Kikwete, huu mtandao ni hatari! Be careful, otherwise waweza kuwa historia (Part 1)

Gogomoka,
I understand your point, lakini​ukweli bado unasimama kwamba Mtoa Habari is playing a very dangerous game, these are gruesome accusations, ambazo for sure leaves many of our jaws dropped; If he has evidence (it looks like ni mtu wa ndani), Jamiiforums sio mahala pake, kwani there are institutions that are specially designed to handle such. Vinginevyo ni muhimu sana sisi kama Vijana tuka focus katika mijadala yenye ukweli na uhakika, and whenever taarifa kama hizi zikiwa zina pop up every now and then, busara ya kawaida kabisa, in my humble opinion, ni kuchukua tu notes. Otherwise, personally, my unshakable belief is that, kutumia muda mwingi katika mijadala dominated na taarifa zisizo na ukweli au uhakika, doesn't provide us with a better future kama vijana. Discussions zenye traffic kubwa namna hii, laiti zingekuwa zinalenga kwenye mada on youth development e.g. employment generation, elimu, leadership, our new constitution, etc, sio tu kwamba ingetujengea msingi imara for a better future, but also even our sons, daughters, grandsons and granddaughters, wangefaidika sana kwa kurudia and review our archives in JF, and in the process determine challenges za waliowatangulia zilikuwa ni zipi, hence put them in a better position kuzikabili changamoto zao.
Institutions zipi ambazo mikono mirefu ya akina Lowasa, RA na kundi lao haijazifikia na kuzipanga upya? Tuna kazi sio ndogo WATANZANIA kuitoa nchi yetu kwenye makucha ya hawa jamaa. Kundi kuuubwa kabisa la WATANZANIA wenye fedha wamejipanga kwa nguvu zaidi kifedha, kimkakati na kiushawishi kuliko mwaka 2005 kuichukua tena nchi yetu.
Mbaya zaidi ni kuwa maovu yao mengi yameanikwa hadharani na hatma yao inategemea nani atakuwa Rais 2015. Tuna kazi si kidogo safari hii kuliko wakati mwingine wowote.
 
Lowasa will never be the president of Tanzania...never...na hawa walipanda ELairline daraja la economy na business nawashauri wasiendelee na safari maana hawatafika.....

kuhusu kifo cha mwl ..hili tuliongea kwa kirefu snaa jukwaa la inteligence tafuta thread inayosema ''did mwali die a natural death?''

Hii inaonyesha Lowassa anatisha! maana anawakosesha USINGIZI kila kukicha Thread mpya!

ELairline FIRST CLASS sio business wewe au Economy!. Usije kulinganisha AIRBUS 380 na Scania Machinga Coach transport Ltd. lol
 
FP,
Ninakusoma sana na utetezi wako. Tofauti ya wewe na Pasco ni kuwa, Pasco anakubali kuwa EL ni Fisadi ila wewe unasomeka kama vile unamtetea kwamba anaonewa na hana ufisadi wowote.

Kuna uwezekano kuwa ufisadi wake unatiwa chumvi, ila ukweli unabaki kuwa ufisadi upo.

Ili unithibitishie kuwa EL si fisadi, naomba ujibu swali hilo chini:

"Nyerere akiwa hai kabla ya uchaguzi wa mwaka 1995, alisema kuwa Lowassa ni mtu aliyejilimbikizia mali nyingi sana katika kipindi kifupi.................."
Je NYERERE ALITUDANGANYA?
 
Gogomoka,
I understand your point, lakini​ukweli bado unasimama kwamba Mtoa Habari is playing a very dangerous game, these are gruesome accusations, ambazo for sure leaves many of our jaws dropped; If he has evidence (it looks like ni mtu wa ndani), Jamiiforums sio mahala pake, kwani there are institutions that are specially designed to handle such. Vinginevyo ni muhimu sana sisi kama Vijana tuka focus katika mijadala yenye ukweli na uhakika, and whenever taarifa kama hizi zikiwa zina pop up every now and then, busara ya kawaida kabisa, in my humble opinion, ni kuchukua tu notes. Otherwise, personally, my unshakable belief is that, kutumia muda mwingi katika mijadala dominated na taarifa zisizo na ukweli au uhakika, doesn't provide us with a better future kama vijana. Discussions zenye traffic kubwa namna hii, laiti zingekuwa zinalenga kwenye mada on youth development e.g. employment generation, elimu, leadership, our new constitution, etc, sio tu kwamba ingetujengea msingi imara for a better future, but also even our sons, daughters, grandsons and granddaughters, wangefaidika sana kwa kurudia and review our archives in JF, and in the process determine challenges za waliowatangulia zilikuwa ni zipi, hence put them in a better position kuzikabili changamoto zao.

