Kikwete, huu mtandao ni hatari! Be careful, otherwise waweza kuwa historia (Part 2)

Tanzania yangu... Wageni wana huruma na nchi hii kuliko wazawa
 
ngumarwa
Mkuu wangu usipende kuokota maneno kwenye vijiwe vya mapuya na kuleta JF.

Hii story yako imejaa uongo mtupu labda Bavicha watakueelewa lakini siyo watu wenye elimu na akili ya kupima mambo hii habari tumeishaisoma miaka ya nyuma hapa kwa hapa JF wewe tena una copy and paste.

Ahsante.
 
Last edited by a moderator:
Mi simkubali Lowassa, lakini mkimpinga wa hoja za kipuuzi kama hizi naona kila dalili za Lowassa kuingia Ikulu kwa huruma za watanzania kwa jinsi anavyoandamwa...
 
Muwaache Moderators wafanye kazi yao. Si vibaya pia na huu ukaendelea kuwepo ili Watanzania waone madudu ya Rostam

Tayari moderator wameshafanya kazi yao, haya rudi kule jukwaa la siasa ukaendelee kukata viuno jukwaa hili wewe hutoshi.
 

Kwani muungano ni amri ya Mungu? Na uvunjike bwana. Acha longolongo wewe!
 
Yes......come oktomba 25th. "BUHARI AAPISHWA: Rais mpya wa Nigeria Jenerali Mstaafu Muhammadu Buhari aapishwa leo mjini Lagos, likiwa ni tukio la kwanza la kupokezana madaraka kwa amani."tuombe mungu yatokee kwetu pia.
 
Yes......come oktomba 25th. "BUHARI AAPISHWA: Rais mpya wa Nigeria Jenerali Mstaafu Muhammadu Buhari aapishwa leo mjini Lagos, likiwa ni tukio la kwanza la kupokezana madaraka kwa amani."tuombe mungu yatokee kwetu pia.

Wewe upo dunia ipi?
 
Pasco na Hutaki Unaacha, bila kujali maelezo yapi ni ya kweli, naanza kuona sababu ya safari za US kila wakati. US kwa jinsi walivyo hakuna rafiki wa maana anayeweza patikana Afrika. Ni watu wanamtumia yeyote na kumtupa kama toilet paper wakati wowote.

Huyo Rostam pia hakuna lolote. Hakuna popote ambapo US waliwahi kumuingiza raia wa nje ya US ktk mtandao wa CIA na baadaye wakamuachia hivyo hivyo. Kama haya ni kweli, natabiri mwisho mbaya wa Rostam kama CIA walivyozoea kufanya.
 
Faiza .......nilikuwa nanukuu Breaking News kutoka Mwananchi kuhusu kuapishwa Rais wa Nigeria yaani makabidhiano ni salaama na tuombe kwetu pia yawe salaama ie ccm to ukawa au ccm to ccm ndiyo maana nikasema come oktomba 25th.For your info Rais wa Kenya alivunja safari ya kwenda nigeria dakika za mwisho baada ya kutonywa anaandamana na maofisa 84 kwenye safari hiyo ya siku moja ni itagharimu serikali Kshs 5b.badala yake akamteuwa Deputy presidaa W Ruto aende na huyu aka andamana na watu sita tu. NILIONA RAHA KWA MKUU HUYU JIRANI KUJALI PESA ZA WALIPA KODI.
 

Umemsikia Membe leo bungeni akijibu hilo?
 

Mchunguzi I wish watu wakusome... I wish..watakuelewa.
 
Membe kawajibu vizuri sana hilo swali lenu bungeni.

Kasema nyinyi mnatuambia sisi tujifunze ya Naigeria, jee, nyinyi mnajifunza ya duniani?

Ulimsikiliza?

Hivi we bimkubwa uko Ulaya kweli kama unavyojinadi kila siku humu au??

 
Hivi we bimkubwa uko Ulaya kweli kama unavyojinadi kila siku humu au??


Lini nilisema niko "Ulaya", uongo mwingine hauna kichwa wala miguu. "Ulaya" nimeenda kutembea au kwa kazi tu. Mimi sasa hivi nipo Mkuranga.

Nimeishi sana nje ya Tanzania lakini si Ulaya, jaribu bahati yako.

Jina kuuubwa kumbe hata Ulaya haujuwi ni wapi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…