Kikwete, huu mtandao ni hatari! Be careful, otherwise waweza kuwa historia (Part 1)

Kikwete, huu mtandao ni hatari! Be careful, otherwise waweza kuwa historia (Part 1)

Hiyo ndiyo hali halisi, kama utachukulia kwamba ni vitisho, basi tusubiri kelele za JF zizae matunda. Vinginevyo, kama unanisoma vizuri, mimi sipo upande wa huyo mpuuzi Edward Lowassa, kwani wafanyao hivyo hawana akili ya kujituma bali ya kutumwa. Akili yangu ni ya kujituma, na nina uhakika wengi wameshasoma hilo. Vinginevyo, una uhuru wa kwenda huko Rose Garden na kwingineko hata leo na kwenda kuzungumza hayo halafu uturudie na feedback.

kwanza mimi sio mtu wa huko RG,Siwezi kwenda leo eti tu nije niku prove wrong,mimi kijiwe changu kipo katikati ya mji na wanakuja watu wa kila aina kuanzia mawaziri na wabunge tunazungumza sana politocs kwa uhuru wa hali ya juu na tuna principle ya club yetu kwamba mtu yeyeote kwa cheo chochote akishafika club basi cheo anakiweka kando na anakuwa challenged kama memmber mungine,na hapo lowassa anachambuliwa hadharnai kwa kuwa wengi hapo hawamkubali wapo wachache wanamkubali,kwa hiyo tunajadili kwa uhuru wa hali ya juu,maana hiyo ni club ya wazi kuna watu wa ccm,chadema,nccr,simba,yanga,pan etc na sio wanachama wa kawaida ni mpaka viongozi wa taasisi hizo,kama hivyo vitisho vipo basi pale klabuni tutauwawa wengi na hilo genge la bwana lowassa...!
 
Ukipata muda kafanye utafiti kubaini kwanini JK alihamishia kampeni ya 2010 kwenye familia badala ya kuiacha kama miaka yote mikononi mwa CCM, halafu uturudie.

sina haja ya kufanya utafiti ni wazi hakua anaiamini sekretariet chini ya makamba na ndio mana badae akaivunjilia mbali japo alichelewa kufanya hivyo kutokana na undumilakuwili wake,na aliemshika masikio kufanya maamuzi ya kuitumia familia ni ridhiwani!
 
kwanza mimi sio mtu wa huko RG,Siwezi kwenda leo eti tu nije niku prove wrong,mimi kijiwe changu kipo katikati ya mji na wanakuja watu wa kila aina kuanzia mawaziri na wabunge tunazungumza sana politocs kwa uhuru wa hali ya juu na tuna principle ya club yetu kwamba mtu yeyeote kwa cheo chochote akishafika club basi cheo anakiweka kando na anakuwa challenged kama memmber mungine,na hapo lowassa anachambuliwa hadharnai kwa kuwa wengi hapo hawamkubali wapo wachache wanamkubali,kwa hiyo tunajadili kwa uhuru wa hali ya juu,maana hiyo ni club ya wazi kuna watu wa ccm,chadema,nccr,simba,yanga,pan etc na sio wanachama wa kawaida ni mpaka viongozi wa taasisi hizo,kama hivyo vitisho vipo basi pale klabuni tutauwawa wengi na hilo genge la bwana lowassa...!

Ilikuwa ni tahadhari tu, kutokana na experience yangu, kwamba ni muhimu sana kujiangalia umekaa wapi, na kuna watu gani, kabla ya kuanza mijadala kama hii, na nikatolea Rose Garden kama mmoja wa mifano, ingawa suala hili transcends jiji zima na miji mikuu karibia yote (sio vijijini). Vinginevyo ukijihisi upo salama, endelea na maisha yako kama kawaida, na niwie radhi kwa kutoa tahadhari hiyo.
 
Na ni yeye na RA ndio waliomweka Waziri Mkuu Pinda baada ya ile "ajali ya kisiasa", ni wao pia waliomweka Bilal umakamu wa Rais, ni wao waliomweka Jaji Damian Z. Lubuva Tume ya Uchaguzi, ni wao waliomweka Makinda kwenye Uspika, ni wao waliopendekeza Sitta apewe wizara hafifu kisiasa ya AfriKa Mashariki, sasa Rais ni nani hapo. Isitoshe, EL alishasikika kwenye vijiwe akitamka wazi kwamba atarudishiwa uwaziri mkuu mwaka 2013. Tusubiri kuona hayo kama yatatimia.

mbona alisikika pia akutuambia atakuwemo kwenye baraza la mawaziri baada ya uchaguzi mkuu huu wa juzi tena akitutajia mpaka wizara atakayoiongoza na kwa nini anaitaka hiyo wizara lakini haikua hivyo??naona mnajribu ku create fear ...poa ni strategy nzuri somaetimez,lakini nchi hii sio ile ya nyerere na sokoine ya kutishana kwamba nyerere yupo kila mahali!kuna vichwa ngumu kama mimi huwa hatutishiki na propaganda kama hizi,ila utawapa wa kutosha!
 