waache watu waujue ukweli....tumeishaivunja code 6 haifanyi kazi tena......wewe kama unayajua haya kuna wengine hawayajui.....ukisema wadiscuss mambo ya ajira, elimu nk.wakati huo huo hakuna namna ya kyaboresha maana mfumo ni mbovu na hapa watu wanatolewa porini na kuwekwa barabara kwa taarifa za ndani kama hizi....tulia kwanza watu waellimishwa
 
Hii inaonyesha Lowassa anatisha! maana anawakosesha USINGIZI kila kukicha Thread mpya!

ELairline FIRST CLASS sio business wewe au Economy!. Usije kulinganisha AIRBUS 380 na Scania Machinga Coach transport Ltd. lol

hahahah..........we kaa huko first class lakini huo ndio ukweli mda ukifika hata majivu yenu hayataonekana
 
YES sir! alikufa kawaida. NI PM nikuongezee kidogo. Ila hakukua na mkono wa mtu alie HAI kwenye kifo cha Mwalimu.

Usiogope hakuna atakaye kutafuta wewe WildCard.
Kama hamumtafutii ninyi URAIS, mwambieni Lowasa apumzike. Utumishi wake kwa nchi hii unatosha. Wengine hata ujumbe wa nyumba kumi hatujawahi kuupata. Yeye kawa Waziri Mkuu wetu.
 
Gogomoka,
I understand your point, lakini​ukweli bado unasimama kwamba Mtoa Habari is playing a very dangerous game, these are gruesome accusations, ambazo for sure leaves many of our jaws dropped; If he has evidence (it looks like ni mtu wa ndani), Jamiiforums sio mahala pake, kwani there are institutions that are specially designed to handle such. Vinginevyo ni muhimu sana sisi kama Vijana tuka focus katika mijadala yenye ukweli na uhakika, and whenever taarifa kama hizi zikiwa zina pop up every now and then, busara ya kawaida kabisa, in my humble opinion, ni kuchukua tu notes. Otherwise, personally, my unshakable belief is that, kutumia muda mwingi katika mijadala dominated na taarifa zisizo na ukweli au uhakika, doesn't provide us with a better future kama vijana. Discussions zenye traffic kubwa namna hii, laiti zingekuwa zinalenga kwenye mada on youth development e.g. employment generation, elimu, leadership, our new constitution, etc, sio tu kwamba ingetujengea msingi imara for a better future, but also even our sons, daughters, grandsons and granddaughters, wangefaidika sana kwa kurudia and review our archives in JF, and in the process determine challenges za waliowatangulia zilikuwa ni zipi, hence put them in a better position kuzikabili changamoto zao.

Mdau u mmoja wa vijana ambao nilikuwa naaamini kuw wako genuine and free mind,sikujali kukuona kwenye uniform ya kijani kama tatizo lakini sasa naona yaweza kuwa kwa hili la mada hii nawe pia ni part ya tatizo.

Hakika kwa ujumbe uliotolewa na HU nimejifunza mambo mengi sana kwa kuunganisha na yale nayo yafahamu nimepanuka na kufahamu ukubwa wa tatizo la nchi yetu.

Sikutegemea kama ungeendelea kujenga hoja hafifu na zisizo na uzito wa uzalendo za kumdadisi Hutaaki Unaacha [HU] ambae ni dhahiri yuko jikoni,akitujuza mambo muhimu ya Taifa ambayo yamekuwa ndio kikwazo cha maendeleo ya ustawi wa Taifa letu.

Watu wazima wnasema hakuna kitu cha msingi katika kutatua tatizo kama kujua chanzo cha tatizo[Diagnose] na hivi tunavyofanya ndio tunapata kufahamu tatizo na ukubwa wa tatizo na kutengeneza tiba ya tatizo husika.

Nimestaajabu kuona unataka wanajf waitupilie mbali thread hii kisa unataka tuzungumzie theory ambazo zinasimamiwa na watu ambao ndio chanzo cha matatizo yanayotuletea mjadala ambao wewe unataka tuzungumzie eeeeeeeeeh naona kituko najiuliza sana kuna mada ya Mwalimu Nyerere uliiichambua vizuri sana na kuweka baadhi ya mambo sawa kuhusu kumbukumbu ya Baba wa Taifa ambayo ilikuwa inachokozwa na baadhi ya watu.

