Elections 2010 Kikwete Live on Power Breakfast (Clouds FM)

Elections 2010 Kikwete Live on Power Breakfast (Clouds FM)

naomba kujua kama ameondoka huyu juha

pia tume imeweka majina hewa 100 kila kituo

mfano 19272311 hii id imo katika daftari lakini haijulikani ni ya nani

19272312 hii id imo na ina mwenyewe.
 
Ataimba imba nyimbo zote lakini janja ya nyani kwisajua siku nyingiiiii! Labda abadili mziki na nyimbo.
 
Namwonea huruma jamani my president wangu! Point zimepotea kabisaa!
 
Japani mpaka kupanda miti aaaaah
japani
marekani
china
kwani hii nchi ni nchi gani!
Raisi jk ni wa nchi gani????

Tanzania iko bahari ya pacific, katikati ya marekani, ulaya. ila pia tunasaidiana sana na china, japan kiuchumi. So usishangae akitamka sana.
 
Yani mpaka Mtangazaji Gerald Hando anamuonea JK huruma. sikiliza sauti yake ilivyobadilika anavyouliza kwa huruma
 
Kakiri kudploy vijana 200 kushughulika kura za CCM (uchakachuaji)
 
:doh::doh::doh::doh: Hivi hawa vijana ndo ni pamoja na akina RJK kukaimishwa nchi na imani yake kwa vijana!
 
MEMBE NA NGELEJA SIO VIJANA BANA, jamaa anaboa sana kwa uongo wake. Membe kijana? Ngeleja mwenyewe sura imekomaa sio kijana yule
 
hahahahaa
Jamaa kaogopa hata simu za wananchi wake??? Jeradi hando ndio waogga hivyo ni bora msingeenda kuliko kuchafua CV zenu.
 
Kamaliza aiseeeeeeee!!! Amani na maendeleo atadumisha, anakili tz ni nchi masikini na maisha bora nimchakato!
 
Anazungumzia tuu mipango ya serikali hazungumzii sera za chama chake. Hata kama kutakuwa hakuna CCM mipango ya maana ya serikali itakuwepo tuu. Halafu anabagua media naona anawapandisha chati sana Clouds , kwa nini huwa haaliki media zingine Ikulu siku hizi?
 
Clouds wanataka wakanye chai nae. Ndio wanamalizia .

Ameshukuru Cluds na anasema nchi ni maskini. Hapo nyuma alisema maendeleo ni makubwa maana watu wana magari.

Leo atakuwa na mahojiano na waandishi wote wa habari .
 
Yani mpaka Mtangazaji Gerald Hando anamuonea JK huruma. sikiliza sauti yake ilivyobadilika anavyouliza kwa huruma
I noted that.... Gerald sio yule wa siku zote, hawezi jata kumwambie afafnue majibu anayotoa nahisi anaoma hakina la maana atakalosema.
 
Kakiri kudploy vijana 200 kushughulika kura za CCM (uchakachuaji)

Ni vijana wa chuo kikuu..kweli elimu yetu hovyo badala ya kutengeneza wataalum wanatengeneza green guards..!
 
Back
Top Bottom