bobishimkali
Member
- Aug 25, 2010
- 59
- 0
Madai yao ni ya tangu mwaka 1977 jumuia ilipovunjika leo hii ni miaka 33 imepita hawajalipwa, bado huna haya kutamka kuwa wafuate "Sheria na taratibu" ?
Madai yao kuwa ya muda mrefu siyo kigezo cha wao kutokufuata sheria na taratibu za nchi za namna ya kudai haki zao.Ndugu yangu nchi yeyote duniani huendeshwa kwa kufuata sheria.Serikali ikiacha watu waandamane wanavyotaka bila kufuata taratibu zilizoko,hii itakuwa siyo nchi na hapatakalika kama unavyodhania.
Bila kusahau familia ya mwinyi. Lao moja tu!:confused2:Labda anajali wazazi wake na wa Salima tu!
nimependa lugha ya picha uliyoitumia.ujumbe umefikaSio wazee tu, Kikwete anajali hata watoto, kawapatia maji safi ya kunywa:
madai yao ni ya tangu mwaka 1977 jumuia ilipovunjika leo hii ni miaka 33 imepita hawajalipwa, bado huna haya kutamka kuwa wafuate "sheria na taratibu" ?
Labda anajali wazazi wake na wa Salima tu!
Kuna wakati unakuta Mwalimu anayeishi ktk nyumba kama hii anatumiwa na CCM kurubuni wapiga kura na kushiriki/kutoa msaada katika wizi wa kura. NANI KATUROGA HATA TUSIYAONE HAYA ?
Nyumba ya waalimu wa shule ya msingi Lyenge wilayani Mpwapwa, mkoani Dodoma. Picha hisani ya Haki-Hakingowi.blogspot.com
Madhilifu (madhila) wanayoyapata Watanzania katika picha, Wodi ya wazazi wilaya ya Temeke, jijini Dar-es-Salaam imefurika kupita kiasi. Picha kwa hisani ya Mzee Wa Sumo Blog.
Madai yao ni ya tangu mwaka 1977 jumuia ilipovunjika leo hii ni miaka 33 imepita hawajalipwa, bado huna haya kutamka kuwa wafuate "Sheria na taratibu" ?
Au we bonge unasemaje?
Au we bonge unasemaje?