Kikwete na madhaifu yake yote ya kibinadamu hakufikia hii stage

Umeeleza kana kwamba marehemu wana makosa ya kukosa staha n.k... kwamba wangefungwa jela walimishwe mashamba, waachiwe....

Hivi mtu amerusha video ya msafara wa magari mia moja ya Samia ziarani Katavi, kesho yake anauliwa.

Huyo amefanya kosa gani la kumkosea staha Rais ? Economic assesment kwamba Ikulu inatapanya hela za watu maskini! Katumia video footage. Kauliwa. Deonis Kipanya. Rais kakaa kimya. Na anajua kabisa huyu kauliwa kwa saab kakosoa msafara wangu mrefu. Kimya!

Mbona wana CCM wenyewe wengi wamesema hakukuwa na sababu ya kwenda kuchukua fomu kwa mabasi na ma land cruiser na ma gharama ya kuyapaka rangi na mafuta na kulipa overtime man-hours za polisi, TISS, waajiriwa wa Halmashauri na idara nyingine kibao za umma, hela zinatapanywa pwaaa... kwa saaab zipo! Rais hana uchungu nazo... au kwa vile ni za Tanganyika!

Kujadili wasteful expenditure za serikali ni kumtukana mtu ????
 
Mkuu unaweza kunitajia mwanahakati hata mmoja kutoka Zanzibar anaeikosoa serikali?
Binafsi sijawahi kusikia au kuona mzanzibar mwenye harakati hizo.
Unataka watekwe ingali wao wapo kimya wanapambana na uchumi wao wa blue
Kwanini ni Sasa Nasio Kipindi cha Nyuma?
Wamepata Walicho kuwa wakikitaka!?
 
Andiko Bora la mwaka
 
Tunahitaji ukombozi
 
Dkt Ulimboka hakufinywa isipokuwa Mungu aliingilia kati. Huwezi unambiguous mtu vile umalize umtelekeze poring halafu useme ulikuwa unamfinya.

Kama ni hivyo basi hata Tundulisu alifinywa kwa kupigwa risasi 16

Sativa pia alifinywa kwa kupigwa risasi ya kichwa
 

1. Hivi nani walikuwa wanavamia vituo vya polisi na kuua polisi...baadae kulikuwa na matatizo kadhaa upande wa Pwani, hasa Kibiti

2. Lakini pia, kuna kitu kiliwahi kutokea huko nyuma, ila watu walimezea...ilikuwaje sijui



3. Kwani nani anayeteka watu mpaka leo sasa? Inabidi apewe shuruba
 
Wakati mnaipigania hii haki msituchanganye basi sisi tunaoperuzi kwa undani kufuatilia hizi taarifa mnatuambia Mama anaendesha nchi kwa remoti kutoka Msoga mara huyu mzee anatuharibia nchi akae pembeni sasa hivi tena imekuwa yeye ana afadhali kuweni wawazi wakuu tujue mnapigania nini
 
Nakuelewa mdau .. ila sikumaanisha kwamba hayo mambo hayakwepo lakini ndio maana nimetumia neno "Atleast" ofcourse kama ulivyosema ulimboka aliumizwa na kutaka afe ila ni Mungu wake alimwokoa ila turudi kwenye uhalisia wa wakati huo na wakati huu. Mtu anashushwa kwenye gari jua linawaka na mwangaza upo ila kesho yake asubuhi anakutwa akiwa mfu? Kweli? . Tuseme tu ukweli watawala wa Ccm naweza kuwafananisha na mkasa ulioandikwa na William Shakespeare wa MACBETH
 
Mkuu unaweza kunitajia mwanahakati hata mmoja kutoka Zanzibar anaeikosoa serikali?
Binafsi sijawahi kusikia au kuona mzanzibar mwenye harakati hizo.
Unataka watekwe ingali wao wapo kimya wanapambana na uchumi wao wa blue
Fatuma Karume? kwani kuikosoa serikali ni kosa?
 
lakini HAKUFIKIA STAGE YA KUPOTEZA WATU NA WAKAPOTEA ZII. mfano kwa Kwa case ya Dr. Ulimboka atleast walimbonyeza na kumuacha hai kama "KUMUONYA"

Mzee baba umesahau polisi walivyokuwa watemi kipindi cha awamu ya pili ya JK?

Unakumbuka mauaji ya yule mwandishi wa habari wa Iringa aliyepigwa bomu la tumbo?
 
Yeah nakumbuka sana .. lakini kwa sasa mdau rate ni kubwa as time goes by... hii hali inatisha sana. Yaani mtu kunyakuliwa na haonekani tena imekuwa order of the day.
Mzee baba umesahau polisi walivyokuwa watemi kipindi cha awamu ya pili ya JK?

Unakumbuka mauaji ya yule mwandishi wa habari wa Iringa aliyepigwa bomu la tumbo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…