No tact, no grace, no savoir faire.Ana uhakika watatangulia?
"Wema hawafi". Makamba babaAna uhakika watatangulia?
Watu kama wa aina hii si wakuombea kufa, nyie waachane Mungu hua anafanyanga yake bila kutarajia, ila kuombee nikama mnaendelea kumuongezea siku za kuishiRais Mstaafu, Jakaya Kikwete amesema kuwa yeye ni mzima na Afya yake ni nzuri.
Ameyasema hayo leo Oktoba 10, 2025 aliposhiriki kwenye mkutano wa Kampeni za Urais za Mgombea Mwenza wa Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Emmanuel Nchimbi, Bagamoyo mkoani Pwani.
Pia Soma:Baada ya kimya cha muda Kikwete aonekana kwenye kampeni, Bagamoyo mkoani Pwani
Utakufa kibuduu Mungu yupo unagiki haudumu milele....Nchimbi akiwa mzalendo atawageuka wote magisi RA JK na team nzima mafisafii....Rais Mstaafu, Jakaya Kikwete amesema kuwa yeye ni mzima na Afya yake ni nzuri.
Ameyasema hayo leo Oktoba 10, 2025 aliposhiriki kwenye mkutano wa Kampeni za Urais za Mgombea Mwenza wa Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Emmanuel Nchimbi, Bagamoyo mkoani Pwani.
Pia Soma:Baada ya kimya cha muda Kikwete aonekana kwenye kampeni, Bagamoyo mkoani Pwani
Mkulima wa Nanasi😂Jakaya Mrisho wa Msoga🤣🤣
Hata kama angekua hana akili, hawezi kujifanya amekufa.Na kujifanya umekufa ni mbinu nzuri za kujua maadui zako JK huyu mzee tukubali tukatae ana akili sana
Jiongo kubwa hili. Liko, kama mwenzake mwendazake mwanamtandao Samuel Sitta linaoza na tezi dume.Rais Mstaafu, Jakaya Kikwete amesema kuwa yeye ni mzima na Afya yake ni nzuri.
Ameyasema hayo leo Oktoba 10, 2025 aliposhiriki kwenye mkutano wa Kampeni za Urais za Mgombea Mwenza wa Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Emmanuel Nchimbi, Bagamoyo mkoani Pwani.
Pia Soma:Baada ya kimya cha muda Kikwete aonekana kwenye kampeni, Bagamoyo mkoani Pwani
View attachment 3486675
Mfugaji wa ng'ombe wa maziwa na mkulima wa mahindiMkulima wa Nanasi😂
Rais Mstaafu, Jakaya Kikwete amesema kuwa yeye ni mzima na Afya yake ni nzuri.
Ameyasema hayo leo Oktoba 10, 2025 aliposhiriki kwenye mkutano wa Kampeni za Urais za Mgombea Mwenza wa Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Emmanuel Nchimbi, Bagamoyo mkoani Pwani.
Pia Soma:Baada ya kimya cha muda Kikwete aonekana kwenye kampeni, Bagamoyo mkoani Pwani
View attachment 3486675
Kashapona kwanza ?nasikia kojo linashuka lenyewe bila yeye kuruhusu.Rais Mstaafu, Jakaya Kikwete amesema kuwa yeye ni mzima na Afya yake ni nzuri.