hamada umelewa
JF-Expert Member
- Dec 17, 2017
- 575
- 999
Ajiulize tumefikaje hapa?Rais Mstaafu, Jakaya Kikwete amesema kuwa yeye ni mzima na Afya yake ni nzuri.
Ameyasema hayo leo Oktoba 10, 2025 aliposhiriki kwenye mkutano wa Kampeni za Urais za Mgombea Mwenza wa Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Emmanuel Nchimbi, Bagamoyo mkoani Pwani.
Pia Soma:Baada ya kimya cha muda Kikwete aonekana kwenye kampeni, Bagamoyo mkoani Pwani
View attachment 3486675