GE2025 Kikwete: Miye mzima, Afya yangu nzuri wanaoniombea mabaya watatungulia wao

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
No tact, no grace, no savoir faire.

Kikwete ni kama muhuni wa mtaani tu.
Yeah, ukija kihuni unamkuta mtoto wa mjini amehunika kuliko wewe na ukoo wako wote. Ukija kibusara utamkuta Mzee JK mwenye busara tele Hadi wakenya wakapatana na bunge lote la Kenya kumpigia makofi alipoingia na kuhutubia. Ukija kitemi utakutana na soldier JK mkali kama field marshal........shahidi wa hili ni Kagame.

Hawa wajingawajinga wa chadema na vihaters vilofavilofa kama hivi huvinyong'onyesha kispotispoti kama hivyo Huku akiviacha vikigaagaa kwa maumivu makali ya sumu inayojitwngeneza mwilini mwao wenyewe na watengenezaji wakiwa wao wenyewe.
 
Na kujifanya umekufa ni mbinu nzuri za kujua maadui zako JK huyu mzee tukubali tukatae ana akili sana
Akili gani sasa hàpo? Kwa Muislam kuombewa kufa hiyo ni haramu kubwa sana, Na hii imemuuma sana hadi kasema ujue jiwe limempata hakuna mtu asiye penda kupendwa, ukiona watu wamefika kukuombe kifo ni hatari sana.
 
Historia imtambue kuwa mmoja wa watu wa hovyo sana waliowahi kuiongoza nchi hii.
 
Sina hasira wala chuki ila najua anaumwa. Hata akipona, hataishi milele.
Sawa, uzuri tu ni kwamba atakufa kwa ahadi aliyoiacha kwa Muumba na si kwa matakwa ya wamchukiao kwa sababu zao.........ingekuwa hivyo kikwete tungekuwa tumeshamsahau sababu haters wameanza kumuombea kifo tangu 2005
 
Mpaka leo hii bado kuna watu wanaomba mungu ili mtu afe….
Kamata panga nenda kamkate kichwa sio unaomba miujiza….
 
Sawa, uzuri tu ni kwamba atakufa kwa ahadi aliyoiacha kwa Muumba na si kwa matakwa ya wamchukiao kwa sababu zao.........ingekuwa hivyo kikwete tungekuwa tumeshamsahau sababu haters wameanza kumuombea kifo tangu 2005
Endelea kujipa moyo.
 
nasikia kojo linashuka lenyewe bila yeye kuruhusu.
Tumwombee apone haraka
Wewe umejuaje wakati hizi habari anayetakiwa azijue ni Mama Salma mambo ya mwanaume mwenzako ndani ya zipu yake daah..
 
Huyu mwamba yupo mbele ya wakati, Hana stress anaserebuka na mitandao kama kawaida zaidi yenu gen z. Ndo maana anakuwa mjanja siku zote.
Wewe utazijuaje "stress" zake? Hata kama ungekuwa mke wake; hiyo ni hali anayohusika nayo mwenyewe. Ukiona hizo dalili za kujichekesha chekesha kila mara, fahamu hapo ndipo pamejaa 'stress' kwelikweli.

Tabia za kinafiki zinawaumiza sana watu wa aina yenu; na ndiko kulikojaa 'stress'.

Mtu unaumia ndani kwa ndani, lakini huku nje unajionyesha tofauti; kumbe 'pressure' imejaa ndani! Ni lazima milipuko iwepo!
 
Ewe lishangazi, huyo jamaa amekuwa hivyo maisha yake yote tangu 1995 wakati anashindwa na Mkapa katika mbio za uraisi ndani ya Chama. Mmeungua wengi na stress Huku yeye mkimuacha vilevile..........poleni sana. Angalia unavyozeeka nae
 
Kikwete hana busara yoyote ila ya maana, nyie Watanzania wengi mna low standards tu kwa hiyo sishangai ukimsifia ana busara.
 
Tatizo la Tanzania siyo viongozi wakuu au wanasiasa bali watumishi wa uma.
Watumishi wa uma na wa vyombo vya dola wanatakiwa wawe loyal kibinadamu na siyo kuwa na loyalty kama mbwa.
Hali hii ya uchawa au loyalty inayofanana na mbwa inawaletea viongozi na wanasiasa shida isiyo ya lazima.
Watumishi wa uma na vyombo vya dola wafanye maamuzi sahihi ya kutumia akili na haki kwa mustakabali mwema wa taifa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…