Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mwache acheke bwana kwanini alie!aahaah he should stop laughing
Ni vijana wa chuo kikuu..kweli elimu yetu hovyo badala ya kutengeneza wataalum wanatengeneza green guards..!
Wana JF,
JK ameelezea swala la miundombinu Dar na ukiangalia kweli serikali itaimarisha miundombinu kataka hilo Jiji, which Means DAR-ES-SALAAM ndio TANZANIA tuuuu basi, Kwahiyo Mikoa mingine yote haiitaji Miundombinu kuboreshwaa?
Katika Ilani ya CCM serikali iliposwa kuhamia DODOMA mpaka leo hakuna dalili hiyo kutokana na maelezo yake ya hiyo miundombinu itakayo tekelezeka DAR pekeyake.
Machinga Copmlex utazijenda wilaya zote za DAR je Mikoa mingine watasubili kwanza mpaka za DAR ziishe ndio wahamie Mwanza au zote zitakuwa zikijengwa kwa wakati huo huo katka baadhi ya mikoa mikubwa kwanza?
Kwa hali hiyo sidhani kama watu wataendelea kukaa huko Lindi/Kigoma/Tabora/ Sumbawanga kwani mikoa mingine itabaki nyuma sana kimaendeleo ni bora Nchi igawanywe kwenye Majimbo