Kikwete, huu mtandao ni hatari! Be careful, otherwise waweza kuwa historia (Part 1)

Lowasa must be paying a lot of money to have all these brains struggling to resuscitate him.
Come on brother, and who is paying you to strangle an already helpless and seemingly dying Lowassa ! Or may be his staying alive makes some seat too hot and uncomfortable for somebody, somewhere, somehow ?

I count him dead (politically, morally, etc)
Really ! Then you have nothing to worry about or am I missing something ? I was once told that dead men didnt count or is this Lowassa some kind of superman ? On the other hand may be we do need a superman to get us out of this shit.

but seems some people want us to think his corruption and all that is nothing and he is the only one.
And what exactly do you think ? That without him corruption will be dead ? Oh man, corruption is all around you, in fact you are swimming in it - just open up your eyes and you will see. Or maybe like all the rest of them, it is Lowassa who is blocking your view, what a pity !

Tanzanians! Are, we crazy?
The fact that Kikwete is where he is probably explains it all. To even imagine that Lowassa's extinction is the panacea to all the rot and filth that afflicts us, is the craziest of the craziness chocking us all, God have mercy !
 
Naona mijadala kuhusu Lowassa haulengi kutatua changamoto zilizopo, na badala yake umetawaliwa na malalamiko, nahali ya kukata tamaa. Tulijadili hilo japo kidogo. Kwa hali ya sasa, Edward Ngoyai Lowassa kuwa Rais wa Tano wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, ni suala lililo katika ‘count-down' kama vile kuelekea mwaka mpya. Njia za kuzuia hilo lisitokee ni kumi. Mosi, Lowassa arukwe na akili, au apate ulemavu wa kudumu ili apoteze sifa za kugombea. Pili, Lowassa apoteze maisha yake, hivyo kupotea katika medani hii. Tatu, Lowassa apatikane na kesi ya kujibu kuhusu uhujumu uchumi, itakayomtia hatiani, hivyo kumpotezea sifa za kugombea. Nne, Mwenyekiti wa CCM, Jakaya Mrisho Kikwete aongoze mkakati kama ule wa Mkapa mwaka 2005 kuhakikisha jina la Lowassa linakatwa katika hatua za awali, na kuwa na mikakati kabambae pia ya kumvunja nguvu aki defect. Tano, Edward Lowassa mwenyewe kufanya maamuzi magumu na kuamua kutogombea mwaka 2015. Sita, vituo vya televisheni na radio vya kitaifa, viwe na ujasiri wa kuanza sasahivi, kuelezea umma kwanini Lowassa hafai, kwa kutumia sababu mbalimbali, zikisindikizwa na hotuba za Mwalimu Nyerere, ingawa akina Jussa wameshajazwa nondo, na kuanza kum-denounce Nyerere ikiwa ni moja ya mikakati ya kuhakikisha Lowassa anakuwa chaguo la Wazanzibari.

Saba, wazanzibari wajazwe ‘madini' kuhusu Lowassa kwamba ni hatari sana kwa taifa, na vile vile kwa Zanzibar, hivyo asiungwe mkono. Nane, CCM ibadilishe utaratibu wa kumpata mgombea Urais, iweke msumeno mkali kuzuia rushwa kwa wajumbe, sambamba na kuhakikisha kwamba wajumbe wa mkutano mkuu wa taifa watakaoteuliwa mwaka huu (2012), wengi wao watakuwa sio wa Lowassa na watabakia hivyo mpaka mwaka 2015. Tisa, wale wote wanaomuunga mkono Lowassa, vijana kwa wazee, wake kwa waume, washawishike kwamba Lowassa hafai, na hivyo kuacha kumuunga mkono. Na kumi, wanachama wa CCM kwa wingi wao nchi nzima (sio wananchi, bali wanachama wa CCM), na UWT, UVCCM, waanze maandamano sasa (sio mwaka 2015), na ya mara kwa mara, kutoa matamko kwamba Lowassa avuliwe gamba, kwani anaharibu hali ya hewa ya nchi, hafai kuwa rais ajaye, hivyo adhibitiwe sasa. Na lazima waaandamanaji hawa wajiandae kupoteza maisha yao, kwa wingi sana.

