Elections 2010 Kikwete kukutana na wanahabari

Elections 2010 Kikwete kukutana na wanahabari

Bado Niponipo

JF-Expert Member
Joined
Aug 15, 2008
Posts
680
Reaction score
168
JK anatarajiwa kukutana na waandishi wa habari, katika ukumbi wa Arnatoglo-ilala, siku ya ijumaa, waandishi hao watapata mwaliko maalumu na watakuwa waandishi wa digital media i.e radio and Tv.

NOTE: Waandishi kupata mwaliko maalumu.
 
Am sure watakuwa very selective yaani I can imagine aina ya maswali watakayomuuliza very pumbafull.
Kazi ipo
Sasa why digital media peke yake,JK mzee wa madesa naona atakuwa bize anaandaa majibu ya maswali ambayo yashaandaliwa
 
Habari za kuaminika ni kwamba walishapita kwenye vyombo hivyo kukusanya maswali, Tatizo vyombo vyetu vya habari vinafanyakazi kwa kujikomba hata pale vinapojaribu kuinukia vinaingiwa na woga hebu angalia swala la marudio ya mdahalo, ITV baada ya kufanya vizuri wakatishwa na wao badala ya kugangamala wakayumba sasa ndio wamejimaliza kabisa maana ile heshima waliyojizolea siku ile ya mdahalo wameiua wenyewew.
 
Nilimwona Kinana kuwa jeikei atayajibu maswali yatakayotoka kwa WALIOALIKWA.

Huu ndo uhuni wa kijinga kabisa. mnadhani kuna maswali yatatoka nje ya Kikwete campaign 2010???
mimi nitasoma magazeti kesho yake.

kwa nini tusifanye booking kwa slaa kupata naye airtime such day??? au na sisi tukate umeme???? I am on the way to see Kakobe anipe funguo ya kukata umeme

 
Mie bado nacheka na facebook ya kikwete ambayo ERNESTO SHEKA na wenzake wanaimonita. hebu cheki hapa
  • Jakaya Kikwete Neither the government nor the citizens alone can perfect each and everything.But together,the government and the citizens can.That has been and will always be our belief and a way of undertaking our development projects.

    14 hours ago · Comment · LikeUnlike
    • Fiderine Iranga, Ernesto Sheka and 59 others like this.
      • Mhina Ally Its true.....14 hours ago · LikeUnlike ·

      • Reginald Mabula Thank u14 hours ago · LikeUnlike ·

      • Gladness Ephron thnxs its true14 hours ago · LikeUnlike ·

      • Moses Kimathi Presidaa please timiza ahadi.Ni hilo tu.Kila la heri.14 hours ago · LikeUnlike · 2 people2 people like this. ·

      • Sukaina Essajee At the end of the day government is about teamwork and partnership and we will be proving that by working together.14 hours ago · LikeUnlike · 6 people6 people like this. ·

      • Kelvin Tegwa mheshimiwa, mbona siku hizi excuse nyingi, umeshastukia watu hawakupendi..eeh14 hours ago · LikeUnlike · 6 peopleLoading... ·

      • Anayesu Malisa Mr. President...Tanzania still needs your leadership. We promise to give you our moral support. Together we can make Tanzania a better place for everyone to live.14 hours ago · LikeUnlike · 5 peopleLoading... ·

      • Mohamedi Kigoda HIVI WEWE RAISI SIKU ZOTE ULIKUWA WAPI? YANI LEO NDO UNATUOMBA HIZO EXCUSE AU...WAPISHE WENZIO WANAOWEZA KAZI BANA...WE ULIDHANI URAISI NI KULA KUKU TU IKULU...14 hours ago · LikeUnlike · 3 people3 people like this. ·

      • David Michael Politics is when you say you are going to do one thing while intending to do another. Then you do neither what you said nor what you intended.
        Saddam Hussein14 hours ago · LikeUnlike · 3 peopleLoading... ·

      • Hassan Kapuya mzee hamna cha kura za huruma hapa..we ulishashindwa kazi. tunakuomba ukae kando..PLZZZZ13 hours ago · UnlikeLike · 5 peopleLoading... ·