Mkuu MTOA HABARI kwa nini tUME YA UCHAGUZI WALIIBA KURA NYINGI NA KUMPA jk URAIS?

Kura za JK zingekuwa kidogo zaidi ya hiyo asilimia 60 na uchee, kama kampeni yake ingeendeshwa na CCM chini ya Makamba kwani huyu ni kundi la kina ENL, RA, RO, Apson, na walijiandaa kufanya matokeo yaonyeshe JK bila ENL, hana mvuto. Hivyo, mbali na haja ya kuhamishia kampeni kwenye familia, pia ilihitaji juhudi nyingine za kijanja. Mfano mzuri tu ni kwamba kwa wale walio bahatika kuzunguka na JK mikoani, hasa kule ambako EL ana nguvu (sio CCM, naongelea El), kwa mfano kanda ya Ziwa n.k, ilikuwa obvious kwa waelewa wa mambo kwamba JK anakabiliwa na upinzani wa kina EL na wa vyama vya upinzani. Timu ya EL ilijikita zaidi kusaidia wabunge wake wapite, sio Kura za Urais, hizo hawakujali kama zingeenda Chadema. isitoshe, kuanguka kwa wabunge wa EL wawili watatu kwa mfano Masha na Batilda sio kitu, kwani wabunge wote walioshinda kupitia viti maalum UVCC Tanzania nzima ni wa EL. Ridhiwani alikuwa na timu yake kutafuta wabunge wao, na timu ya EL kutafuta wabunge wao. Ridhiwani na baba yake hawakupata hata mmoja.
 
kwa hiyo walikutana barabarani and at the same time wanahujumiana kumsaidia slaa ashinde...!hapa kama sikusomi sawasawa bwana mkubwa!

Sijui nini ni kigumu kuelewa hapo. JK hana ujanja kwa EL. Wanatoka mbali na wana siri moja, tokea enzi zile za wote kwa pamoja jinsi gani walijipanga kuhamia Chadema iwapo Jk angekatwa jina 2005. EL akatumia mwanya huo huo kwani miundo mbinu yote kule Chadema aliijenga bwana EL. EL na Chadema wana mahusiano mazuri kuliko watu wanavyofikiri. Ukumbukwe pia kwamba EL alitaka kuchukua fomu kugombea 2010, kinyume na taratibu, lakini akaamua kuacha dakika ya mwisho. Nikipata muda nitakueleza zaidi, na vile vile jinsi gani mchezo huo huo ulichezwa Igunga juzi na EL, RA, na kuipatia Chadema Kura nyingi sana, akisaidiwa na vijana wake kina Bashe, January n.k. Kwa Igunga, nia ilikuwa ni kumtumia ujumbe JK na Kamati Kuu kwamba suala la kuvuana gamba sio la masihara, mnaweza kupoteza majimbo kimchezo mkiamua kufanya hayo Monduli na Bariadi Mashariki.
 
Wanatoka mbali na wana siri moja, tokea enzi zile za wote kwa pamoja jinsi gani walijipanga kuhamia Chadema iwapo Jk angekatwa jina 2005. EL akatumia mwanya huo huo kwani miundo mbinu yote kule Chadema aliijenga bwana EL. EL na Chadema wana mahusiano mazuri kuliko watu wanavyofikiri.
eti nini? i will be back.
 
mbona alisikika pia akutuambia atakuwemo kwenye baraza la mawaziri baada ya uchaguzi mkuu huu wa juzi tena akitutajia mpaka wizara atakayoiongoza na kwa nini anaitaka hiyo wizara lakini haikua hivyo??naona mnajribu ku create fear ...poa ni strategy nzuri somaetimez,lakini nchi hii sio ile ya nyerere na sokoine ya kutishana kwamba nyerere yupo kila mahali!kuna vichwa ngumu kama mimi huwa hatutishiki na propaganda kama hizi,ila utawapa wa kutosha!