Vinginevyo,sio magazeti, wala Jamii Forums, au mijadala majumbani, itakayoweza kumzuia Lowassa kutimiza ndoto yake. Kwa mfano, magazeti Tanzania hayana mzunguko wa kutosha nchi nzima, kwani hakuna gazeti linalotoa zaidi ya nakala elfu kumi kwa siku. Ni aslimia moja tu ya watanzania wanafikiwa na magazeti kila siku. Pia ni kawaida kwa magazeti yote kusambaza asilimia 60 ya nakala zao jijini Dar-es-salaam, na asilimia 40 katika mikoa iliyobakia nchi nzima. Tukumbuke, hili ni taifa lenye watu karibia milioni 45. Pia tusisahau kwamba wapiga kura wengi hawasomi magazeti kwa sababu mbalimbsli kama vile, kutokujua kusoma na kuandika, lakini pia kutokuwa na uwezo wa kununua magazeti.

Kuhusu Jamiiforums, pamoja na umuhimu wake, bado haijaweza kuufikia UMMA wa Tanzania kwa mapana zaidi. Kwa wastani, idadi ya watu wanaozuru JF ambao wanaishi Tanzania haizidi elfu sita kwa siku, na hawa ni kwa ujumla wake – yani wale wanaofuatilia siasa na wale wanaofuatilia mengine nje ya siasa. Watu hawa pia ni wale wa mijini pekee. Mbaya zaidi ni kwamba, ni asilimia nne tu ya watanzania wana uwezo wa Internet (sawa na watanzania milioni moja na ushehe). JF ina wanachama karibia elfu 60, lakini active kwa siku ambao wanaishi Tanzania hawazidi watu elfu sita. Vinginevyo, asilimia 85 ya watanzania wanatumia radio (84% vijijini, 85% mijini), na asilimia 27 wanatazama televisheni (59% mijini, 14% vijijini).

Tuseme hayo hapo juu yote hayatekelezeki kumzuia Lowassa mwaka 2015, hivyo kutuacha na uwezekano mmoja tu – wa Mwenyekiti wa CCM Taifa Jakaya Kikwete, kuongoza mkakati wa kukata jina la Lowassa, kama mkapa alivyofanya mwaka 2005. Je Kikwete ana uthubutu? Tatizo ni kwamba, kama Kikwete anataka kubakia salama katika maisha yake ya ustaafu, ni Rais Lowassa ndiye atakayemlinda. Vinginevyo mgombea yoyote mwingine atakae bebwa na Kikwete na kufanikiwa, (iwe Nahodha, Migiro, Amina Salum Ali, Dr. Mwinyi, Mbawala, n.k), wote hawa wataingia katika migogoro mikubwa sana ya kiuongozi, kutokana na jitihada za Lowassa na Rostam. Serikali hiyo itaanguka baada ya muda sio mrefu. Tusisahau kwamba ushindi wa asilimia 60 wa Kikwete mwaka 2010 ulitokana na njama za kina Lowassa na Rostam kutaka Dr. Slaa ashinde. Ndio maana tangia awali, Kikwete aliamua kuhamishia kampeni kwenye familia yake. Vinginevyo, angewaachia kina Makamba kampeni, angepoteza Urais.

Kwahiyo, Mwenyekiti wa CCM Taifa, hana jinsi bali kumpisha mwenye nguvu – Edward Lowassa kumpokea Urais mwaka 2015. Ni muhimu sana tukawa na ufahamu kwamba majadiliano yetu humu JF hayatamzuia Lowassa kuwa Rais, na tusidanganyike kwa kufananisha na nguvu ya JF kuhusu ile list of shame, kwani ile ilipata nguvu pale tu viongozi wa CCM wenyewe walipoamua kuibeba kama hoja, ili wamlinde mfalme, na sio vinginevyo.

