Anachoweza kufanya nii kuweka iliyorekodiwa na asiruhusu maswali kama vile, atoe data za kuujisifu na mambo ya kawaida na kuwatisha watanzania tu lakini Dr naye arudie huu mdahalo. siku hizohizo au atafute majibu ya JK.Mbona JK na midahalo ni sawa na Mmasai na samaki
wako ikulu wanahangaika sana, wameshapiga simu, kila kona waehakikishiwa kuwa mdahalo umepokewa vema kila mahali, maeneo ya moshi vijijiini hasa katika bar ya kariwa kati, saed kubenea alishuhudia live shughuli zote zikifungwa tangu saa 12 kushuhudia mdahalo, vijana walihama nyumbani hadi vijiweni kama vile wanaangalia mpira wa yanga na simba, huko likuyu namtumbo, watu wengi wasiyo na televisheni walisheheni kwenye vibaa vya pombe kama vile wanaangalia mpira
Mbona JK na midahalo ni sawa na Mmasai na samaki
Mbona JK na midahalo ni sawa na Mmasai na samaki
Hakuna ulazima wowote wa Rais Kikwete kufanya "mdahalo hewa" baada ya kura kupigwa na kujijenga kama bado ni Rais wakati wananchi wanasubiri matokeo ya Uchaguzi. Ninawashauri kina kinana kama lengo la "mdahalo hewa" wa Rais Kikwete kuwavutia wapiga kura waufanye wakati wa kampeni yaani (hadi Jumamosi). Watanzania wana haki ya kumsikiliza Kikwete ili awasaidie kufanya uamuzi wa kupiga kura.
Kitendo cha kupanga kufanya "mdahalo hewa" siku ya Jumapili, wakati kura zinasubiliwa na matokeo hayajatoka ni kitendo chenye lengo la kuandaa mazingira ya vitisho na hata kutangaza hali ya hatari hasa kama exit polls zinaonesha CCM kufanya vibaya.
Matokeo yake Rais Kikwete atatumia nguvu ya EPACT ya 1986 ambapo vyombo vyote vya habari vinaweza kupigwa marufuku kutangaza na radio zote kuanza kuimba nyimbo wanazozitaka na hivyo kuchakachua utaratibu wa kutangaza matokeo.
Kwa kufanya mazungumzo hayo usiku wa kuhesabu kura na kabla ya matokeo yote kutoka CCM inawataka wananchi wajikusanye kuandamana au kufanya vurugu ili hatimaye waweze kufungulia virungu dhidi yao.
Tutumie hekima basi tunapopanga baadhi ya mambo. Kwa vile uchaguzi utakuwa umeshapita sidhani kama kuna ulazima wa Kikwete kuzungumza usiku wa kuhesabu kura.
Kama atashinda basi atazungumza na wananchi siku ya kuapishwa. Is that too much to ask?
Anachoweza kufanya nii kuweka iliyorekodiwa na asiruhusu maswali kama vile, atoe data za kuujisifu na mambo ya kawaida na kuwatisha watanzania tu lakini Dr naye arudie huu mdahalo. siku hizohizo au atafute majibu ya JK.
Maana akiruhusu maswali labda atafute mamluki wa maswali mepesi otheriwe litakuwa ndo kaburi lake na najua hawezii kuruhusu mjadala waukweli yaani live kama wa dr. slaa.
Mwanakijiji wakati mwingne ukiandika fikiria unachoandika. Huwezi sema kikwete atafanya mdahalo Jumapili ya siku ya kupiga kura, wakati unajua kuwa watu watakuwa washapiga kura. Na nini mdahalo?, mdahalo ni majadiliano baina ya mtu zaidi ya mmoja kwa hadhira. Sasa atafanya mdahalo na nani siku hiyo?.
Kama kutakuwa na Hotuba, itakuwa ya mwisho wa mwezi, na ana haki hiyo manake Urais wake utakoma siku atakapoapishwa Rais mpya.
Uandishi wako huwa unavutwa na hisia zako zaidi na kuacha uhalisia.
hahahaha hahaha nimeipenda hiyo ya konokono kuserereka juu ya majivu hahaha hahahaHivi tangu lini Konokono akapita juu ya majivu? hawa jamaa sasa wamesua sua kama konokono for almost 50 yrs na sasa wanahaha kunusuru maisha yao.Imagine ww unaambiwa eti umetunukiwa shahada ya u dokta wakati hata kushika mkasi wa upasuaji hujui, na ww unakubali. Ni sawa na mtoto kupewa gari la udongo akakubali ndilo la ukweli. Sisi tunapasua majipu ya wagojwa tarehe 31 na wenye mabusha tunayachanja vile vile. tena hatuna dawa za ganzi maumivu mpaka moyoni. Kwani ukimchinja kuku unampatia ganzi?
alishasema hatotoa hutuba za mwezi hadi baada ya uchaguzi, labda kama uchaguzi unaisha baada ya kupiga kura na bila yakutangaza matokeo. Lakini nadhani taarifa zinasema ni siku hiyo ya Ijumaa (Octoba 29). Tusubiri tuone.
alishasema hatotoa hutuba za mwezi hadi baada ya uchaguzi, labda kama uchaguzi unaisha baada ya kupiga kura na bila yakutangaza matokeo. Lakini nadhani taarifa zinasema ni siku hiyo ya Ijumaa (Octoba 29). Tusubiri tuone.