Game Theory
JF-Expert Member
- Sep 5, 2006
- 8,546
- 855
msimlaumu JK nadhani tatizo mnalijua analo nani na liko wapi
kwa nini hatutaki kuambiana ukweli?
kwa nini hatutaki kuambiana ukweli?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndo hapo sasa. Sioni kama hili la Nyerere lina ukweli wowote. Kwangu naona kama hatujapata mtu mwenye uwezo wa kufanya zaidi ya yale aliyofanya Nyerere ndio maana tunamlaumu. Kama ujamaa waliweza kuugaragaza, haya mambo mengine wanashindwa nini? Nyerere ameenda kaburini hawaelewi kwanini wamelitema Azimio la arusha! Nafikiri kama tunataka kubadilika we have to take ownership of our destine.Nyerere hata baada ya robo karne tangu aondoke madarakani? Hivi woote tulifanya kazi na Mwalimu?
Wengine ni washauri wake wa karibu kama Kingunge, wengine ni wasaidizi wake kama SS, Mohamed Aboud, Makamba, Meghji, wengine baba zao ni rafiki na watu waliomsaidia kuukwaa Urais kama Mwang'onda.
Yule mama Albino ni kwa huruma tu. Wamekufa Albino wengi......
Bunge letu lilipo mtengea nafasi hizi halikumwambia ni kwa ajili gani!