Kwa kumalizia, ni muhimu kuwaonya wale wanaompinga Lowassa kwamba wajiangalie sana wanapoenda huko kwenye maeneo ya kunywa vilevi na kuongea maneno ya kashfa juu ya Edward Ngoyai Lowassa, kwani mnaweza msifike nyumbani ili kujiunga na familia zenu, na iwapo mtafika, basi angalau mtakuwa ngeu usoni, kwani huko kwenye mabaa, wamejaa wapambe na wapiga debe wa Lowassa, wakilinda jina hili kama vile yeye ndiye baba wa taifa. Edward Ngoyai Lowassa ana jeshi kubwa sana, na sio kwamba wote wanalipwa kufanya shughuli hiyo, kwani jeshi kubwa zaidi ni la vijana na wazee waliojitolea kumpigania hadi mwisho. Mwaka 2012, Dodoma itachafuka na mashabiki mbalimbali ambao watakuwa wamechukua likizo zao ili kwenda kule kuhakikisha jina la Edward Ngoyai Lowassa linapita katika nafasi atakazogombea. Mwaka 2015, Dodoma ndio itachafuka zaidi, na iwapo jina lake halitapita, maisha mengi sana yatapotea mjini Dodoma mwaka huo, huku CCM nayo ikivunjika vipande vipande, kitu ambacho kitamhitaji huyo huyo Lowassa na wenzake kurekebisha hali hiyo, kwa kumpa ‘halali' yake' yani Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

Nadhani kwa wale wasiopendelea Lowassa awe Rais wa Tano wa Tanzania, angalau sasa mnajua wapi kwa kuanzia kuzima ndoto yake hiyo. Vinginevyo, kwa wale mashabiki wa Lowassa, hakika mnagundua jinsi gani ni vigumu kwa kipenzi chenu kukatishwa safari yake ya kuelekea mahali pale patakatifu – Ikulu.
 
DSN,

I think you misunderstood me. Maelezo yangu yalikuwa yanajibu hoja ya Gogomoka. Naomba ukipata muda urejee hoja ile, then link it na majibu yangu. Vinginevyo sijakataa kwamba mada hii sio muhimu, nachohimiza tu kwa vijana wenzangu ni kwamba, kwa taarifa kama hizi, busara iliyokuwa basic kabisa ni to take good notes out of it, with a focus ya kujenga taifa la vijana, ambalo litarekebisha mapungufu kama haya. Kwani ni kawaida sana humu JF mijadala mingi kutawaliwa na "he says, she says", halafu inakufa.

Mchambuzi,
Nakubaliana na hoja yako lakini basi maswali yanapozidi kuwa mengi kwa HU inatusaidia kuchambua mchele na pumba. Mjadala huu mpaka sasa umetoa mwanga kujua kuwa institutions tunazozitegemea karibu zote zipo tainted. Anachofanya HU ni kutuhamasisha vijana tuliopo kwenye system na wenye uchungu kutafuta njia mbadala ya namna ya kuirudisha nchi yetu kwenye njia inayotakiwa. Kuna njia nyingi za kutatua tatizo lakini kwanza lazima tufahamu tatizo lenyewe ni nini otherwise solution haitakuwa effective. Hivyo mjadala huu binafsi naona ni muhimu SANA uendelee ili kuchochea wengine wanaojua upande mwingine wa COIN wajitokeze kutuelimisha. Baada ya hapo kila mmoja atumie combined akili zake binafsi na uwezo wa kuchambua mambo kutokana na formal education kufikia kwenye right solution.
Concentrating kuchukua "good notices" ndio kumefikisha vijana wengi kupata marks nzuri(mashuleni/vyuoni) bila uelewa na upungufu wa applicable knowledge and skills. Hatuwezi kujenga taifa bila kufahamu vizuri tatizo/adui yetu mkubwa ni kitu gani. Hivi sasa tupo katika mjadala kuhusu katiba mpya itakayotupele mbele kwa miaka 50 mingine. Tumeshajionea jinsi JK & Co walivyo tubulldoze kusaini sheria itayotuongoza katika utengenezaji huo.Pia yupo njiani kutuletea tume anapojua yeye binafsi and "his co-horts", sasa basi binafsi nashukuru HU na Mtoa habari kwa ujasiri wa kutueleza wanachojua ili vijana tuhamke na kupinga kwa nguvu zote kuandikiwa katiba mpya na Kikwete & Co kulinda maslahi yao. Kama unavyosema tufocus "kujenga taifa laifa la vijana..." msingi wa taifa hilo ni Katiba ya Watanzania kwa ajili ya watanzania wote. Huu mjadala natumaini utatusaidia mimi na wewe tupiganie kwa nguvu zetu kuondoa hii culture ya impunity (iliyopo hivi sasa na ambayo JK/CCM wanaipigania iendelee) ndipo hapo tutaweza kujenga taifa.
 
