Kikwete kuzindua albam mpya ya Ommy Dimpoz

Kikwete kuzindua albam mpya ya Ommy Dimpoz

BARD AI

JF-Expert Member
Joined
Jul 24, 2018
Posts
3,591
Reaction score
8,826
Msanii Omary Nyembo aka Ommy Dimpoz ametangaza kuachia album yake leo Ijumaa Nov 4, 2022 ambapo katika kuizundua amesema Rais Mstaafu Jakaya Kikwete ataongoza shughuli hiyo

"Tuna-launch rasmi album na itakuwa weekend ndefu kidogo kwa sababu tutaanzia hapa Johari Rotana, itakuwa invitees only nimealika watu mbalimbali tutaongozwa na mheshimiwa Rais Mstaafu Jakaya Kikwete kama mgeni wetu wa heshima, lakini pia nitakuwa nimealika baadhi ya mabalozi, mawaziri, wanasiasa.. ni corporate event, baada ya hapo itakuwa na after party pale Elements tutaji-mix watu wote kwa maana ukumbi wa Rotana hautoshi watu wote, lakini pia baada ya kesho Jumapili nawakaribisha watu wote Kidimbwi”
1667559995992.png
 
Upulusi
Wajinga ndio waliwao
WaTz haya ndio wanapenda
Tuendelee kudanganyika
Mnatolewa kwenye reli
 
Back
Top Bottom