      • Albert Shirima YES WE CAN!!!!!!!!!!13 hours ago · LikeUnlike ·

      • Adelina John Massawe Hassan ulishawahi kuugua ugonjwa wa akili?13 hours ago · LikeUnlike · 2 peopleLoading... ·

      • Mohamed Muashkoki Tegwa hiyo ni excuse our fact?Au wewe ni V new version?I mean vuvuzela?13 hours ago · LikeUnlike · 1 personLoading... ·

      • Mohamed Muashkoki Kigoda na wewe ulidhani maendeleo ni kukaa na kuisubiri serikali ikufanyie hadi mitihani?Get a life man.The sooner the better.13 hours ago · LikeUnlike ·

      • Mohamed Muashkoki Kigoda,afu kuna trend flani kama unavyoandika umemeza hivi?Mwanahalisi au makala za Ndimara?Lmao!!13 hours ago · LikeUnlike · 1 personLoading... ·

      • Dod Sato MR prezo, u servered TZ for 5yrs,for good or for bad,this is more or less your evaluation,wheither the minority likes u or not ! the reality is not liked at all. So get ready to take a break Dude ! We had enough of your incompetent leadersh...ip,Bye Bye !!!!
        Simple advice usikimbie nchi your family and relatives still need you to be around.Cuz kwa scandals ulizo jijengea sindhani kama wakereketwa watakuacha! Alamsikin
        See More
        13 hours ago · LikeUnlike · 2 people2 people like this. ·

      • Patrick Matandala ‎@ mohamed mushokoki ni kama unapingana na ukweli..ila ma telling changes are at the door..na tarehe 31 tutaufungua mlango....
        kwaheri kikwete watanzania tulikuweka ikulu..na sasa watanzania tunakutoa...
        13 hours ago · LikeUnlike ·

      • Ruth Maglani ‎@Patrick...dream it!!! in reality that wont happen atleast am sure of that till now...13 hours ago · LikeUnlike ·

      • Denis A Leshabari MZEE NAKUSHAURI UACHIE NGAZI KWA AMANI, UTAHESHIMIKA TANZANIA NA DUNIANI KOTE13 hours ago · LikeUnlike ·

      • Isaac John Fungo which development are u talking about..the one of making ccm a private institution of yours and makamba plus your sons and friends..wacha utoto13 hours ago · LikeUnlike · 1 personLoading... ·

      • Kihamia Kalamba ‎@ Denis... kaka umenena... CCM hawana jipya tena... walipata muda, wakauchezea... Wakubali matokeo sasa. DR. SLAA for presidence13 hours ago · LikeUnlike · 1 personLoading... ·

      • Mohamedi Kigoda ‎@ADELINA, samahani, nimepewa t-shirt ya CCM sasa hivi napigia deki kwangu..samahani sana kwa hilo, maana najua wewe ndo mkereketwa sana13 hours ago · LikeUnlike · 1 personLoading... ·

      • Hassan Kapuya MI T-SHIRT LANGU LIKO GARAGE, NAOSHEA MAGARI YANGU... ILA DUH, linatoa rangi hilo, basi full kunichafulia gari langu12 hours ago · LikeUnlike · 1 personLoading... ·

      • Israel Mwailenge Mr. President sisi sio wadanyika hivi hilo unaligundua leo!? Kiukweli hutudanganyi n'goo WATANZINIA WENYE NIA TUSHASEMA TANZANIA BILA MAFISADI WA CCM INAWEZEKANA NA INAANZA OCTOBER 31 2010. Yan nyie mnalithishana madaraka kama nchi yenu (ukoo &familia fulan?) aah watu tushastuka mapemaaa mafisadi hamna jipya. 12 hours ago · LikeUnlike · 2 peopleLoading... ·

      • Isihaka Ngereza ‎@kigoda & kapuya! - tumewasikia lakini mtambue kwamba huwezi kuikomoa ardhi kwa kuikanyaga!!!!!!!!!!!!!!!!!12 hours ago · LikeUnlike · 1 personLoading... ·

      • Isihaka Ngereza Nyayo zenu ndo zitapasuka pasuka na viatu kwisha!!!!!12 hours ago · LikeUnlike · 1 personLoading... ·