  • Thanks
Reactions: DSN
Naona mijadala kuhusu Lowassa haulengi kutatua changamoto zilizopo, na badala yake umetawaliwa na malalamiko, nahali ya kukata tamaa. Tulijadili hilo japo kidogo. Kwa hali ya sasa, Edward Ngoyai Lowassa kuwa Rais wa Tano wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, ni suala lililo katika ‘count-down' kama vile kuelekea mwaka mpya. Njia za kuzuia hilo lisitokee ni kumi. Mosi, Lowassa arukwe na akili, au apate ulemavu wa kudumu ili apoteze sifa za kugombea. Pili, Lowassa apoteze maisha yake, hivyo kupotea katika medani hii. Tatu, Lowassa apatikane na kesi ya kujibu kuhusu uhujumu uchumi, itakayomtia hatiani, hivyo kumpotezea sifa za kugombea. Nne, Mwenyekiti wa CCM, Jakaya Mrisho Kikwete aongoze mkakati kama ule wa Mkapa mwaka 2005 kuhakikisha jina la Lowassa linakatwa katika hatua za awali, na kuwa na mikakati kabambae pia ya kumvunja nguvu aki defect. Tano, Edward Lowassa mwenyewe kufanya maamuzi magumu na kuamua kutogombea mwaka 2015. Sita, vituo vya televisheni na radio vya kitaifa, viwe na ujasiri wa kuanza sasahivi, kuelezea umma kwanini Lowassa hafai, kwa kutumia sababu mbalimbali, zikisindikizwa na hotuba za Mwalimu Nyerere, ingawa akina Jussa wameshajazwa nondo, na kuanza kum-denounce Nyerere ikiwa ni moja ya mikakati ya kuhakikisha Lowassa anakuwa chaguo la Wazanzibari.

Saba, wazanzibari wajazwe ‘madini' kuhusu Lowassa kwamba ni hatari sana kwa taifa, na vile vile kwa Zanzibar, hivyo asiungwe mkono. Nane, CCM ibadilishe utaratibu wa kumpata mgombea Urais, iweke msumeno mkali kuzuia rushwa kwa wajumbe, sambamba na kuhakikisha kwamba wajumbe wa mkutano mkuu wa taifa watakaoteuliwa mwaka huu (2012), wengi wao watakuwa sio wa Lowassa na watabakia hivyo mpaka mwaka 2015. Tisa, wale wote wanaomuunga mkono Lowassa, vijana kwa wazee, wake kwa waume, washawishike kwamba Lowassa hafai, na hivyo kuacha kumuunga mkono. Na kumi, wanachama wa CCM kwa wingi wao nchi nzima (sio wananchi, bali wanachama wa CCM), na UWT, UVCCM, waanze maandamano sasa (sio mwaka 2015), na ya mara kwa mara, kutoa matamko kwamba Lowassa avuliwe gamba, kwani anaharibu hali ya hewa ya nchi, hafai kuwa rais ajaye, hivyo adhibitiwe sasa. Na lazima waaandamanaji hawa wajiandae kupoteza maisha yao, kwa wingi sana.

Vinginevyo,sio magazeti, wala Jamii Forums, au mijadala majumbani, itakayoweza kumzuia Lowassa kutimiza ndoto yake. Kwa mfano, magazeti Tanzania hayana mzunguko wa kutosha nchi nzima, kwani hakuna gazeti linalotoa zaidi ya nakala elfu kumi kwa siku. Ni aslimia moja tu ya watanzania wanafikiwa na magazeti kila siku. Pia ni kawaida kwa magazeti yote kusambaza asilimia 60 ya nakala zao jijini Dar-es-salaam, na asilimia 40 katika mikoa iliyobakia nchi nzima. Tukumbuke, hili ni taifa lenye watu karibia milioni 45. Pia tusisahau kwamba wapiga kura wengi hawasomi magazeti kwa sababu mbalimbsli kama vile, kutokujua kusoma na kuandika, lakini pia kutokuwa na uwezo wa kununua magazeti.

