Dr wa Manesi
JF-Expert Member
- Aug 19, 2024
- 6,479
- 4,974
Eeh, haya mkuu!!Kikwete hana busara yoyote ila ya maana, nyie Watanzania wengi mna low standards tu kwa hiyo sishangai ukimsifia ana busara.
Eeh, haya mkuu!!Kikwete hana busara yoyote ila ya maana, nyie Watanzania wengi mna low standards tu kwa hiyo sishangai ukimsifia ana busara.
Kikwete aliulizwa na Bob Geldoff "Why is Tanzania poor?".Eeh, haya mkuu!!
Nchimbi huyu MafiaUtakufa kibuduu Mungu yupo unagiki haudumu milele....Nchimbi akiwa mzalendo atawageuka wote magisi RA JK na team nzima mafisafii....
Akili Za ujambazi na kuiharibu nchiNa kujifanya umekufa ni mbinu nzuri za kujua maadui zako JK huyu mzee tukubali tukatae ana akili sana
Rais Mstaafu, Jakaya Kikwete amesema kuwa yeye ni mzima na Afya yake ni nzuri.
Ameyasema hayo leo Oktoba 10, 2025 aliposhiriki kwenye mkutano wa Kampeni za Urais za Mgombea Mwenza wa Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Emmanuel Nchimbi, Bagamoyo mkoani Pwani.
Pia Soma:Baada ya kimya cha muda Kikwete aonekana kwenye kampeni, Bagamoyo mkoani Pwani
View attachment 3486675
Mie na mwombea atangulie achaane na shida za hapa dunianiAna uhakika watatangulia?
Akili zitamrudia.....uzalendo atawabadilikia mafisadi JK RA and teams na gangs zao wa wadosiiiNchimbi huyu Mafia