Kikwete: Mwaka 95 walinishauri tuunde chama, nikawaambia hatutakuwa registered na Serikali

Bora angezungumzia udhaifu wake ktk urais badala ya kutueleza mambo ambayo ni past tense. Yana faida gani kwetu? Hicho ni chama chao na ufisadi wao na unafiki wao.
Kwani hayo sio past tense?
 
Jk anajua kupangilia maneno, sio Ngosha
 
Hakika, hizi ni hadithi tu.
Bora angezungumzia udhaifu wake ktk urais badala ya kutueleza mambo ambayo ni past tense. Yana faida gani kwetu? Hicho ni chama chao na ufisadi wao na unafiki wao.
 
Wala sio kumuuingiza mjini, JK alikua raisi. Aliweza kufanya kila alitakalo. Aliweza kumuondoa yoyote asiyemtaka na akafanikiwa. Raisi yoyote hapa hufanya hivyo, Hakuna Cha karata Wala kekundu. Ukiwa raisi unakua na nguvu sana
 
Akaja ndugu yangu siku moja ( yule ndugu yangu alikuwa anafanya kazi katika Chama),akaniambia,"Yule rafiki yako anaitwa nani, Kikwete?. Inaelekea anaichukua nchi!"
Mimi nikasema,"Oh!!?"
Msamiati uliokuwa unatumika ulikuwa msamiati wa kutisha sana. KUICHUKUA NCHI. KUICHUKUA NCHI ndio maana yake nini? Hayo si maneno ya kijambazi tu.
Ndio pale Mwalimu (Nyerere),went into action na Kikwete akawekwa benchi.
Lakini Kikwete akarudi tena baada ya miaka kumi AKAICHUKUA NCHI. Since then urais (Tanzania)maana yake imekuwa Ni KUICHUKUA NCHI.
Akaja Magufuli AKAICHUKUA NCHI. Sasa amekuja huyu Rais wa sasa. Niambie mwenyewe! AMEICHUKUA NCHI.
 
Bora angezungumzia udhaifu wake ktk urais badala ya kutueleza mambo ambayo ni past tense. Yana faida gani kwetu? Hicho ni chama chao na ufisadi wao na unafiki wao.
We mwehu eeh, sas huo udhaifu wake katka Urais ni FUTURE TENSE??
 
Bila koneksheni hutoboi wewe
Usikariri get your mind right please. So wote waliotoboa Ni koneksheni.
Some struggle by blood,sweat,tears and uncountable sleepless night.
Kariri Sasa na wewe unataka utuaminishe Imani yako kila mtu awe nayo kichwani mwake.maisha Ni kioo unachokiona ndicho kinachokutoka,keep on kujipendekeza wewe ili upate connection.
 
Chuki hizi, Kikwete amesomea UCHUMI anakosaje kuwa na Sifa za Kuwa waziri wa Fedha??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…