Kuhusu Jamiiforums, pamoja na umuhimu wake, bado haijaweza kuufikia UMMA wa Tanzania kwa mapana zaidi. Kwa wastani, idadi ya watu wanaozuru JF ambao wanaishi Tanzania haizidi elfu sita kwa siku, na hawa ni kwa ujumla wake – yani wale wanaofuatilia siasa na wale wanaofuatilia mengine nje ya siasa. Watu hawa pia ni wale wa mijini pekee. Mbaya zaidi ni kwamba, ni asilimia nne tu ya watanzania wana uwezo wa Internet (sawa na watanzania milioni moja na ushehe). JF ina wanachama karibia elfu 60, lakini active kwa siku ambao wanaishi Tanzania hawazidi watu elfu sita. Vinginevyo, asilimia 85 ya watanzania wanatumia radio (84% vijijini, 85% mijini), na asilimia 27 wanatazama televisheni (59% mijini, 14% vijijini).

Tuseme hayo hapo juu yote hayatekelezeki kumzuia Lowassa mwaka 2015, hivyo kutuacha na uwezekano mmoja tu – wa Mwenyekiti wa CCM Taifa Jakaya Kikwete, kuongoza mkakati wa kukata jina la Lowassa, kama mkapa alivyofanya mwaka 2005. Je Kikwete ana uthubutu? Tatizo ni kwamba, kama Kikwete anataka kubakia salama katika maisha yake ya ustaafu, ni Rais Lowassa ndiye atakayemlinda. Vinginevyo mgombea yoyote mwingine atakae bebwa na Kikwete na kufanikiwa, (iwe Nahodha, Migiro, Amina Salum Ali, Dr. Mwinyi, Mbawala, n.k), wote hawa wataingia katika migogoro mikubwa sana ya kiuongozi, kutokana na jitihada za Lowassa na Rostam. Serikali hiyo itaanguka baada ya muda sio mrefu. Tusisahau kwamba ushindi wa asilimia 60 wa Kikwete mwaka 2010 ulitokana na njama za kina Lowassa na Rostam kutaka Dr. Slaa ashinde. Ndio maana tangia awali, Kikwete aliamua kuhamishia kampeni kwenye familia yake. Vinginevyo, angewaachia kina Makamba kampeni, angepoteza Urais.

Kwahiyo, Mwenyekiti wa CCM Taifa, hana jinsi bali kumpisha mwenye nguvu – Edward Lowassa kumpokea Urais mwaka 2015. Ni muhimu sana tukawa na ufahamu kwamba majadiliano yetu humu JF hayatamzuia Lowassa kuwa Rais, na tusidanganyike kwa kufananisha na nguvu ya JF kuhusu ile list of shame, kwani ile ilipata nguvu pale tu viongozi wa CCM wenyewe walipoamua kuibeba kama hoja, ili wamlinde mfalme, na sio vinginevyo.

Kwa kumalizia, ni muhimu kuwaonya wale wanaompinga Lowassa kwamba wajiangalie sana wanapoenda huko kwenye maeneo ya kunywa vilevi na kuongea maneno ya kashfa juu ya Edward Ngoyai Lowassa, kwani mnaweza msifike nyumbani ili kujiunga na familia zenu, na iwapo mtafika, basi angalau mtakuwa ngeu usoni, kwani huko kwenye mabaa, wamejaa wapambe na wapiga debe wa Lowassa, wakilinda jina hili kama vile yeye ndiye baba wa taifa. Edward Ngoyai Lowassa ana jeshi kubwa sana, na sio kwamba wote wanalipwa kufanya shughuli hiyo, kwani jeshi kubwa zaidi ni la vijana na wazee waliojitolea kumpigania hadi mwisho. Mwaka 2012, Dodoma itachafuka na mashabiki mbalimbali ambao watakuwa wamechukua likizo zao ili kwenda kule kuhakikisha jina la Edward Ngoyai Lowassa linapita katika nafasi atakazogombea. Mwaka 2015, Dodoma ndio itachafuka zaidi, na iwapo jina lake halitapita, maisha mengi sana yatapotea mjini Dodoma mwaka huo, huku CCM nayo ikivunjika vipande vipande, kitu ambacho kitamhitaji huyo huyo Lowassa na wenzake kurekebisha hali hiyo, kwa kumpa ‘halali' yake' yani Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

Nadhani kwa wale wasiopendelea Lowassa awe Rais wa Tano wa Tanzania, angalau sasa mnajua wapi kwa kuanzia kuzima ndoto yake hiyo. Vinginevyo, kwa wale mashabiki wa Lowassa, hakika mnagundua jinsi gani ni vigumu kwa kipenzi chenu kukatishwa safari yake ya kuelekea mahali pale patakatifu – Ikulu.

