubali ndio watashinda kula za urais, hilo halina ubishi, ila EL ndiye atakayeapishwa kuwa rais.
Wasichojua ni kwamba, unaweza kulinda kura za udiwani na ubunge, lakini za Uraisi ni ngumu sana.
 
Back
Top Bottom