      • Ernesto Sheka Mirambo,hayo ni maoni yako na yatabaki kuwa maoni yako.Si katiba wala maandiko.Kibaya zaidi ni kwamba tayari watu hao unaowadhihaki tayari umeshakubali kwamba wana akili zao.Na unatambua sifa ya kila binadamu mwenye akili yake ni pamoja na kuwa na msimamo na mtazamo huru.12 hours ago · LikeUnlike · 2 peopleLoading... ·

      • Adelina John Massawe Kazi mnayo wabimzani,naona sasa mmehama badala ya kusema hakuna kilichofanyika kilio ni ukoo na familia.Lmao!!12 hours ago · LikeUnlike · 1 personLoading... ·

      • Mohamed Muashkoki Kanyaga twende JK.12 hours ago · LikeUnlike ·

      • Fokas Daniel Its true and I beleive in the statement. Charity begin at Home. Najua pia unania nzuri sana na maendeleo ya nchi yetu ya Tanzania kwani niliona tu mara ulipochukua madaraka awamu ya kwwanza tatizo unakwamishwa na watendaji kazi wako na kwa ...kutambua hilo ukaamua uwaachie wanaccm/watanzania waamue wenyewe viongozi wanaowataka kwenye kura za maoni kwani ulikuwa unashindwa kuwaondoa wazee wazima waliokulea. kura tutakupa ila tutaomba upange safu ya mashambulizi utakapoingia madarakani ambayo itaweka mbele maslahi ya Tanzania/Watanzania kwanza. Kumbuka Hotuba ya Obama alipoingia madarakani na angalia maamuzi magumu aliyochukua kipindi cha kuyumba kwa uchumi wa dunia. Hizo ni moja ya sifa zinazofanya nchi za wenzetu zinaendeleaSee More
        11 hours ago · LikeUnlike ·

      • Helen Matechi its true10 hours ago · LikeUnlike ·

      • Denis A Leshabari ‎@foka daniel ,apange safu gani ya mashambulizi?ya kuzidi kutuibia!huyu jamaa bado anakumbatia mafisadi na ths tme akipata,watanzania na nchi kwa ujumla, mwaka 2015 tutaachwa katika hali mbaya.10 hours ago · LikeUnlike ·

      • Charles Kazuka ‎@ HE, I strongly disagree..There is no way a government can begin to justify that because of it's citizen's imperfections, then they, too, are on equal footing with the govt if it is imperfect goes against the principles of democracy..a... govt is for the people,by the people and if the govt is not perfect, that cannot reflect on the citizenry. And no way can be it be a partnership as implied is not marriage government is there to serve the electorate, whether they r perfect au la..If the standard of living for all of us is not improved as promised by the current government, how can that reflect my imperfectation as a citizen? I doubt highly that the governments in Finland, Norway or Sweden as an example can begin to say they cannot perfect everything and 'together' with the citizens, things will work out..closer to home, I doubt the mothers giving birth on the floor in mosquito infested national can be 'together' with the govt because of failing to be 'perfect'See More
        10 hours ago · LikeUnlike ·

      • Starman Mtimkavu Adelina na mohamed naona siku hizi mmeshaanza kupewa poda muwe mnapakapaka maana mnajitahidi sana kutudanganya mmeahidiwa mashangingi nn nyie ni mamuluki tuu hamna jipya na hatudanganyiki na 31/october ndo kilio chenu kazi tulimpa ss kashindwa so wakumtoa ni ss goodbye JK welcome Dr Slaa habari ndo hiyo9 hours ago · LikeUnlike · 1 personLoading... ·

      • Reginald Mabula Ukweli ni ukweli tu japo unauma.Comments za kupinga zinaonyesha ufinyu wa kifikra.Hebu chambueni tuhuma au kutoridhika kwa umakini ili unachoongea kieleweke.8 hours ago · LikeUnlike ·

      • Patrick Matandala ‎@ reginald kwani we umeona umeongea kitu kinachoeleweka???? kila mtu anachaguo lake bwana.... na kwa taarifa yako CCM haipendwi tena sana...kama unahasira meza kiwembe8 hours ago · LikeUnlike ·

      • Albert Shirima Mi nadhani tungesubiru uchaguzi tu kwa sasa kwani comment zenu CHADEMA zinaonyesha kweli nyie ni WASINDIKIZAJI na WASHEREHESHAJI ktk uchaguzi huu 8 hours ago · LikeUnlike ·

