Elections 2010 Kikwete Live on Power Breakfast (Clouds FM)

Elections 2010 Kikwete Live on Power Breakfast (Clouds FM)

halafu mbona media zote zinampigia kampeni huyu jamaa,

halafu nimemshangaa sana huyu mzee cjui wa chama cha TADEA, ivi wakuu mmeangalia mahojiano ya kipind cha tuongee uchaguzi startv? huyu mzee naona amechanganyikiwa, kaongea utumbo sana.
 
Wakuu,

Mdahalo wa JK kupitia Clounds umemmaliza badala ya kumjenga! Anapiga porojo, uelewa mdogo, vicheko visivyo na msingi, anazungukazungukaa wee hajibu swali. Anaulizwa maswali mazuri sana ambayo kama angekuwa mtu mwenye uwezo na upeo angejibu kwa umahiri kabisa na angegeuza mtazamo uliopo sasa hivi kwamba uwezo wake wa akili ni mdodo na hana uwezo wa kuleta mabadiliko.

Kwa maoni yangu, hii ina maana watu ambao wamemsikiliza hata kama bado walikuwa na imani naye basi amewakatisha tamaa. Ameshindwa kuonesha uwezo wake wa kuelewa mambo, kujibu maswali, na kukabiliana na changamoto tulizo nazo sasa hivi. Amethibitisha kwamba yeye hana uwezo wa kutuongoza.
 
halafu mbona media zote zinampigia kampeni huyu jamaa,

halafu nimemshangaa sana huyu mzee cjui wa chama cha TADEA, ivi wakuu mmeangalia mahojiano ya kipind cha tuongee uchaguzi startv? huyu mzee naona amechanganyikiwa, kaongea utumbo sana.


mkuu nimemwona si umeona alivochoka!

ntu yupo TADEA anasema 'wabunge wamefuja hela za maendeleo za jimbo zinazotoloewa na JK" hahahahahaa
 
Wana JF,

JK ameelezea swala la miundombinu Dar na ukiangalia kweli serikali itaimarisha miundombinu kataka hilo Jiji, which Means DAR-ES-SALAAM ndio TANZANIA tuuuu basi, Kwahiyo Mikoa mingine yote haiitaji Miundombinu kuboreshwaa?

Katika Ilani ya CCM serikali iliposwa kuhamia DODOMA mpaka leo hakuna dalili hiyo kutokana na maelezo yake ya hiyo miundombinu itakayo tekelezeka DAR pekeyake.

Machinga Copmlex utazijenda wilaya zote za DAR je Mikoa mingine watasubili kwanza mpaka za DAR ziishe ndio wahamie Mwanza au zote zitakuwa zikijengwa kwa wakati huo huo katka baadhi ya mikoa mikubwa kwanza?

Kwa hali hiyo sidhani kama watu wataendelea kukaa huko Lindi/Kigoma/Tabora/ Sumbawanga kwani mikoa mingine itabaki nyuma sana kimaendeleo ni bora Nchi igawanywe kwenye Majimbo
 
Nahisi kama muuliza maswali kashajua kuwa mkwere hana point. yani anauliza maswali ili mradi tu mda uende, anakua kama haridhiki vile ila anasonga mbele tu!!!
 
ni Rais , rahisi, mmoja wa watu rojorojo na aliezub=ngukwa na wanywa kahawa.
 
Naomba mniruhusu niondoke zangu. Clouds wamenidondosha leo. Mmesikia swali toka mwanza? Kwa herini kwa sasa
 
Back
Top Bottom