Leo hiii mada muhimu na Nyeti sana kuliko ile kwa kuwa kwa thread ya Mwalimu ilikuwa ni Kuweka kumbukumbu lakini kwa hili ni MAISHA YANGU, YA KWAKO NA VIJANA WOTE NCHI NZIMA, UNATAKA TUITUPE KABATINI TUJADILI TUSIVYOTEGEMEA VINAVYOSHIKILIWA NA WALETA MATATIZO YETU.

NAPATA SHIDA KUJUA ULIWEZAJE KUCHANGIA HOJA YA MWALIMU VYEMA KWA KIWANGO KILE KWENYE JAMBO NYETI NA MUHIMU KAMA HILI NA LA MSINGI KWA TAIFA UMEPWAYA SANA.

ACHA ACHA ACHA KABISA TENA UKAE KIMYA !!!!!!!!! UKWELI ULIOPATIKANA KWENYE THREAD HII UMEIFANYA THREAD IMEKUWA THREAD BORA SANA SANA YA MWAKA 2011.NA IMEFUNGUA MACHO YA WENGI WETU HUMU NDANI.
 
Siachi!
JF hatuzibani midomo, huwezi kuleta topic ikabaki bila challenge.
Read between the lines
Kuna mada nyingine ya namna hiyo hiyo aliileta mwaka jana, ipo katika kiungo hiki, soma jue mtoa mada katoka wapi na mada za namna hiyo. Usilale mwanangu.

mkuu sasa hapa uongo wake uko wapi hadi umtuhumu huyu mtu?

samahani kwa kuiweka tena hapa chini.

Habari zilizopatikana ndani ya kikao cha siri kati ya vigogo waandamizi wa usalama wa taifa,Kikwete na Kinana wiki iliyopita zimedokeza kwamba JK amepokea report inayoonyesha kura za Dk Slaa atakazopata october 31 2010.

Mpashaji wa habari amebainisha ya kwamba baada ya JK kupewa tathimini hiyo hakuamini alichoambiwa, zaidi aliongea kwa kiingereza maneno mawili '' Is it?''.

Hii ni taarifa fupi iliyotolewa wiki tatu zilizopita ikulu jijini dar es salaam ikiwa ni mpango wa usalama wa taifa kukamilisha awamu ya kwanza ya utafiti wao kwa baadhi ya mikoa ya kanda ya ziwa, kati, pwani na kaskazini. Machache yameibwa kwenye taarifa hiyo:

Mara: Dr Slaa 59.7%
Mwanza😀r Slaa 58.3%
Kigoma😀r Slaa 52.7%
Singida: Dr slaa 34.7%
Shinyanga: Dr Slaa 43.2%
Kilimanjaro: Dr Slaa 51.7%
Arusha: Dr Slaa 47.1%
Manyara: Dr Slaa 53.8%
Tanga😀r Slaa 46.2%
Dar es Salaam: Dr Slaa 66.4%
Geita: Dr Slaa: 62.7%
Kagera: Dr Slaa 48.2%
Dodoma: Dr slaa 42.4%
Tabora: Dr Slaa 57.6%
 
FP,
Ninakusoma sana na utetezi wako. Tofauti ya wewe na Pasco ni kuwa, Pasco anakubali kuwa EL ni Fisadi ila wewe unasomeka kama vile unamtetea kwamba anaonewa na hana ufisadi wowote.

Kuna uwezekano kuwa ufisadi wake unatiwa chumvi, ila ukweli unabaki kuwa ufisadi upo.

Ili unithibitishie kuwa EL si fisadi, naomba ujibu swali hilo chini:

"Nyerere akiwa hai kabla ya uchaguzi wa mwaka 1995, alisema kuwa Lowassa ni mtu aliyejilimbikizia mali nyingi sana katika kipindi kifupi.................."
Je NYERERE ALITUDANGANYA?

Sikonge,

Hujaelewa kidogo. Wanasiasa wote waliokuwepo enzi za Nyerere na wakaendelea na uongozi baada ya Mwalimu kufariki (RIP JKN) ni MAFISADI!.

Wewe nyumba za Obey au Masaki au Mikocheni hata Ada estate wanapata wapi hela na mishahara viduch vya serikali?.