Mimi nachofanya ni kutoa tu taarifa, sio ku justify chochote. Kama alisema atakuwa askofu, shehe, atasuka nywele, sawa tu, lakini vilevile alisema atakuwa waziri mkuu 2013, na kama unasema alitamka atakuwa waziri 2010, napo sawa tu. Zote hizi ni taarifa.
 
Kura za JK zingekuwa kidogo zaidi ya hiyo asilimia 60 na uchee, kama kampeni yake ingeendeshwa na CCM chini ya Makamba kwani huyu ni kundi la kina ENL, RA, RO, Apson, na walijiandaa kufanya matokeo yaonyeshe JK bila ENL, hana mvuto. Hivyo, mbali na haja ya kuhamishia kampeni kwenye familia, pia ilihitaji juhudi nyingine za kijanja. Mfano mzuri tu ni kwamba kwa wale walio bahatika kuzunguka na JK mikoani, hasa kule ambako EL ana nguvu (sio CCM, naongelea El), kwa mfano kanda ya Ziwa n.k, ilikuwa obvious kwa waelewa wa mambo kwamba JK anakabiliwa na upinzani wa kina EL na wa vyama vya upinzani. Timu ya EL ilijikita zaidi kusaidia wabunge wake wapite, sio Kura za Urais, hizo hawakujali kama zingeenda Chadema. isitoshe, kuanguka kwa wabunge wa EL wawili watatu kwa mfano Masha na Batilda sio kitu, kwani wabunge wote walioshinda kupitia viti maalum UVCC Tanzania nzima ni wa EL. Ridhiwani alikuwa na timu yake kutafuta wabunge wao, na timu ya EL kutafuta wabunge wao. Ridhiwani na baba yake hawakupata hata mmoja.

Pia hapa kuna mashaka na uyasemayo,kama kule mwanzo ulimuonyesha lowassa kama ni lijitu moja lenye miguvu ya ajabu na lipo kila mahali nyeti huku jk ukimuonyesha kama ni kasisimizi tu kasikokuwa na guvu wala mamlaka yeyote kwenye taasisi nyeti,na pia ukaendelea kuonyesha kwamba wanaloamua kina lowasa na rostam ndio linakua na hapa walipenda slaa ashinde ili kumkomoa jakaya ina maana hawakujua mahali rahisi pa kuwawezesha kutimiza azma yao hiyo ilikua ni kuitumia tume ya uchaguzi?intellijensia hiyo ya apson na othman ilishindwa vipi kumshauri rais lowassa njia ya kupita ili kumshinda jakaya kirahisi kwa kuwa ni wazi hawakutegemea kumshinda jk kwa kuwategemea wapiga kura na sanduku la kura bali kwa mikakati ya nje ya uwanja...na ilikuwaje wabunge wa rais lowassa tena wale watiifu kwake kama karamagi,lau na batilda yule wa shinyanga aliyeshindwa na shibuda wakashindwa?kuna maswali mengi sana kuhusu majibu,lowassa anaweza kuwa na nguvu lakini si kwa kiasi mnachotaka kuwaaminisha watu,ingekua hivyo kina nape wangeshapotea katika mazingira ya kutatanisha,watu kama makongoro nyerere wasingekua na uwezo wa kuwavaa hadharani.

Kiukweli kina lowassa ni jk mwenyewe ndio anaewaendekeza na mpaka sasa hakuna anaeujua msimamo wa jk kuhusu lowassa,jk ni mtu ambae haaminiki,nakumbuka kipindi flani wakti wa kampeni nilizungumza na kinana,mbele ya kubenea na muandishi mwingine,kina akiwa ametokea mikocheni pamoja na januari kuongea na mengi akimbembeleza awaambie wahariri wake wamsaida jakaya badala ya slaa kufuatia moja kati ya magazeti ya mengi kuonekena kumgonga gonga jakaya,baada ya januari kuondoka kinana tukawa tunambana kuhusu kwenda kuwainua mikono rostam na lowassa majimboni mwao,kinana alichosema ni kwamba jakaya ni mbishi na inaonekana bado anawapenda jamaa zake na angependa wawemo kwenue serikali yake ijayo,lakini akasema wanaoweza kumsaidia jakaya aachane na kina lowassa ni kina kubenea kwa maana ya waandishi,tukamuuliza kivipi akasema ni kwa wao kuwaandika vibaya daily kina lowassa ili jakaya aone kweli hawafai na watazidi kumharibia,kwa sababu kinana alisema walikua wanapata wakati mgumu kila wanapoenda kutokana na watu hao wawili kuonekana bado wako nao!anasema wananchi walikua hawawaelewi,kinana akafika mbali kwa kusema yeye hamuogopi mtu yeyote na hata kwenye vikao tuwaulize wajumbe wa cc na nec kuhusu misamamo yake kuhusu hao jamaa ndani ya vikao,akasema watu wengi wanawaogopa kwa kuwa wanaamini jaami anaweza kuwa rais hawapendi kugombana nae atawanyima vyeo yeye kinana akadai hana shida ya vyeo,anafanya biashsra zake ndio manaa hawaogopi na amekuwa akiwapinga vikaoni na kumuunga mkono sitta walipotaka kumfukuza akiwa spika!
 
