mtoahabari
Member
- Dec 27, 2011
- 76
- 223
eti huyu ana undugu na Lowasa kivipi?
Mama Regina Lowassa na Jaji Damian Lubuva ni ndugu wa ukoo mmoja.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
eti huyu ana undugu na Lowasa kivipi?
Hiyo ndiyo hali halisi, kama utachukulia kwamba ni vitisho, basi tusubiri kelele za JF zizae matunda. Vinginevyo, kama unanisoma vizuri, mimi sipo upande wa huyo mpuuzi Edward Lowassa, kwani wafanyao hivyo hawana akili ya kujituma bali ya kutumwa. Akili yangu ni ya kujituma, na nina uhakika wengi wameshasoma hilo. Vinginevyo, una uhuru wa kwenda huko Rose Garden na kwingineko hata leo na kwenda kuzungumza hayo halafu uturudie na feedback.
Ukipata muda kafanye utafiti kubaini kwanini JK alihamishia kampeni ya 2010 kwenye familia badala ya kuiacha kama miaka yote mikononi mwa CCM, halafu uturudie.
Mama Regina Lowassa na Jaji Damian Lubuva ni ndugu wa ukoo mmoja.
kwanza mimi sio mtu wa huko RG,Siwezi kwenda leo eti tu nije niku prove wrong,mimi kijiwe changu kipo katikati ya mji na wanakuja watu wa kila aina kuanzia mawaziri na wabunge tunazungumza sana politocs kwa uhuru wa hali ya juu na tuna principle ya club yetu kwamba mtu yeyeote kwa cheo chochote akishafika club basi cheo anakiweka kando na anakuwa challenged kama memmber mungine,na hapo lowassa anachambuliwa hadharnai kwa kuwa wengi hapo hawamkubali wapo wachache wanamkubali,kwa hiyo tunajadili kwa uhuru wa hali ya juu,maana hiyo ni club ya wazi kuna watu wa ccm,chadema,nccr,simba,yanga,pan etc na sio wanachama wa kawaida ni mpaka viongozi wa taasisi hizo,kama hivyo vitisho vipo basi pale klabuni tutauwawa wengi na hilo genge la bwana lowassa...!
kwa hiyo unataka kusema jakaya alikua halifahamu hilo?
Na ni yeye na RA ndio waliomweka Waziri Mkuu Pinda baada ya ile "ajali ya kisiasa", ni wao pia waliomweka Bilal umakamu wa Rais, ni wao waliomweka Jaji Damian Z. Lubuva Tume ya Uchaguzi, ni wao waliomweka Makinda kwenye Uspika, ni wao waliopendekeza Sitta apewe wizara hafifu kisiasa ya AfriKa Mashariki, sasa Rais ni nani hapo. Isitoshe, EL alishasikika kwenye vijiwe akitamka wazi kwamba atarudishiwa uwaziri mkuu mwaka 2013. Tusubiri kuona hayo kama yatatimia.
Maswali gani tena haya. Kwanini asifahamu wakati familia hizo mbili hazijakutana barabarani?
Mkuu MTOA HABARI kwa nini tUME YA UCHAGUZI WALIIBA KURA NYINGI NA KUMPA jk URAIS?
kwa hiyo walikutana barabarani and at the same time wanahujumiana kumsaidia slaa ashinde...!hapa kama sikusomi sawasawa bwana mkubwa!
eti nini? i will be back.Wanatoka mbali na wana siri moja, tokea enzi zile za wote kwa pamoja jinsi gani walijipanga kuhamia Chadema iwapo Jk angekatwa jina 2005. EL akatumia mwanya huo huo kwani miundo mbinu yote kule Chadema aliijenga bwana EL. EL na Chadema wana mahusiano mazuri kuliko watu wanavyofikiri.
mbona alisikika pia akutuambia atakuwemo kwenye baraza la mawaziri baada ya uchaguzi mkuu huu wa juzi tena akitutajia mpaka wizara atakayoiongoza na kwa nini anaitaka hiyo wizara lakini haikua hivyo??naona mnajribu ku create fear ...poa ni strategy nzuri somaetimez,lakini nchi hii sio ile ya nyerere na sokoine ya kutishana kwamba nyerere yupo kila mahali!kuna vichwa ngumu kama mimi huwa hatutishiki na propaganda kama hizi,ila utawapa wa kutosha!