Inasikitisha sana kuona kuwa hii Tanzania aliyotuachia Mwalimu Nyerere imetekwa na mafisadi kiasi kwamba hatuna jinsi bali kumkubali Lowassa kama baba mpya wa taifa. Very sad indeed!
 
Pamoja na umuhimu wa mjadala huu kwetu kama vijana, lakini ni dhahiri kabisa kwamba wanasiasa wote hawa miaka 15 - 20 ijayo watakuwa wastaafu wakipumzika na familia zao, huku vijana wengi humu tukiwa bado hata kufikisha miaka 50, na wengine wengi tu chini ya miaka 40. Kwa mtazamo wangu ambao unaweza kuwa hafifu sana, ni muhimu tujikite katika mjadala huu huku tukitambua hilo, na muhimu zaidi, kwa vision ya miaka 15 - 20 kutoka sasa, ambapo na sisi tutakuwa mbioni kuwaachia watoto wetu na wajukuu zetu taifa lililo imara. Ni muhimu sana kwa vijana sasahivi, kuchagua upande sahihi wa historia ya nchi hii 2011 and beyond, kuliko kuja juta na kusaga meno baadae kwa kujikuta walichagua the wrong side kwa uzembe, tamaa, ama uwoga.

Jukumu la kuamua upande upi ndio upande ndio the right side of history ni wa kijana mwenyewe, mmoja mmoja, bila ya kuingiliwa na mtu yoyote kwani huo ni uhuru na haki ya kila mtu. Zaidi ya hivyo, ni kukumbushana tu kwamba, unlike safari ya hawa wanasiasa tunaowataja taja humu ambao safari yao kisiasa itafikia ukiongoni miaka sio mingi kutoka sasa, wakiwa wastaafu HAI au HOI, safari yetu sisi kama vijana bado ni ndefu sana, na ile ya watoto na wajukuu wetu ndio ndefu zaidi, na itategemea tunafanya maamuzi gani leo i.e. between 2012 and 2015.

Kijana, amka, fofofo yako ndiyo sherehe ya wenzako.
 
Mtoahabari,
Hii tafsiri kuwa Jk alivuliwa nguo/kufadhaishwa na Hoja za EL mbona ni Potofu na mnaiendeleza? Hizo hoja zimo ndani ya Threand moja hapa JF (zisomeni kwa kituo kisha mtafakari, labda ziwe zimenukuliw vinginevyo, ingekuwa vema ipatikane Audi/vidio yake) sababu kubwa ya madai hayo ni kuwa Jk alitikisa kichwa kukubali alichohoji EL na halafu hakujibu. Hiyo imesababisha mumtie hatiani Jk bila kurudi katika historia ya jambo lenyewe, Mkameza aliyosema EL bila kuzingatia Busara za Jk za Kukaa Kimnya.

Hakuna cha busara zaidi ya kukaa kimya, kwani JK kama JK katika richmond ni msafi, waliohusika ni wanafamilia na Mkwe.
 
Mkuu MTOA HABARI kwa nini tUME YA UCHAGUZI WALIIBA KURA NYINGI NA KUMPA jk URAIS?
 
........Nadhani kwa wale wasiopendelea lowassa awe rais wa tano wa tanzania, angalau sasa mnajua wapi kwa kuanzia kuzima ndoto yake hiyo. Vinginevyo, kwa wale mashabiki wa lowassa, hakika mnagundua jinsi gani ni vigumu kwa kipenzi chenu kukatishwa safari yake ya kuelekea mahali pale patakatifu – ikulu.
kama ni kweli basi jamaa nchi ni yake..hivi huyu jamaa anatoa wapi hizi nguvu zote?na kaanza lini?..na kama el na ro walikuwa wanataka dr slaa ashinde(kitu ambacho sikubaliani na wewe) una uhakika kuwa jk hatataka kulipiza kisasi? Si unajua kuwa jk ni mtu wa visasi
 
Othman ni nduminakwili? YES. Othman yupo upande wa JK? NO.

vipi kuhusu uswahiba personal wa jakaya na othman kipindi jakaya akiwa waziri na othman akiwa stationed london kipindi kile na kina Radhia msuya chini ya balozi mzee kibelloh?uswahiba ule haukuwa chachu ya jk kumkubali othman?maana walikua very close ninavyooelewa waki share mambo mengi binafsi ya kimjini!
 
