@FaizaFoxy, kwenye red: Is is possible that awamu zilijejenga barabara 9,999km? na hivyo Kikwete kwa miaka sita (5 1/2 yrs) akawa amejenga 1km?
Kikwete hajafanya miradi mikubwa yoyote, mingi alikuta tayari imeshanza na malipo yake yalikuwa tayari. Yeye amekuwa 'mfunguzi' au tuseme mzindizu wa hii miradi: Mliman City, Uwanja wa Taifa, Daraja la Mkapa. Hata chuo kikuu cha Dodoma kama sio Mkapa kisimamia tungekuwa tunaongea lugha ya Daraja la Kigambano! Mkapa aliweza kutafuta 'sources' of funds na akasimamia ujenzi.
Muda wa Kikwete madarakani unazidi kuyoyoma, walio karibu naye wamsaidie ili afanye kitu kimoja cha maana, lakini hiii tabia ya 'wapambe' ya kutaka kuanika mapungufu ya marais waliopita haiwezi kumjenga. By the way tumesikia mengi kuhusu Mwl Nyerere, sasa Mkapa. Ni lini tutasikia kuhusu Mwinyi?[/QUOTE]
Nani Mdini hapa? Kila kitu watu wa dini fulani, halafu mkiambiwa Wadini mnapiga kelele eti JK ndiyo Mdini. Acheni ujinga wenu kupotosha historia.