Bantugbro JF-Expert Member Joined Feb 22, 2009 Posts 4,473 Reaction score 4,252 Nov 7, 2011 #61 Viongozi tulionao hata kusimamia vizuri au kumalizia tu mwenzio alichokianzisha ni taabu tu...
feis buku JF-Expert Member Joined Aug 29, 2011 Posts 2,341 Reaction score 677 Nov 7, 2011 #62 FaizaFoxy said: Tazama shule ngapi za sekondari wakati wake na awamu zote zilizopita. Tazama zahanati. Tazama vyuo vikuu. Tazama barabara. Tazama viwanda. Halafu urudi useme uyasemayo. Click to expand... niko nyuma yako mamyyy!!!
FaizaFoxy said: Tazama shule ngapi za sekondari wakati wake na awamu zote zilizopita. Tazama zahanati. Tazama vyuo vikuu. Tazama barabara. Tazama viwanda. Halafu urudi useme uyasemayo. Click to expand... niko nyuma yako mamyyy!!!
mayome Member Joined Jan 17, 2012 Posts 62 Reaction score 21 May 19, 2012 #63 kimsingi awamu ya nne imeyumbisha mambo mengi ya kiuchumi!