Elections 2010 Kikwete Live on Power Breakfast (Clouds FM)

Nina imani kwa shoo hii ya leo, jamaa amepoteza badhi ya hata wale wachache waliokuwa wakimwamini
 
He is Live now. now he is talking about foleni za barabarani

teh teh foleni kaijuaje wakati yeye vingola vyeka wakati anatoka marekani vinasimamisha watu saa zima. Kama unaishi gongolamboto utakutana na foleni banana...airport...tazara...buguruni na riverside...Wambie wakereketwa wa CCM juu ya foleni watakuona huna akili.
 
Siamini anayeongea kama ni aliwahi kuwa Rais ? Anaongea vitu light mno...
Mbona hao jamaa hawakatishi kuweka matangazo..? au kwakua walimuandalia besidei..?
Clouds "mnamuua" mgombea wenu badala ya kumjenga...
 
halafu anacheua mfululizo sijui alikula nn bfast?
 
i AM DONE WITH THIS INTERVIEW.... sijaambulia chochote zaidi ya kigugumizi
 
rasilimali sasa...
wamedhibiti wawekezaji kwenye mikataba ya madini. wameondoa kipengele kilichokuwa kinamkinga mwekezaji kutokulipa kodi kama akipata hasara, kwa sasa mwekezaji akipata hasara basi lazima alipe kidogo sio kutokulipa kabisa.. hii mikataba inaonekana kuwabeba sana wageni
 
muongo huyu......anajiuma uma tu.....mbona haingii in deep kuhusu ile mikataba ya kifiisadi ya maswaiba wake?
 
Mbona mtangazaji hamkatishi kumwwambia aclarify issues yaani anamwacha ana flow tu kama mtu anatoa mahubiri jamani? au wanamwogopa?

Mfano kwa nini asimulize ulikofikia mradi wa mabasi yaendayo kasi......maana amegusia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…