Institutions zipi ambazo mikono mirefu ya akina Lowasa, RA na kundi lao haijazifikia na kuzipanga upya? Tuna kazi sio ndogo WATANZANIA kuitoa nchi yetu kwenye makucha ya hawa jamaa. Kundi kuuubwa kabisa la WATANZANIA wenye fedha wamejipanga kwa nguvu zaidi kifedha, kimkakati na kiushawishi kuliko mwaka 2005 kuichukua tena nchi yetu.Gogomoka,
I understand your point, lakini​ukweli bado unasimama kwamba Mtoa Habari is playing a very dangerous game, these are gruesome accusations, ambazo for sure leaves many of our jaws dropped; If he has evidence (it looks like ni mtu wa ndani), Jamiiforums sio mahala pake, kwani there are institutions that are specially designed to handle such. Vinginevyo ni muhimu sana sisi kama Vijana tuka focus katika mijadala yenye ukweli na uhakika, and whenever taarifa kama hizi zikiwa zina pop up every now and then, busara ya kawaida kabisa, in my humble opinion, ni kuchukua tu notes. Otherwise, personally, my unshakable belief is that, kutumia muda mwingi katika mijadala dominated na taarifa zisizo na ukweli au uhakika, doesn't provide us with a better future kama vijana. Discussions zenye traffic kubwa namna hii, laiti zingekuwa zinalenga kwenye mada on youth development e.g. employment generation, elimu, leadership, our new constitution, etc, sio tu kwamba ingetujengea msingi imara for a better future, but also even our sons, daughters, grandsons and granddaughters, wangefaidika sana kwa kurudia and review our archives in JF, and in the process determine challenges za waliowatangulia zilikuwa ni zipi, hence put them in a better position kuzikabili changamoto zao.
Mbaya zaidi ni kuwa maovu yao mengi yameanikwa hadharani na hatma yao inategemea nani atakuwa Rais 2015. Tuna kazi si kidogo safari hii kuliko wakati mwingine wowote.