Mzee Mwanakijiji
Platinum Member
- Mar 10, 2006
- 33,771
- 41,027
- Thread starter
- #61
Shukran kwa clarification! Lets hope he does try kibakism, mugabeism, bushism ndani ya florida, na 'ism' nyingine...maana ITS OVER!
P.S: Shukrani kwa video zako za Mdahalo wa Dr Slaa jana ITV
Ningependa pia kama kwenye ile thread yako nyingine ya wizi wa kura ungejisahihisha kwa kukubali kuwa wizi upo ila wananchi wanatakiwa kuwa makini katika kulinda kura zao. Maana hata Dr Slaa mwenye kakubali kuwa wizi upo na waliufanya Karatu ndani ya ngome yake mwaka 2005 na kudhibitishwa na mahakama mwaka 2006.
kwenye ile mada hakuna mahali ambapo nimesema wizi haupo.. nimesema ni "vigumu".. au unafikiri ni rahisi hivyo? kwa sababu ingekuwa rahisi hivyo hakuna haja ya kupiga kura kwani wataiba kirahisi rahisi tu. Sasa hivi Dr. Slaa ameweka hali ya ugumu kuwa zaidi kuliko wakati yeye alipofanyiwa hivyo.. na kumbuka kwenye jimbo lake hawakuiba kura kama kura (not physically) bali walichezea fomu za uchaguzi. Huu ni wizi wa kalamu.. ina maana mwananchi akikaa nje kuangalia masanduku mengine yasiingizwe na yasipoingizwa akaamini kuwa kura yake iko salama huenda akawa anajidanganya..