PreGE2025 Kikwete: Nchi ni tulivu, mambo safi chini ya Rais Samia

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Kikwete ndiye kinara wa ufisadi, lazima asifie majizi menzake
 
Huyu mnafiki hana balls za kuzungumzia wimbi hasi la utekaji, utesaji na/au mauaji ya raia wanaoikosoa Serikali.
 
Kwa unafiki tu hawa jamaa wamejaaliwa.
 
Mungu ikupendeze kwakuwa zatosha dhihaka hizi mbele yako.
 
Kweli wabaya hawafi haraka,nimesahau wazuri ndio hawafi by Makamba
 
Siku akitekwa mwanao uje tena JF Kutuletea mrejesho
 
No reform no election
 
Mtu mzima hovyoo!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…