Kikwete kajenga barabara nyingi kuliko awamu zote tatu?

Kikwete kajenga barabara nyingi kuliko awamu zote tatu?

Viongozi tulionao hata kusimamia vizuri au kumalizia tu mwenzio alichokianzisha ni taabu tu...
 
Tazama shule ngapi za sekondari wakati wake na awamu zote zilizopita. Tazama zahanati. Tazama vyuo vikuu. Tazama barabara. Tazama viwanda. Halafu urudi useme uyasemayo.
niko nyuma yako mamyyy!!!
 
kimsingi awamu ya nne imeyumbisha mambo mengi ya kiuchumi!
 
Back
Top Bottom