Elections 2010 Kikwete kufanya mdahalo Ijumaa, aweza kutangaza hali ya hatari Jumapili?

Elections 2010 Kikwete kufanya mdahalo Ijumaa, aweza kutangaza hali ya hatari Jumapili?

Mbona JK na midahalo ni sawa na Mmasai na samaki
Anachoweza kufanya nii kuweka iliyorekodiwa na asiruhusu maswali kama vile, atoe data za kuujisifu na mambo ya kawaida na kuwatisha watanzania tu lakini Dr naye arudie huu mdahalo. siku hizohizo au atafute majibu ya JK.
Maana akiruhusu maswali labda atafute mamluki wa maswali mepesi otheriwe litakuwa ndo kaburi lake na najua hawezii kuruhusu mjadala waukweli yaani live kama wa dr. slaa.
 
wako ikulu wanahangaika sana, wameshapiga simu, kila kona waehakikishiwa kuwa mdahalo umepokewa vema kila mahali, maeneo ya moshi vijijiini hasa katika bar ya kariwa kati, saed kubenea alishuhudia live shughuli zote zikifungwa tangu saa 12 kushuhudia mdahalo, vijana walihama nyumbani hadi vijiweni kama vile wanaangalia mpira wa yanga na simba, huko likuyu namtumbo, watu wengi wasiyo na televisheni walisheheni kwenye vibaa vya pombe kama vile wanaangalia mpira

huko likuyu namtumbo, watu wengi wasiyo na televisheni walisheheni kwenye vibaa vya pombe kama vile wanaangalia mpira
hahha mkuu umenifurahisha sana kwa kutaja pande za likuyu fusi, na namtumbo hahaha hata pande za Mliayoyo, ndilima za wayahi, mlogolo, kwa kuchile, nambendo, MPITIMBI NA NAMATUHI mpaka maposeni kooote ni CHADEMA NA SLAAAAAAA Dr. wa UKWELI
 
Hivi tangu lini Konokono akapita juu ya majivu? hawa jamaa sasa wamesua sua kama konokono for almost 50 yrs na sasa wanahaha kunusuru maisha yao.Imagine ww unaambiwa eti umetunukiwa shahada ya u dokta wakati hata kushika mkasi wa upasuaji hujui, na ww unakubali. Ni sawa na mtoto kupewa gari la udongo akakubali ndilo la ukweli. Sisi tunapasua majipu ya wagojwa tarehe 31 na wenye mabusha tunayachanja vile vile. tena hatuna dawa za ganzi maumivu mpaka moyoni. Kwani ukimchinja kuku unampatia ganzi?
 
Mbavu zangu jamani! Hahahaahahahha! :laugh: Eti kama mmasai na samaki!
 
Even Jesus Christ died on the cross for our salvation, why not me and u for the sake of our Mother Tanzania?
 
Hakuna ulazima wowote wa Rais Kikwete kufanya "mdahalo hewa" baada ya kura kupigwa na kujijenga kama bado ni Rais wakati wananchi wanasubiri matokeo ya Uchaguzi. Ninawashauri kina kinana kama lengo la "mdahalo hewa" wa Rais Kikwete kuwavutia wapiga kura waufanye wakati wa kampeni yaani (hadi Jumamosi). Watanzania wana haki ya kumsikiliza Kikwete ili awasaidie kufanya uamuzi wa kupiga kura.

Kitendo cha kupanga kufanya "mdahalo hewa" siku ya Jumapili, wakati kura zinasubiliwa na matokeo hayajatoka ni kitendo chenye lengo la kuandaa mazingira ya vitisho na hata kutangaza hali ya hatari hasa kama exit polls zinaonesha CCM kufanya vibaya.

Matokeo yake Rais Kikwete atatumia nguvu ya EPACT ya 1986 ambapo vyombo vyote vya habari vinaweza kupigwa marufuku kutangaza na radio zote kuanza kuimba nyimbo wanazozitaka na hivyo kuchakachua utaratibu wa kutangaza matokeo.

Kwa kufanya mazungumzo hayo usiku wa kuhesabu kura na kabla ya matokeo yote kutoka CCM inawataka wananchi wajikusanye kuandamana au kufanya vurugu ili hatimaye waweze kufungulia virungu dhidi yao.
Tutumie hekima basi tunapopanga baadhi ya mambo. Kwa vile uchaguzi utakuwa umeshapita sidhani kama kuna ulazima wa Kikwete kuzungumza usiku wa kuhesabu kura.

Kama atashinda basi atazungumza na wananchi siku ya kuapishwa. Is that too much to ask?

Mwanakijiji wakati mwingne ukiandika fikiria unachoandika. Huwezi sema kikwete atafanya mdahalo Jumapili ya siku ya kupiga kura, wakati unajua kuwa watu watakuwa washapiga kura. Na nini mdahalo?, mdahalo ni majadiliano baina ya mtu zaidi ya mmoja kwa hadhira. Sasa atafanya mdahalo na nani siku hiyo?.

Kama kutakuwa na Hotuba, itakuwa ya mwisho wa mwezi, na ana haki hiyo manake Urais wake utakoma siku atakapoapishwa Rais mpya.

Uandishi wako huwa unavutwa na hisia zako zaidi na kuacha uhalisia.
 
