Kikwete: Mwaka 95 walinishauri tuunde chama, nikawaambia hatutakuwa registered na Serikali

Kikwete: Mwaka 95 walinishauri tuunde chama, nikawaambia hatutakuwa registered na Serikali

Bora angezungumzia udhaifu wake ktk urais badala ya kutueleza mambo ambayo ni past tense. Yana faida gani kwetu? Hicho ni chama chao na ufisadi wao na unafiki wao.
Kwani hayo sio past tense?
 
Rais wa awamu ya nne leo akiongea na kituo cha redio cha Clouds FM kwenye kutimiza miaka 72 tangu aje duniani, ameongelea uchaguzi wa ndani ya chama cha CCM mwaka 1995.

Kikwete amesema baada ya Benjamin Mkapa kuteuliwa na CCM, watu waliokuwa upande wa Jakaya Kikwete walipandwa na Jazba akiwemo mama Anna Makinda ambae alidai angelikuwepo mgombea binafsi basi wangemuunga mkono JK kuwania nafasi hiyo.

Kikwete amesema wapo waliotaka wakasajili chama kipya ili JK apeperushe bendera.

Kikwete aliwaambia 'calm down' kwani 'advantage waliyonayo umri wake bado unaruhusu kwani alikuwa na miaka 45 muda ule na miaka kumi inayofata angekuwa na 55 sawasawa na umri aliokuwa nao Mkapa 1995.

Kikwete amesema alipoomba kuzungumza kwenye mkutano wa CCM, walipata hofu.
Jk anajua kupangilia maneno, sio Ngosha
 
Hakika, hizi ni hadithi tu.
Bora angezungumzia udhaifu wake ktk urais badala ya kutueleza mambo ambayo ni past tense. Yana faida gani kwetu? Hicho ni chama chao na ufisadi wao na unafiki wao.
 
JK na SIX waliutengeneza mtandao, na JK huyo huyo akauua mtandao baada ya kutaka kumzidi nguvu, JK anakipaji cha kuchanga karata na kuzicheza akisaidiwa na kuwa kwake mtoto wa town.

Alimuingiza mjini SIX na UPM akajaa, akapozwa na Uspika akapoa, SIX akatumika kama fimbo kumchapa nywele nyeupe kupitia vijana wake pale bungeni na usajili mpya kutoka kyela, white hair akakaa huku backup yake ya burushi wa Igunga ikipigwa pin.
Mungu akurehemu huko uliko SIX vijana wako yule wa kigoma na mwingine wa koromije wapo wanaendeleza kazi uliyowafundisha japo mmoja kakengeuka na hata kumgeuka yule uliyeomba awe mentor wake matokeo yake akadandia mtumbwi uliozama ziwani.
Wala sio kumuuingiza mjini, JK alikua raisi. Aliweza kufanya kila alitakalo. Aliweza kumuondoa yoyote asiyemtaka na akafanikiwa. Raisi yoyote hapa hufanya hivyo, Hakuna Cha karata Wala kekundu. Ukiwa raisi unakua na nguvu sana
 
Akaja ndugu yangu siku moja ( yule ndugu yangu alikuwa anafanya kazi katika Chama),akaniambia,"Yule rafiki yako anaitwa nani, Kikwete?. Inaelekea anaichukua nchi!"
Mimi nikasema,"Oh!!?"
Msamiati uliokuwa unatumika ulikuwa msamiati wa kutisha sana. KUICHUKUA NCHI. KUICHUKUA NCHI ndio maana yake nini? Hayo si maneno ya kijambazi tu.
Ndio pale Mwalimu (Nyerere),went into action na Kikwete akawekwa benchi.
Lakini Kikwete akarudi tena baada ya miaka kumi AKAICHUKUA NCHI. Since then urais (Tanzania)maana yake imekuwa Ni KUICHUKUA NCHI.
Akaja Magufuli AKAICHUKUA NCHI. Sasa amekuja huyu Rais wa sasa. Niambie mwenyewe! AMEICHUKUA NCHI.
 
Bora angezungumzia udhaifu wake ktk urais badala ya kutueleza mambo ambayo ni past tense. Yana faida gani kwetu? Hicho ni chama chao na ufisadi wao na unafiki wao.
We mwehu eeh, sas huo udhaifu wake katka Urais ni FUTURE TENSE??
 
Bila koneksheni hutoboi wewe
Usikariri get your mind right please. So wote waliotoboa Ni koneksheni.
Some struggle by blood,sweat,tears and uncountable sleepless night.
Kariri Sasa na wewe unataka utuaminishe Imani yako kila mtu awe nayo kichwani mwake.maisha Ni kioo unachokiona ndicho kinachokutoka,keep on kujipendekeza wewe ili upate connection.
 
Anafanya spining political ila yote sawa ni wakati wake huu

Kikwete aseme ukweli mwinyi ndiye aliyembeba kwa kumpa wizara ya fedha mtu ambaye hakuwa na sifa

Na baadae mwinyi akamtengenezea mazingira ya krahisishia kikwete huku mwinyi akimbomoa mkapa kuptia dola

Kikwete usiumize wenzio ndani ya Chama kwasababu umebahatika
Tenda wema km ulivyotendewa

Pia kusema membe sio ndugu yako apo unatudanganya mh kikwete
Chuki hizi, Kikwete amesomea UCHUMI anakosaje kuwa na Sifa za Kuwa waziri wa Fedha??
 
Back
Top Bottom