Kamakabuzi
JF-Expert Member
- Dec 3, 2007
- 2,903
- 1,360
Kama tunahitaji kipindi cha mpito basi kianze 2013, kama mnataka kianze 2015 then rais awe Dr,salim na waziri mkuu Warioba
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Lazima aongezewe. Binafsi bado ninawadai hela za kampeni nilizowakopa tangu 2005, akiongezewa nadhani wataweza kulipa deni.
Bungeni kumbe kuna utani eeeeh MAGAMBA BWANA MNAENDA BUNGENI KWA UTANI!?nyie ndo vilaza humu ndani,hamjui wakati gani mtu anaongea jambo akiwa serious na wakati gani anatania.
Ndio faida ya mbunge aliyeatoka kupiga nyeto afu anakurupuka kutoa hoja bungeni.........
Lazima aongezewe. Binafsi bado ninawadai hela za kampeni nilizowakopa tangu 2005, akiongezewa nadhani wataweza kulipa deni.
Ndugu wadau dalili zinaonyesha kuwa CCM wanajipanga kumuongezea Rais Kikwete muda wa miaka miwili kwa kisingizio cha kuandaa mazingira mazuri kwaajili ya katiba mpya. Moja ya wabunge wa CCM aliyeshangiliwa sana leo Bungeni wakati wa kuchangia mjadala wa mabadiliko ya katiba ni Livingston Joseph Lusinde (Mtera), Ambaye amesema kuwa serikali inakabiliwa na matumizi makubwa ya fedha katika kipindi hiki yakiwemo yale ya chaguzi za serikali za Mitaa hivyo amependekeza Rais aongezewe miaka miwili ili katiba nzuri iandaliwe lakini pia akibeza baraza la katiba na wanaharakati akisema ni vibaraka wa wafadhili.
Wabunge wa ccm wameonyesha kufurahishwa sana na hoja hii maana ameshangiliwa kupita kiasi, si ajabu amepangwa.
Aisee consult books sheikh.Acha woga wewe. Kila kitu wasi wasi tu.
Nchi inaongozwa na sheria sio matakwa ya watu au kikundi cha watu.
kumbe hawa wanaharakati na wao pia wanaangalia matumbo yao pia na kutuingiza mkenge ngoja niangalia upya na kuzitafakari shughuli zao kabla ya kuingizwa choo cha kike.Nalog off