Anachoweza kufanya nii kuweka iliyorekodiwa na asiruhusu maswali kama vile, atoe data za kuujisifu na mambo ya kawaida na kuwatisha watanzania tu lakini Dr naye arudie huu mdahalo. siku hizohizo au atafute majibu ya JK.
Maana akiruhusu maswali labda atafute mamluki wa maswali mepesi otheriwe litakuwa ndo kaburi lake na najua hawezii kuruhusu mjadala waukweli yaani live kama wa dr. slaa.

Ref red:

Kuelimka si kumbukumbu nyingi kichwani..Ni Kuelewa na kupamabanua mambo... hasa unapokuwa Rais.

Mtu au Rais anayeelewa anatoa MISINGI YA MAENDELEO NA JINSI YA KUSTWAISHA JAMII sio Kutoa AHADI ZA KUDUMAZA MAENDELEO NA FIKRA ZA JAMIII...

Dr Ameshusha nondo KIUME with FULLL IMPACT ahadi wakafanye wakurugenzi na wakuu wa wilaya, mabwana shamba nk..HEKO DR SLAA shule yako imerudisha uhai wa Taifa baada ya muda mrefu kugubikwa na Vitu vya kukari na Kukremu.Sikunnyinge waeleze maana ya u Dr!!
 
Mwanakijiji wakati mwingne ukiandika fikiria unachoandika. Huwezi sema kikwete atafanya mdahalo Jumapili ya siku ya kupiga kura, wakati unajua kuwa watu watakuwa washapiga kura. Na nini mdahalo?, mdahalo ni majadiliano baina ya mtu zaidi ya mmoja kwa hadhira. Sasa atafanya mdahalo na nani siku hiyo?.

Kama kutakuwa na Hotuba, itakuwa ya mwisho wa mwezi, na ana haki hiyo manake Urais wake utakoma siku atakapoapishwa Rais mpya.

Uandishi wako huwa unavutwa na hisia zako zaidi na kuacha uhalisia.

alishasema hatotoa hutuba za mwezi hadi baada ya uchaguzi, labda kama uchaguzi unaisha baada ya kupiga kura na bila yakutangaza matokeo. Lakini nadhani taarifa zinasema ni siku hiyo ya Ijumaa (Octoba 29). Tusubiri tuone.
 
Hivi tangu lini Konokono akapita juu ya majivu? hawa jamaa sasa wamesua sua kama konokono for almost 50 yrs na sasa wanahaha kunusuru maisha yao.Imagine ww unaambiwa eti umetunukiwa shahada ya u dokta wakati hata kushika mkasi wa upasuaji hujui, na ww unakubali. Ni sawa na mtoto kupewa gari la udongo akakubali ndilo la ukweli. Sisi tunapasua majipu ya wagojwa tarehe 31 na wenye mabusha tunayachanja vile vile. tena hatuna dawa za ganzi maumivu mpaka moyoni. Kwani ukimchinja kuku unampatia ganzi?
hahahaha hahaha nimeipenda hiyo ya konokono kuserereka juu ya majivu hahaha hahaha

hahaaaa JK mwanakwetu mtoto wa kikwere toka chalinze dot com..mwaka wako huu?we si ulijitamba umekuwa wa kwanza kuonana na Obama sasa unaogopa midahalo tena ..khaaa kweli CCM mgombea wenu kama ndo kwa mtindo huu afadhali aanze kuandaa handover note mapema
 
alishasema hatotoa hutuba za mwezi hadi baada ya uchaguzi, labda kama uchaguzi unaisha baada ya kupiga kura na bila yakutangaza matokeo. Lakini nadhani taarifa zinasema ni siku hiyo ya Ijumaa (Octoba 29). Tusubiri tuone.

yaani mi sijaelewa anafanya mdahalo anamhutubia nani?? hivi huyu mzee yuko sawa kichwa ni kweli....Kama timu beki hazikabi sasa... Ntakuwa zangu mittani nacheza pool kuliko kusikiliza jk anaongea nini nishafanya maamuzi mie
 
Anahutubia kama nani na atahutubia nini? Hao tume ya uchaguzi wako wapi wamzuie huyu katika hila zake za kutaka kung'ang'ania madarakani?
 
Mbwembwe za kusainisha fomu za kugombea kwa jaji mkuu ni alama ya dharau. si angeenda pale kisutu zikasainiwa na kuhakikiwa?
sisi tunamwona na tunaunganisha dotis
 
alishasema hatotoa hutuba za mwezi hadi baada ya uchaguzi, labda kama uchaguzi unaisha baada ya kupiga kura na bila yakutangaza matokeo. Lakini nadhani taarifa zinasema ni siku hiyo ya Ijumaa (Octoba 29). Tusubiri tuone.

Kama atafanya mdahalo siku ya Ijumaa (29/10) hakuna shida, iko ndani ya siku za kampeni. Rejea tangazo la waandaaji wa mdahalo wa Dr. Slaa, ambao ndio walioandaa mdahalo wa wagombea Urais Zanzibar. Walisema Slaa atafanya tarehe 23/10, Prof. Lipumba atafanya tarehe 29/10. Na Kikwete katumiwa barua ila hajajibu kuwa atataka kushiriki ama la. Hivyo huenda kathibitisha kushiriki.

Mimi nadhani hili la tarehe 29 kutakuwa hakuna kosa kufanya mdahalo, ni ndani ya kampeni. Yawezekana unazusha hili la tarehe 31. Jee kuna "press release" yoyote juu ya hili la tarehe 31?.
 
Back
Top Bottom