Mwanajamii
JF-Expert Member
- Mar 5, 2008
- 7,063
- 72
Haaahaaa! Haya bwana mi sijasema! Yamekuwa hayo???!!!Jamani sisi wengine tunachambua vitu tunavyoona vinatufaa na vile tunavyoona tunavitilia mashaka tunandela kuvifanyia uchunguzi. Hii habari ilishatoka na kwa ninavyoijua serikali yetu ni lazima tungeona wametoka kukanusha. kwa mfano hili la Mwamunyange kumdharau Jakaya mimi nalijua Personally. Jamaa huwa akisikia habari za Jakaya anatabasamu kwa dharau!
Mkuu Mzee Busara, CDF Davis Mwamunyange sio msafi kihivyo unavyodhania, kuna issues zake za Afrika Kusini na nyingine za London ambazo ni za Davis Mwamunyange zaidi ya huyu umjuaye, tumezihifadhi tu kwa heshima yake!.Kwa taarifa yake Davis ana heshima ya kutosha kwa JK na hili mnalifanya kwa malengo yenu. Davis ni mtu wa JK muda mrefu na asifika kuwa Mkuu wa Mjeshi kutoka JKT bila JK na hiyo haijawahi kutokea tangu uhuru ambapo baadhi ya wanajeshi hawakupenda mtu kutoka JKT ndio wanaleta uchonganishi.
Mkuu Zumbemkuu,mkuu nimeshindwa kutofautisha shukrani na hisani kwenye medali za kisiasa
GY, kama amekaa bungeni miaka 5 bila kuuliza swali lolote wala kuchangia mada yoyote, who the hell is JF aje ajibu humu?!.Akili ya kupewa changanya na yako. Hivi Rostam sio member aje ajibu haya
Hata mkoloni alifikiri atatawala mileleChadema kuchukuwa nchi matope yatageuka blue band!
KUna wakati anayeteua analazimika kufanya uteuzi kwa usalama wake na akishateua anakuwa ana uhuru wa kutengua uteuzi licha ya uwezo wa kisheria alionaoHutaki Unaacha, naomba nijibu swali hili: Ni nani alimteua Mwamunyange na je ni nani anaweza kusitisha uteuzi wake?
Hakika Boss haya yote ni zao la TISS,hivi jamani dunia inakwenda inabadilika nilipata kuandika thread kuwaambia wabadilike sasa watoke kuwa Idala wawe taasisi yenye idala timilifu.Zenye kila aina ya viwango kuanzia kila aina idala kama ya Ujasusi Ndani ya Nchi, Idala ya Ujasusi Kimataifa, Idala ya Ujasusi Kifedha na Uchumi Idala ya Ujasusi Sayansii, Tekinlojia na Mawasiliano, Idala ya Ujasusi Utamaduni na Siasa, Idala ya Ujasusi Ulinzi wa Viongozi na Wenye hadhi ya Ulinzi Idala ya Ujasusi elimu na Taaaluma Idala ya Ujasusi Biashara na Maliasili za Nchi Idala ya Ujasusi Mahusiano ya Umma. Idala ya Ujasusi Rasilimaliwatu [Human Resource] Jamani duniani inakimbia hii,haya leo hii CIA tunaondani yapata miaka 20 na ushee jamani wazee wetu mmeacha Nchi inauzwa na Mwarabu burushi nanyi mnaona sawa.Hakika vizazi pia vitawa hukumu kwa hili.Hivi sifa za kuwa na majasusi waliosoma mataifa tofauti tofauti lengo ni kuleta ile tafsiri ya Mwalimu kuwa sisi Watanzania hatutakuwa tarishi wa Taifa lolote lile duniani. Imekuwaje watu wazima leo hii jamaa hawa wanaweka makazi na kuendesha vitendo vyao kicowboy, huku waliosoma Urusi, China, Israel, Misri, Cuba na Nyumbani Tanzania mnayaona haya na kufumbia macho.Je ni woga? au Kutojua kwa kuzidiwa kete kwa kuwa najua waliosomea Marekani wao wanaweza wasitoe msaada kwa kuzingatia kuwa Mwanafunzi amshindi Mwalimu. Kilio changu ni juu ya Watanzania Makomredi Cuba, USSR na China, mbinu zote za huko zimeprove kuwa si chochote mbele ya wababe wa dunia Marekani. Basi Mtwambie Watanzania?matatizo yetu yotee humu utaona yanaanzia TISS....... sio JK, wala RA wala EL, wala nani.................... Ni kama vile watu wa TISS hawajui haswa nafasi yao kwenye taifa hili........wamepwaya vibaya mno....... hawako ahead na mambo. Wanatumika na watu individuals.... hata sicilliam mafia kuna discipline ambayo TISS hakuna......... haijulikani their 'values' and their 'taboos'........ hawajui 'their noble cause' ni nini........ wapo tu wanapokea order............
Mkuu Zumbemkuu,
Shukrani ni kupewa posti za asante kutokana na jambo zuri ulilolifanya, hii inamaana unapata malipo stahili kwa kazi uliofanya kama appreciation kwa ulicholifanyia taifa hili.
Hisani ni favours tuu ya kukusaidia usiadhirike, favours hizi hutolewa kwa yeyote ambao watawala watakuangalia kwa favorable eye hata huna lolote jema ulilolifanyia taifa hili kama post kibao mkuu ametoa kwa vimada wake kulipa personal favours na wengine japo wamebebwa lakini bado hawabebeki!. They did nothing, wakapata hizo positions for nothing, na wamefanya nothing kwenye positions hizo!.