Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mbona sioni jipya kwenye mazungumzo yake?Labda presha inapanda, presha inashuka
Nini wewe PayGod?? kwani wewe sio mtanzania? mbona rais wetu anaumwa
halafu mbona media zote zinampigia kampeni huyu jamaa,
halafu nimemshangaa sana huyu mzee cjui wa chama cha TADEA, ivi wakuu mmeangalia mahojiano ya kipind cha tuongee uchaguzi startv? huyu mzee naona amechanganyikiwa, kaongea utumbo sana.