      • Albert Shirima Hee CCM haipendwi???Duuh!!!Sasa Chadema ndio wanapendwa,hahahaha!!!!!!!mnapendwa kwa lipi???Labda ukishachukua mke wa mtu tayari utakuwa ushapendwa na nchi nzima8 hours ago · LikeUnlike ·

      • Rupal Ganatra Ask not what your country can do for you, but what you can do for your country! 😛6 hours ago · LikeUnlike · 1 personMacmillan George likes this. ·

      • Yusuf Ambari true dat5 hours ago · LikeUnlike ·

      • Macmillan George Nyie wafa maji si mngoje tarehe 31 kiama chenu? Kila dhambi pale ndo hukumu kama umekuwa ukiparamia wake za watu hayaaa, kama umetengua kiapo cha ukasisi hayaaa na kama unadanganya watu kwa mambo usojua hata pa kuanzia kazi kwako hapo. CCM Daima4 hours ago · LikeUnlike ·

      • Prosper Tarimo Huku MOSHI wametugawia tshirt wakat hatuziitaji, ila tunashukuru coz zimetusaidia,japo JK hakutuahidi 2005 kuwa kutakuwa na mgao wa tshirt.Hapa soko la MEMORIAL MOSHI wamama wanazitumia kufutia vumbni ktk mabanda ya kuuzia mitumba yao, huku... maeneo ya SOWETO watu wamevalisha mbwa kuna baridi sana, na hapa Majengo kulikuwa na ukata wa Madekio angalau watu wamepata matambara ya kudekia.Hapa KCMC kuna matishirt yametundikwa kwenye miti
        Kweli watu wamechoka, CCM ya JK ni mzigo kwa wananchi
        See More
        about an hour ago · UnlikeLike · 2 peopleYou and Prosper Tarimo like this. ·

      • Kaka Gano ‎@MUASHKOKI, kama wananchi hawapaswi kusubiri maendeleo kutoka serikalini, kwa nini basi mnakuja kwetu na kusema kuwa mtatuletea maendeleo??? Siwapigii kura CCM kwa sababu MNANUKA UONGO kuanzia juu hadi wa chini3 minutes ago · Like


 
Naam hiyo ndo my comment of the day, I loved it
Starman Mtimkavu Adelina na mohamed naona siku hizi mmeshaanza kupewa poda muwe mnapakapaka maana mnajitahidi sana kutudanganya mmeahidiwa mashangingi nn nyie ni mamuluki tuu hamna jipya na hatudanganyiki na 31/october ndo kilio chenu kazi tulimpa ss kashindwa so wakumtoa ni ss goodbye JK welcome Dr Slaa habari ndo hiyo9 hours ago · LikeUnlike · 1 personLoading... ·
 
Kama hizi ndizo akili za wapambe, I can now understand why some people cannot see anything wrong with JK and CCM
 
JK anatarajiwa kukutana na waandishi wa habari, siku ya ijumaa, waandishi hao watapata mwaliko maalumu na watakuwa waandishi wa digital media i.e radio and Tv.

NOTE: Waandishi kupata mwaliko maalumu.

Hapa watakaokuwepo ni wafuatao: Mkumbwa, Maggid, Kibonde, Tido Mhando, Marini H Marini. Usitegemee kumuona Jenerali Ulimwengu, Saed Kubenea, Absaloum Kibanda, Rioba, na wengine wa namna hiyo.
 
jk lazima ataulizwa maswali magumu sana. Mojawapo yatakuwa haya yafuatayo:-

(i) Mhe. rais, serikali yako imejitahidi sana kupambana na mafisadi ikilinganishwa na serikali zingine zilizopita. wananchi tumeshuhudia serikali ikiwafikisha mahakamani watuhumiwa wazitowazito, jambo ambalo ni nadra sana. hongera sana mhe. rais. sasa watanzania wengi wangependa kujua, je, umejipangaje kuendeleza vita hii nzito dhidi ya mafisadi katika awamu yako ya pili ya uongozi.

(ii) Mhe. rais, katika eneo ambalo serikali imeliwekea mkazo ni ukuzaji wa uchumi. wananchi wengi wameshuhudia hali ya maisha ikiboreka japo siyo kwa kasi kubwa sana kutokana na kuyumba kwa uchumi duniani. Sasa, labda wananchi wangependa kupata maelezo yako namna utakavyoongeza kasi ya kukuza uchumi.

