Tetesi: Kikwete kumrithi Ban Ki-Moon

Tetesi: Kikwete kumrithi Ban Ki-Moon

Tatizo si LA mleta mada Bali tatizo lipo kwa Kikwete mwenyewe, Haya makabila ya kiswahili yaliyozowea kucheza ngoma tu cheo cha juu kabisa cha kuwapa asizidi UDC au karani Wa shirika.

Hawa ndio wale vijana wake 46 anaotaka Magufuli awafikirie kwa kazi hii ya kipuuzi wnayoifanya mitandaoni.

Leo natamka MTU yeyote aliyewahi kumpigia kura Mkwele hasa awamu yake ya mwisho na akapimwe akili haraka.
Lol..mi simo huko
 
Kwa dhulma iliyofanyika Zanzibar sidhani Kama hata 10 bora atafika. Usidhani dunia haijui jinsi demokrasia ilivyobakwa.
 
Hahaaa ndoto za mchana hzo labda ukatibu wa kata ya Tandale, kule hakuna bao la mkono.. Muachene huyu mzee apumzike bana
 
What if JK anakuja kukutwa na kashfa za rushwa na ufisadi akishakua Katibu Mkuu wa UN?? I dont see him escaping huu upepo wa kashfa za rushwa na ufisadi especially kwenye sekta za umeme, madini, bandari na TRA

To me itakua kosa kubwa sana kwa UN hata kumfikiria tu huyu jamaa... They should vet him thoroughly
 
Ni kazi kweli kukubali kuwa nchi ilikuwa imeoza na kumsifia Magufuli kwa kuendesha kampeni ya kutumbua majipu HALAFU hapo hapo ukarejea kumsifu Kikwete kuwa atakumbukwa kwa kulifanyia taifa mengi mazuri.

Kuna mtu alidai kuwa hiyo haina tabu; hizo ni staili tofauti tofauti za uongozi toka CCM. Kwamba, tofauti na ilivyo kwenye vyama vya upinzani, ndani ya CCM tunapata "variety"!
 
Kwani huwa wanakaa kwa kipindi cha miaka mingapi!?
...nawaza tu ni jinsi gani utumbuaji wa majipu utakavyokuwa baada ya huo muda in case ameipata. Kila lakheri yake!
 
kura Tanzania ya kumchagua Ban Kimoon ni kama iltolewa ili kupata fadhila kwa kuwa haya yalifanyika kupitia Ban na nchi yake baada ya uchaguzi
1. Korea kusini ikajitolea kujenga daraja kule Kigoma
2. Ikajitolea msaada wa kusaidia ICT UDSM
3. akampa Migiro Unaibu katibu mkuu UN
4. Inaendelea na ujenzi wa barabara Arusha
Tunajuliza hizi propaganda zenu ni kwa kuwa mtukufu ameshauza vitalu vya gesi na kumaliza madini yetu ardhini au kunakingine anataka kufanya japo kutuuza kabisa sisi wananchi tusio na hatia?
 
Kama kuna kosa kubwa ambalo litakua halijafanyika duniani basi tusubiri uteuzi huo na tuweke record duniani
 
Muanzisha uzi ukapimwe akili haraka. Usifanye tulete quotes zake ambazo ameongea pumba na kufanya aonekane kituko na hao wakuu wa dola za magharibi. Nani kakuambieni anakubalika nje??? Hujui vitu piga kimya. Ngoja nitaleta kisa chake kimoja hapa.
 
mtatuzi wa migogoro ipi wakati ya zanzibar yamemshinda..au yanayoendelea zanzibar mnaona ni sahihi kabisa..



acheni unafki
 
Back
Top Bottom