Hiyo ni hoja very simpo kufikia muafaka. Mie ninachosema ni kuwa WHY Lowassa pekee? Mbona wapo hata POMBE aliyemuuzia nyumba Ubungo ndugu yake (nyumba ya serikali)?

Hapo ndo nasimama na ku conclude kuwa madai dhidi ya Lowassa yapo exaggerated. Why?, kwa sababu hata mie nimeambiwa nimehongwa au natumiwa na Lowassa! Sasa atakutumiaje au kukuhongaje mtu ambaye hamjawahi kuonana naye au hata kuonana na wapambe wake, na wala hutaki kuwaona wala kuwajua?

Nahisi utakua umenipata angalau kidogo.
 
Wakuu naona nimeulizwa maswali mengi Sana ila nitajibu kwa ujumla.
Suala la Shein liliamuliwa na CC ya CCM na sio kingmakers. Kwahiyo story hapo juu ni uongo mtupu!

cha pili kuuana sio kweli ni mandikaji kutumia Mwakyembe na Mwandosya kuugua na kuunganisha story.

mchunguzi names calling will not help you. Thanks to people who know me, mie sio wa kununuliwa labda nimnunue mie Lowassa. Soma soma humu utaona watt wanaonifahamu wananikubali sio wa kununuliwa mie kaka.

Mchunguzi nenda kwenye PM nikueleze kwanini namkubali Lowassa, tujadiliane huKo mpaka mwisho. achana na magazeti kaka na mtandao.

faragha za nini tena go public aisee!
 
FP,
Ninakusoma sana na utetezi wako. Tofauti ya wewe na Pasco ni kuwa, Pasco anakubali kuwa EL ni Fisadi ila wewe unasomeka kama vile unamtetea kwamba anaonewa na hana ufisadi wowote.

Kuna uwezekano kuwa ufisadi wake unatiwa chumvi, ila ukweli unabaki kuwa ufisadi upo.

Ili unithibitishie kuwa EL si fisadi, naomba ujibu swali hilo chini:

"Nyerere akiwa hai kabla ya uchaguzi wa mwaka 1995, alisema kuwa Lowassa ni mtu aliyejilimbikizia mali nyingi sana katika kipindi kifupi.................."
Je NYERERE ALITUDANGANYA?

Siwezi ku conclude kuhusu Mwalimu. Yeye alikua na yake na sina uhakika kama nyumba tu ilimtosha kusema jamaa ni fisadi.

Ila Mwalimu kama mwalimu alipenda vijana wake wenye mwelekeo wa kijamaa. Akina BWM. Yaliyofuatia unayajua.
 
edson bana, hahahahahaha, unamtishia jamaa mapema yote hayo?
hahahah..........we kaa huko first class lakini huo ndio ukweli mda ukifika hata majivu yenu hayataonekana
 
stori yote utamu pale unaposema mlikuwa kwenye hotel kikwete akawa anachemka kutamka jina la shein.
 
Kama hamumtafutii ninyi URAIS, mwambieni Lowasa apumzike. Utumishi wake kwa nchi hii unatosha. Wengine hata ujumbe wa nyumba kumi hatujawahi kuupata. Yeye kawa Waziri Mkuu wetu.

Mimi ndio napenda awe RAIS ajaye. Wenzangu sijui kama wanammbomoa au wanamjenga.

Mimi nasimama kama mimi ndo ningependa awe Rais baada ya JK kumaliza muda wake.
 
Mdau u mmoja wa vijana ambao nilikuwa naaamini kuw wako genuine and free mind,sikujali kukuona kwenye uniorm ya kijani kama tatizo lakini sasa naona yaweza kuwa kwa hili la mada hii nawe pia ni part ya tatizo.

Hakika kwa ujumbe uliotolewa na HU nimejifunza mambo mengi sana kwa kuunganisha na yale nayo yafahamu nimepanuka na kufahamu ukubwa wa tatizo la nchi yetu.

Sikutegemea kama ungeendelea kujenga hoja hafifu na zisizo na uzito wa uzalendo za kumdadisi Hutaaki Unaacha [HU] ambae ni dhahiri yuko jikoni,akitujuza mambo muhimu ya Taifa ambayo yamekuwa ndio kikwazo cha maendeleo ya ustawi wa Taifa letu.

