Sophist
Platinum Member
- Mar 26, 2009
- 4,486
- 3,408
Ndugu,
Ndio kwanza narejea kutoka mkoani Kagera. Nimefika majimbo ya Nkenge, Bukoba Mjini, Bukoba Vijijini na Muleba Kaskazini. Watu nilioongea nao, wengi takribani 60% wameonyesha na kutamka wazi wazi kuwa hawatakuwa tayari kumchagua Jakaya Kikwete. Wanazo sabaabu zao; halin ngumu ya maisha, rushwa katika vituo vya afya (matibabu), elimu duni inayotolewa na shule za kata, na zaidi ya yote, kuzuiwa kuvua samaki. Wananchi wa kata za Rubafu, Katare, Kishanje, Kaagya, Buhendangabo, Ibosa, Kahororo, Maruku, Kemondo na nyinginezo, wengi wao wakiwa ni wavuvi wa asili, wanasema kitendo cha kuharamishwa kuvua samaki ndicho kimewatenga na CCM.Kikwete. wanasema, "ichweee, Kikweete chei". Sawa na madai yao, kweli ukiwaangalia unaona walivyo kongoloka kwa kukosa lishe ya samaki. Kwa nwanachi kama 30 hivi niliopata kuzungumza nao, hasa wale wa mialoni, wanasema kura zao watampigia Dr, Silaa. Kazi kwenu CHADEMA ku-seize hiyo fursa.