Sijui nini ni kigumu kuelewa hapo. JK hana ujanja kwa EL. Wanatoka mbali na wana siri moja, tokea enzi zile za wote kwa pamoja jinsi gani walijipanga kuhamia Chadema iwapo Jk angekatwa jina 2005. EL akatumia mwanya huo huo kwani miundo mbinu yote kule Chadema aliijenga bwana EL. EL na Chadema wana mahusiano mazuri kuliko watu wanavyofikiri. Ukumbukwe pia kwamba EL alitaka kuchukua fomu kugombea 2010, kinyume na taratibu, lakini akaamua kuacha dakika ya mwisho. Nikipata muda nitakueleza zaidi, na vile vile jinsi gani mchezo huo huo ulichezwa Igunga juzi na EL, RA, na kuipatia Chadema Kura nyingi sana, akisaidiwa na vijana wake kina Bashe, January n.k. Kwa Igunga, nia ilikuwa ni kumtumia ujumbe JK na Kamati Kuu kwamba suala la kuvuana gamba sio la masihara, mnaweza kupoteza majimbo kimchezo mkiamua kufanya hayo Monduli na Bariadi Mashariki.

Lakini mheshimiwa hayo yote unayoyazungumza mbona sio siri kuhusu igunga,maana bashe aliropoka mpaka mbele wilson mukama katibu wa ccm kwamba bora tupoteze jimbo igunga ili tuheshimiane,lakini je licha ya jitihada zao zote na hayao maguvu mnayotka kutuaminisha wanayo mbona walishindwa na ccm ikachukua hiko kiti cha igunga tena,hapo hizo nguvu za lowasa na rostam tena safari hii nyumbani palepale kwa rostam ziliishia wapi?

N a kuhusu kutishia kuchukua fomu na kuahirisha 2010 kwani alifanya hivyo lowassa peke yake?mbona alianza kumtikisa jakaya kuhusu hilo alikua ni John shibuda?wala sio ajabu watu wa aina hiyo kujitokeza kumtisha rais aliyeko na anaetakiwa kutetea kiti kwa term ya pili,yupo mmjoja alikua alimtisha hata mzee mkapa kama unakumkumbuka yule mtu wa mara jina limenitoka,kwa sasa ni marehemu,kwanini kitu akifanya lowassa hata kama nui cha kawaida watu wanapenda kuonyesha kama ni jambo la ajaaaaabu!
 
JK ni mtu wa mjini, kama vile alivyo RO, kwahiyo upo sahihi katika hilo. Lakini hiyo haikutosha kumpatia nafasi yake ya sasa, bali mkono wa Apson. Kuhusu Kibeloh, yeye hakuwa anaiva na JK, alikuwa anamteta sana kwamba hana maadili na kueleza mengi sana yaliyokuwa yanajiri wakisafiri wote nje, kitu kilichopelekea Kibeloh kutolewa ukatibu mkuu mambo ya nje na kupelekwa ubalozini UK.

Hapa mi ninavyojua alichokifanya APSON kwa mshangao wa wengi badala ya kupendekeza jina zaidi ya moja kwa mtu anaefaa kushika mikoba yake alipendekeza kwa rais jina moja tu RASHID OTHMAN,huku akiufahamu uswahiba wa jakaya na othman!wengi tuliona kama ulikua ni mtego kwa jk hatukujua Apson kwa nini alifanya vile,na kumbuka jakaya alikua amekwishamuomba Apson aendelee kubaki pale kwa angalau miaka miwili zaidi but apson akakataa akamwambia inatosha anataka kupumzika!
 
........... kusema yeye hamuogopi mtu yeyote na hata kwenye vikao tuwaulize wajumbe wa cc na nec kuhusu misamamo yake kuhusu hao jamaa ndani ya vikao,akasema watu wengi wanawaogopa kwa kuwa wanaamini jaami anaweza kuwa rais hawapendi kugombana nae atawanyima vyeo yeye kinana akadai hana shida ya vyeo,anafanya biashsra zake ndio manaa hawaogopi na amekuwa akiwapinga vikaoni na kumuunga mkono sitta walipotaka kumfukuza akiwa spika!

