bobishimkali
Member
- Aug 25, 2010
- 59
- 0
Madai yao ni ya tangu mwaka 1977 jumuia ilipovunjika leo hii ni miaka 33 imepita hawajalipwa, bado huna haya kutamka kuwa wafuate "Sheria na taratibu" ?
Madai yao kuwa ya muda mrefu siyo kigezo cha wao kutokufuata sheria na taratibu za nchi za namna ya kudai haki zao.Ndugu yangu nchi yeyote duniani huendeshwa kwa kufuata sheria.Serikali ikiacha watu waandamane wanavyotaka bila kufuata taratibu zilizoko,hii itakuwa siyo nchi na hapatakalika kama unavyodhania.