Mtoa habari umesema matajiri wa nje wameaminishwa kuwa ENL ni raisi a miaka 20, 2005-2025, so u mean that he is the current president sio?huyu tulionae ni just shadow ehheeeee, fantastic!

Na ni yeye na RA ndio waliomweka Waziri Mkuu Pinda baada ya ile "ajali ya kisiasa", ni wao pia waliomweka Bilal umakamu wa Rais, ni wao waliomweka Jaji Damian Z. Lubuva Tume ya Uchaguzi, ni wao waliomweka Makinda kwenye Uspika, ni wao waliopendekeza Sitta apewe wizara hafifu kisiasa ya AfriKa Mashariki, sasa Rais ni nani hapo. Isitoshe, EL alishasikika kwenye vijiwe akitamka wazi kwamba atarudishiwa uwaziri mkuu mwaka 2013. Tusubiri kuona hayo kama yatatimia.
 
Naona mijadala kuhusu Lowassa haulengi kutatua changamoto zilizopo, na badala yake umetawaliwa na malalamiko, nahali ya kukata tamaa. Tulijadili hilo japo kidogo. Kwa hali ya sasa, Edward Ngoyai Lowassa kuwa Rais wa Tano wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, ni suala lililo katika ‘count-down' kama vile kuelekea mwaka mpya. Njia za kuzuia hilo lisitokee ni kumi. Mosi, Lowassa arukwe na akili, au apate ulemavu wa kudumu ili apoteze sifa za kugombea. Pili, Lowassa apoteze maisha yake, hivyo kupotea katika medani hii. .........
mtoahabari,
Nimesoma mjadala huu kwa umakini na kujaribu kuelewa between the lines. Binafsi naamini longterm permanent solution ni ya PILI huku ikiambatana na strong purge kama walivyofanya Wachina during cultural revolution. (Ila Wachina walimuacha Deng alive akafufuka kuja kuwa raisi wao)
 
......Nadhani kwa wale wasiopendelea Lowassa awe Rais wa Tano wa Tanzania, angalau sasa mnajua wapi kwa kuanzia kuzima ndoto yake hiyo. Vinginevyo, kwa wale mashabiki wa Lowassa, hakika mnagundua jinsi gani ni vigumu kwa kipenzi chenu kukatishwa safari yake ya kuelekea mahali pale patakatifu – Ikulu.

mmmm!sasa hili debe lako kwa lowassa mzee halivumiliki...ni wazi na wewe unatumiwa,jana ulikuja kiujanja na ukafanikiwa kuwateka baadhi yetu humu lakini leo kwa maandishi yako haya licha ya kuyaanda kitaalum mi naona niwe wa kwanza kuyatilia shaka,ila tu nikukaribishe kama wapiga debe wengine wa lowassa humu,eti tukienda kwenye vijiwe vyetu vile vya jioni tusiomuongelee vibaya jamaa!!!!vitisho vya kitoto kweli katika karne hii kuweza kuwaingia watu na wakatishika kweli!

eti walitaka dr slaa ashinde,huo ni uongo,kilichopunguza kura za ccm ikiwemo ya kwangu sio ushawishi wala maarifa ya lowassa na genge lake bali ni kitendo cha ccm kuonekana wanawakumbatia mafisadi kina lowassa,rostam na wengine na kuonekana wanapambana na wapinga ufisadi samuel sitta na genge lake,huo ndio ukweli,mengine uliyoandika ni upotoshaji,nimeona nikuvae baada ya kuona wengi wanakuogopa na kuamini kila unaloshawishi hapa!
 
vipi kuhusu uswahiba personal wa jakaya na othman kipindi jakaya akiwa waziri na othman akiwa stationed london kipindi kile na kina Radhia msuya chini ya balozi mzee kibelloh?uswahiba ule haukuwa chachu ya jk kumkubali othman?maana walikua very close ninavyooelewa waki share mambo mengi binafsi ya kimjini!

