GE2025 Kikwete: Miye mzima, Afya yangu nzuri wanaoniombea mabaya watatungulia wao

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Eeh, haya mkuu!!
Kikwete aliulizwa na Bob Geldoff "Why is Tanzania poor?".

Akajibu "I don't know why is Tanzania poor".

Hapo alikuwa rais. Mtu aliyechaguliwa kutatua matatizo ya Tanzania hata hajui kinachosababisha umasikini ni nini.

Sasa busara ziko wapi hapo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…