Kura za JK zingekuwa kidogo zaidi ya hiyo asilimia 60 na uchee, kama kampeni yake ingeendeshwa na CCM chini ya Makamba kwani huyu ni kundi la kina ENL, RA, RO, Apson, na walijiandaa kufanya matokeo yaonyeshe JK bila ENL, hana mvuto. Hivyo, mbali na haja ya kuhamishia kampeni kwenye familia, pia ilihitaji juhudi nyingine za kijanja. Mfano mzuri tu ni kwamba kwa wale walio bahatika kuzunguka na JK mikoani, hasa kule ambako EL ana nguvu (sio CCM, naongelea El), kwa mfano kanda ya Ziwa n.k, ilikuwa obvious kwa waelewa wa mambo kwamba JK anakabiliwa na upinzani wa kina EL na wa vyama vya upinzani. Timu ya EL ilijikita zaidi kusaidia wabunge wake wapite, sio Kura za Urais, hizo hawakujali kama zingeenda Chadema. isitoshe, kuanguka kwa wabunge wa EL wawili watatu kwa mfano Masha na Batilda sio kitu, kwani wabunge wote walioshinda kupitia viti maalum UVCC Tanzania nzima ni wa EL. Ridhiwani alikuwa na timu yake kutafuta wabunge wao, na timu ya EL kutafuta wabunge wao. Ridhiwani na baba yake hawakupata hata mmoja.
Sijui nini ni kigumu kuelewa hapo. JK hana ujanja kwa EL. Wanatoka mbali na wana siri moja, tokea enzi zile za wote kwa pamoja jinsi gani walijipanga kuhamia Chadema iwapo Jk angekatwa jina 2005. EL akatumia mwanya huo huo kwani miundo mbinu yote kule Chadema aliijenga bwana EL. EL na Chadema wana mahusiano mazuri kuliko watu wanavyofikiri. Ukumbukwe pia kwamba EL alitaka kuchukua fomu kugombea 2010, kinyume na taratibu, lakini akaamua kuacha dakika ya mwisho. Nikipata muda nitakueleza zaidi, na vile vile jinsi gani mchezo huo huo ulichezwa Igunga juzi na EL, RA, na kuipatia Chadema Kura nyingi sana, akisaidiwa na vijana wake kina Bashe, January n.k. Kwa Igunga, nia ilikuwa ni kumtumia ujumbe JK na Kamati Kuu kwamba suala la kuvuana gamba sio la masihara, mnaweza kupoteza majimbo kimchezo mkiamua kufanya hayo Monduli na Bariadi Mashariki.
JK ni mtu wa mjini, kama vile alivyo RO, kwahiyo upo sahihi katika hilo. Lakini hiyo haikutosha kumpatia nafasi yake ya sasa, bali mkono wa Apson. Kuhusu Kibeloh, yeye hakuwa anaiva na JK, alikuwa anamteta sana kwamba hana maadili na kueleza mengi sana yaliyokuwa yanajiri wakisafiri wote nje, kitu kilichopelekea Kibeloh kutolewa ukatibu mkuu mambo ya nje na kupelekwa ubalozini UK.
........... kusema yeye hamuogopi mtu yeyote na hata kwenye vikao tuwaulize wajumbe wa cc na nec kuhusu misamamo yake kuhusu hao jamaa ndani ya vikao,akasema watu wengi wanawaogopa kwa kuwa wanaamini jaami anaweza kuwa rais hawapendi kugombana nae atawanyima vyeo yeye kinana akadai hana shida ya vyeo,anafanya biashsra zake ndio manaa hawaogopi na amekuwa akiwapinga vikaoni na kumuunga mkono sitta walipotaka kumfukuza akiwa spika!
Hapa mi ninavyojua alichokifanya APSON kwa mshangao wa wengi badala ya kupendekeza jina zaidi ya moja kwa mtu anaefaa kushika mikoba yake alipendekeza kwa rais jina moja tu RASHID OTHMAN,huku akiufahamu uswahiba wa jakaya na othman!wengi tuliona kama ulikua ni mtego kwa jk hatukujua Apson kwa nini alifanya vile,na kumbuka jakaya alikua amekwishamuomba Apson aendelee kubaki pale kwa angalau miaka miwili zaidi but apson akakataa akamwambia inatosha anataka kupumzika!
Mimi nachofanya ni kutoa tu taarifa, sio ku justify chochote. Kama alisema atakuwa askofu, shehe, atasuka nywele, sawa tu, lakini vilevile alisema atakuwa waziri mkuu 2013, na kama unasema alitamka atakuwa waziri 2010, napo sawa tu. Zote hizi ni taarifa.