Kinana yupo sahihi, kwani mkataba uliopo ni baina na JK na EL/RA, kinana yeye hayupo humo, huwa wanamuomba tu awe mwenyekiti wa kampeni kwa sababu yupo very sharp, na ana mvuto na ushawishi mkubwa ndani ya CCM. Vinginevyo mkataka uliopo kati ya JK na EL ulianzia mwaka 1995, kwamba wewe ukiwa rais, mimi waziri mkuu, mimi nikiwa rais, wewe waziri mkuu, na yeyote atakayekuwa waziri mkuu atakuwa ni Rais in waiting. Na ndani ya mkataba huo, JK, EL, RA wakafanya madudu mengi pamoja katika kipindi cha 1995 - 2005, ambayo yalizidi kuwa bind pamoja. Vinginevyo EL angeamua kuwa kama Kinana - kuachana na Siasa na kujikita katika biashara zake, nchi isingekuwa katika hali tete kama hii leo. Ikumbukwe pia kwamba Kinana na EL ni marafiki wa miaka mingi sana, na ukaribu wa Kinana na JK ulijengwa na EL.

Ipo siku jina na EL litapotea katika anga za siasa na kurudisha nchi katika hali ya utulivu na ujenzi wa taifa. Vinginevyo mpaka tufike huko, tukubali kupoteza muda na nguvu zetu nyingi kuhoji, huyu EL ni nani, ana malengo gani na nchi hii, na kwanini anataka Urais kwa nguvu kubwa kiasi hicho wakati kiongozi wa kweli ni yule anaeogopa madaraka.
 
Hapa mi ninavyojua alichokifanya APSON kwa mshangao wa wengi badala ya kupendekeza jina zaidi ya moja kwa mtu anaefaa kushika mikoba yake alipendekeza kwa rais jina moja tu RASHID OTHMAN,huku akiufahamu uswahiba wa jakaya na othman!wengi tuliona kama ulikua ni mtego kwa jk hatukujua Apson kwa nini alifanya vile,na kumbuka jakaya alikua amekwishamuomba Apson aendelee kubaki pale kwa angalau miaka miwili zaidi but apson akakataa akamwambia inatosha anataka kupumzika!

Upo sahihi katika hilo, JK alimbembeleza sana Apson abakie miaka miwili zaidi na ikiwezekana amalize term ya kwanza ya JK, lakini alikataa. Lakini in the process, Apson akaipangua sana TISS kwa ni ya kupunguza kwa kiasi kikubwa sana, the 'absolute power' aliyokuwa nayo Director General, na hivi sasa madaraka na maamuzi TISS yametapakaa sehemu nyingi, na RO huwa analalamika sana juu ya hili.
 
Mimi nachofanya ni kutoa tu taarifa, sio ku justify chochote. Kama alisema atakuwa askofu, shehe, atasuka nywele, sawa tu, lakini vilevile alisema atakuwa waziri mkuu 2013, na kama unasema alitamka atakuwa waziri 2010, napo sawa tu. Zote hizi ni taarifa.

Mtoahabari,

Nimekuelewa vizuri hapo unaposema wewe ni mtoa taarifa tu. Kwani taarifa si lazima iwe sahihi ama la. Ni mpaka hapo hapo itakapotokea ndio itakuwa sahihi. Kama nilivyosema huko nyuma ni jukumu letu wana JF kufanya our own independent assessment ili kabla ya kufikia kwenye final solution. "mtaohabari" katimiza wajibu wake kwa sisi watanzania tuliosoma. Nasi basi tutumie akili zetu (za kuzaliwa + darasani/vyuoni) tufikie mwisho. Na ndio hapo kila mmoja wetu ajitokeze kuplay his/her part.
Ushauri mzuri wa wahenga wetu naona upo valid kabisa katika hili "ILI KUMUUA NYOKA LAZIMA UENDE KICHWANI". Hivi sasa namkumbuka sana marehemu E. MZENA, yule kamanda alikuwa jasiri na hana uoga, kama angalikuwapo huyu EL angeshakuwa history na wafuasi wake waliobakia inakuwa rahisi kuwadhibiti. Unfortunately, operations specialists waliopo chini ya RO ni gutless and cowards! Mmebakia ma-Analyst mnaona upuuzi wote unaoendelea bila kujua la kufanya. Kuna kitu wenzetu wanaita true sons of the country they are sucrificed for the benefits of the future generations. Sijui sie kitu kama tunacho mtaohabari?
 
Back
Top Bottom