JK ni mtu wa mjini, kama vile alivyo RO, kwahiyo upo sahihi katika hilo. Lakini hiyo haikutosha kumpatia nafasi yake ya sasa, bali mkono wa Apson. Kuhusu Kibeloh, yeye hakuwa anaiva na JK, alikuwa anamteta sana kwamba hana maadili na kueleza mengi sana yaliyokuwa yanajiri wakisafiri wote nje, kitu kilichopelekea Kibeloh kutolewa ukatibu mkuu mambo ya nje na kupelekwa ubalozini UK.
 
mmmm!sasa hili debe lako kwa lowassa mzee halivumiliki...ni wazi na wewe unatumiwa,jana ulikuja kiujanja na ukafanikiwa kuwateka baadhi yetu humu lakini leo kwa maandishi yako haya licha ya kuyaanda kitaalum mi naona niwe wa kwanza kuyatilia shaka,ila tu nikukaribishe kama wapiga debe wengine wa lowassa humu,eti tukienda kwenye vijiwe vyetu vile vya jioni tusiomuongelee vibaya jamaa!!!!vitisho vya kitoto kweli katika karne hii kuweza kuwaingia watu na wakatishika kweli!

Hiyo ndiyo hali halisi, kama utachukulia kwamba ni vitisho, basi tusubiri kelele za JF zizae matunda. Vinginevyo, kama unanisoma vizuri, mimi sipo upande wa huyo mpuuzi Edward Lowassa, kwani wafanyao hivyo hawana akili ya kujituma bali ya kutumwa. Akili yangu ni ya kujituma, na nina uhakika wengi wameshasoma hilo. Vinginevyo, una uhuru wa kwenda huko Rose Garden na kwingineko hata leo na kwenda kuzungumza hayo halafu uturudie na feedback.
 
Na ni yeye na RA ndio waliomweka Waziri Mkuu Pinda baada ya ile "ajali ya kisiasa", ni wao pia waliomweka Bilal umakamu wa Rais, ni wao waliomweka Jaji Damian Z. Lubuva Tume ya Uchaguzi, ni wao waliomweka Makinda kwenye Uspika, ni wao waliopendekeza Sitta apewe wizara hafifu kisiasa ya AfriKa Mashariki, sasa Rais ni nani hapo. Isitoshe, EL alishasikika kwenye vijiwe akitamka wazi kwamba atarudishiwa uwaziri mkuu mwaka 2013. Tusubiri kuona hayo kama yatatimia.
eti huyu ana undugu na Lowasa kivipi?
 
kama ni kweli basi jamaa nchi ni yake..hivi huyu jamaa anatoa wapi hizi nguvu zote?na kaanza lini?..na kama el na ro walikuwa wanataka dr slaa ashinde(kitu ambacho sikubaliani na wewe) una uhakika kuwa jk hatataka kulipiza kisasi? Si unajua kuwa jk ni mtu wa visasi
jk ana nguvu gani ya kumzuia ENL? Hakuna kitu pale. Anachohitaji ENL ni kuteuliwa tu na chama chake baada ya hapo hakuna anayeweza kumzuia hata jk mwenyewe.
 
mmmm!sasa hili debe lako kwa lowassa mzee halivumiliki...ni wazi na wewe unatumiwa,jana ulikuja kiujanja na ukafanikiwa kuwateka baadhi yetu humu lakini leo kwa maandishi yako haya licha ya kuyaanda kitaalum mi naona niwe wa kwanza kuyatilia shaka,ila tu nikukaribishe kama wapiga debe wengine wa lowassa humu,eti tukienda kwenye vijiwe vyetu vile vya jioni tusiomuongelee vibaya jamaa!!!!vitisho vya kitoto kweli katika karne hii kuweza kuwaingia watu na wakatishika kweli!

eti walitaka dr slaa ashinde,huo ni uongo,kilichopunguza kura za ccm ikiwemo ya kwangu sio ushawishi wala maarifa ya lowassa na genge lake bali ni kitendo cha ccm kuonekana wanawakumbatia mafisadi kina lowassa,rostam na wengine na kuonekana wanapambana na wapinga ufisadi samuel sitta na genge lake,huo ndio ukweli,mengine uliyoandika ni upotoshaji,nimeona nikuvae baada ya kuona wengi wanakuogopa na kuamini kila unaloshawishi hapa!

Ukipata muda kafanye utafiti kubaini kwanini JK alihamishia kampeni ya 2010 kwenye familia badala ya kuiacha kama miaka yote mikononi mwa CCM, halafu uturudie.
 
Back
Top Bottom