(iii) Mhe. rais, baadhi ya wananchi wanasifu sana uungwana wako wa kuwaruhusu watuhumiwa na fedha za EPA kurejesha fedha walizokwapua kwenye akaunti ya madeni ya nje. hongera sana mhe. sasa labda tungependa utufahamishe japo kwa ufupi, fedha hizo zimewanufaishije wakulima wetu.

(iv) Mhe. maeneo mengi uliyotembelea umekuwa ukitoa ahadi nyingi kwa wananchi na sisi kama waandishi wa habari kwa kuzingatia umakini wako tuna imani unaweza kutekeleza zote. lakini baadhi ya wananchi wana mashaka. je, unaweza kutoa maelezo mafupi tu namna utakavyohakikisha ahadi zote, ukiondoa sababu zilizo nje ya uwezo wako.

(v) Mhe. rais kwanza nikupongeze kwa juhudi na bidii zako za kusafiri mara kwa mara nje ya nchi kwenda kuhemea misaada kwa ajili ya wananchi. tunajua ni safari za kuchosha lakini unafanya kutokana na uchungu wa wananchi wako maskini. tungependa utufahamishe faida ulizopata kutokana na safari hizo.

(vi) Mhe. rais kumekuwa na tetesi na malalamiko ya chinichini kwamba wewe ni mdini. vyeo vingi serikalini umejaza waislamu wenzio bila kujali uwezo na inasemekana hata suala la mahakama ya kadhi na nchi yetu kujiunga na oic umeamua kunyamaza lakini umewaahidi waislam wenzio kwamba utaishughulikia kimya kimya. tetesi hizi zimewashtua sana viongozi wa dini zingine hususani wakristo. je, unasemaje kuhusu suala hili.

(vii) Mhe. rais utafiti umeonesha kuwa watanzania wengi bado wanakuunga mkono. lakini baadhi inaonekana wameanza kupata mashaka ya kukuunga mkono. je, hao walio na mashaka unapenda kuwaambia nini ili wasiwe na mashaka.

(viii) Mhe. rais una ujumbe gani unaotaka kuwaeleza watanzania waliojiandikisha kupiga kura
 
Hivi si walisema hana muda huyu????????????????///
 
JK anatarajiwa kukutana na waandishi wa habari, siku ya ijumaa, waandishi hao watapata mwaliko maalumu na watakuwa waandishi wa digital media i.e radio and Tv.

NOTE: Waandishi kupata mwaliko maalumu.

Kwa nini hawawataki wazee wa print media Raia Mwema, MwanaHalisi na Mwananchi Coroporations!!? Lakini hata hawa si digital - wako online!
 
chichiem ni kigeugeu. mwanzoni walisema wapo busy lakini wamepima upepo na kugundua haja ya kufanya kamdahalo ka uongo na ukwli ili kutibu majeraha aliyoacha Dr. Slaa. It is too late, waTZ wameamuza zamaaaaaaaaaaaaani.

Pipoooooooooooooooooooooooooooooooooz..............
 
Kati ya vitu vinaivyoitofautisha prind na digital media kwa hapa kwetu ni inquisitiveness, watu wa print baadhi wanajua kutafuta ukweli kwa kuhoji wakati watu watakaoongea na JK ni watu wanaopenda kupakatwa kama mwl, Ryioba alivyowahi kusema wakati akiwaelezea wanahabari na mfano wa mbwa. Ijumaa hiyo usitegemee kuwaona watu wanaofikiri sawasawa na utakaowana ni hawa Tido, Kibonde, Kulangwa tena wakiwa wamelishwa maswali yenye majibu yake tayari.

Kwangu mimi nahofu kwamba hawa watakaoalikwa hawatakuwa tofauti na wale wazee waliokuwa wakimpigia JK makofi wakati anazuia mgomo wa TUCTA
 
mwanamazingaombwe Shekhe yahaya alishasema kwamba tayari amedhiti hali ya jk kuanguka anguka. ama kweli nchi hii inaongozwa kiaina kwelikweli.
 
Back
Top Bottom