Elections 2010 Kikwete kweli anawajali watoto na wazee?

Elections 2010 Kikwete kweli anawajali watoto na wazee?

Madai yao ni ya tangu mwaka 1977 jumuia ilipovunjika leo hii ni miaka 33 imepita hawajalipwa, bado huna haya kutamka kuwa wafuate "Sheria na taratibu" ?

Madai yao kuwa ya muda mrefu siyo kigezo cha wao kutokufuata sheria na taratibu za nchi za namna ya kudai haki zao.Ndugu yangu nchi yeyote duniani huendeshwa kwa kufuata sheria.Serikali ikiacha watu waandamane wanavyotaka bila kufuata taratibu zilizoko,hii itakuwa siyo nchi na hapatakalika kama unavyodhania.
 
Nchi zote zenye tawala dhalimu duniani zimeondolewa kwa maandamano.
 
Sio wazee tu, Kikwete anajali hata watoto, kawapatia maji safi ya kunywa:

Dirty+water.jpg
nimependa lugha ya picha uliyoitumia.ujumbe umefika
 
madai yao ni ya tangu mwaka 1977 jumuia ilipovunjika leo hii ni miaka 33 imepita hawajalipwa, bado huna haya kutamka kuwa wafuate "sheria na taratibu" ?

anajali sana watoto na wazee ndo maana anaenda kuomba mbu net marekani, akapewa net 50,000 atagawa mbili kila kaya
uwezo wake wakufikili umefika hapo du jamani inasikitisha all the way to america unatafuta net, anatembeza kibaba kama alivyosema mbeya!! Inauma mheshimiwa kuomba net aaaaaaaaaahhh.....!!!!
 
22.jpg

Madhilifu (madhila) wanayoyapata Watanzania katika picha, Wodi ya wazazi wilaya ya Temeke, jijini Dar-es-Salaam imefurika kupita kiasi. Picha kwa hisani ya Mzee Wa Sumo Blog.
 
Labda anajali wazazi wake na wa Salima tu!

Ni kweli anawajali wazazi wa Salma kwani baba mkwe alipokwama kwenda hija ilikodishwa ndege fasta kuwachukua kwenda Makka, gharama hizo zililipwa na walipa kodi.
 
nyumba3.jpg

Nyumba ya waalimu wa shule ya msingi Lyenge wilayani Mpwapwa, mkoani Dodoma. Picha hisani ya Haki-Hakingowi.blogspot.com
 
Kutetea serikali ya aina hii ni aina fulani ya ugonjwa unaohitaji tiba toka kwa mabingwa kama wale wa Mirembe
 
nyumba3.jpg

Nyumba ya waalimu wa shule ya msingi Lyenge wilayani Mpwapwa, mkoani Dodoma. Picha hisani ya Haki-Hakingowi.blogspot.com
Kuna wakati unakuta Mwalimu anayeishi ktk nyumba kama hii anatumiwa na CCM kurubuni wapiga kura na kushiriki/kutoa msaada katika wizi wa kura. NANI KATUROGA HATA TUSIYAONE HAYA ?
 
22.jpg

Madhilifu (madhila) wanayoyapata Watanzania katika picha, Wodi ya wazazi wilaya ya Temeke, jijini Dar-es-Salaam imefurika kupita kiasi. Picha kwa hisani ya Mzee Wa Sumo Blog.

Bagamoyo hii picha imenikumbusha kitu muhimu sana
 
Madai yao ni ya tangu mwaka 1977 jumuia ilipovunjika leo hii ni miaka 33 imepita hawajalipwa, bado huna haya kutamka kuwa wafuate "Sheria na taratibu" ?

Kwa kifupi unasema ni unaynyaji wa kawaida kwa CCM.
 
Kiukweli anawajali watoto ila ni ridhiwani kikwete,january makamba na mkewe nyie hamuoni mama nae anatembea kama vip wa nchi?ridhiwani je kweli jk anatisha mungu wangu sijui uzee wangu utakuwaje
 
Anawajali wapi bwana?

Mhh watoto inabaidi wafanye kazi kuwasaidia wazazi wao katika kuongeza pato la nyumbani. Maji wanatumwa kuchota kilometa nyingi toka nyumbani kwao na maji yenyewe ni minyoo tupu.

attachment.php

attachment.php

hawapati matibabu hospitalini maana wakishaandikiwa vyeti inabidi wapelekwe maabara za nje ya hospitali kupata vipimo na baadaye wakishaandikiwa dawa wanatakiwa wakanunue famasi nje ya hosibitali.

Wazee hao ndio basi hata tusiseme. Wamedanganywa kuwa kwa uzee wao watatibiwa bure lakini haijawahi kutokea wakatibiwa bure. Bila pesa au bila kuwa na bima za afya sahau.

Sitaki kurudia dhuluma ambayo imeendelea dhidi ya wastaafu.
 
Attachments

  • IMGP2548.JPG
    IMGP2548.JPG
    28.9 KB · Views: 46
  • IMGP7910.JPG
    IMGP7910.JPG
    35.6 KB · Views: 49
HIVI NYIE WAPINZANI MNASHINDWA KUTENGENEZA MABANGO YA HIZI PICHA NA KUYASAMBAZA NCHI NZIMA?
they say a picture says a thousand words.mwenye akili ataamua mwenyewe status ya JK et al imefall kwenye category ipi.
 
Swali langu halipo kisiasa but kijamii zaidi; picha inasem anawajali wazee, but yule mzee yuko chini, JK yuko ndani ya gari anampa mkono kutokea juu. Huko ndo kujali, huwezi jali bila kuheshimu first.
 
Au we bonge unasemaje?

jkubungo054.jpg

Majamaa yameshiba kweli kweli pesa za walalahoi hizo
Ila mnyonge mnyongeni haki zake mpeni kama maji, barabara, zahanati, elimu, dawa za kutosha n.k
 
Back
Top Bottom