Watu wazima wnasema hakuna kitu cha msingi katika kutatua tatizo kama kujua chanzo cha tatizo[Diagnose] na hivi tunavyofanya ndio tunapata kufahamu tatizo na ukubwa wa tatizo na kutengeneza tiba ya tatizo husika.

Nimestaajabu kuona unataka wanajf waitupilie mbali thread hii kisa unataka tuzungumzie theory ambazo zinasimamiwa na watu ambao ndio chanzo cha matatizo yanayotuletea mjadala ambao wewe unataka tuzungumzie eeeeeeeeeh naona kituko najiuliza sana kuna mada ya Mwalimu Nyerere uliiichambua vizuri sana na kuweka baadhi ya mambo sawa kuhusu kumbukumbu ya Baba wa Taifa ambayo ilikuwa inachokozwa na baadhi ya watu.

Leo hiii mada muhimu na Nyeti sana kuliko ile kwa kuwa kwa thread ya Mwalimu ilikuwa ni Kuweka kumbukumbu lakini kwa hili ni MAISHA YANGU, YA KWAKO NA VIJANA WOTE NCHI NZIMA, UNATAKA TUITUPE KABATINI TUJADILI TUSIVYOTEGEMEA VINAVYOSHIKILIWA NA WALETA MATATIZO YETU.

NAPATA SHIDA KUJUA ULIWEZAJE KUCHANGIA HOJA YA MWALIMU VYEMA KWA KIWANGO KILE KWENYE JAMBO NYETI NA MUHIMU KAMA HILI NA LA MSINGI KWA TAIFA UMEPWAYA SANA.

ACHA ACHA ACHA KABISA TENA UKAE KIMYA !!!!!!!!! UKWELI ULIOPATIKANA KWENYE THREAD HII UMEIFANYA THREAD IMEKUWA THREAD BORA SANA SANA YA MWAKA 2011.NA IMEFUNGUA MACHO YA WENGI WETU HUMU NDANI.

DSN,

I think you misunderstood me. Maelezo yangu yalikuwa yanajibu hoja ya Gogomoka. Naomba ukipata muda urejee hoja ile, then link it na majibu yangu. Vinginevyo sijakataa kwamba mada hii sio muhimu, nachohimiza tu kwa vijana wenzangu ni kwamba, kwa taarifa kama hizi, busara iliyokuwa basic kabisa ni to take good notes out of it, with a focus ya kujenga taifa la vijana, ambalo litarekebisha mapungufu kama haya. Kwani ni kawaida sana humu JF mijadala mingi kutawaliwa na "he says, she says", halafu inakufa.
 
FP,
Umenikumbusha kauli ya Mh Spika Sitta juu ya taarifa za Dr Slaa kuhusu ufisadi wa EPA nadhani. Alimtaka aachane na taarifa za mitandao. Kilichokuja kuthibitika baadae ni suala jingine sasa. Kama Lowasa anautaka Urais kwa udi na uvumba kiasi hiki na sio WANANCHI wanaomtaka awe Rais, atang'oa kila kisiki atakachokumbana nacho kwa namna yoyote ile kama walivyofanya kuanzia 1995-2005.
Hofu yangu ni kwamba huenda hata kifo cha Mwalimu hakikuwa cha kawaida? Kiliharakishwa?

Wildcard,
Jibu kwa swali lako sentenso ya mwisho ni "Ndiyo."
 
edson bana, hahahahahaha, unamtishia jamaa mapema yote hayo?

mkuu simtishi ila nawambia ukweli...ELairline haitawafikisha salama na hawatafika....huo ndio ukweli maan huyu jamaa tangu 2007 amekuwa akimfuta na kumpepea sana lowasa kwa kisingizio kwamba ndani ya ccm wote ni wezi..mda ukifika asinilaumu kuwa sikumwambia...
 
wee muache usimuamshe mapema atashtuka, anaweza akaruka na parachuti hahahahaha, muache akalipuke na ELairline akifikiri itadondokea baharini.
 
Shein hakushinda uchaguzi Zanzibar. Kilichofanyika ni Mkapa, Rostam, Karume kumhonga pesa za kutosha sana Maalim kupitia kwa kijana wao hatari sana Jussa (kumbuka huyu aliletwa na Rosatm ili umteue awe mbunge)
daaah ikiwa maneno haya ni ya kweli, na tukitaka ukombozi wa kweli CUF ni chama cha watu dhalili, waroho wa madaraka na watu wa kuogopwa kama ukoma.
 
Back
Top Bottom