Hance Mtanashati
JF-Expert Member
- Sep 7, 2016
- 25,968
- 36,044
Rais Bora kashindwa kutoa tamko lolote baada ya 29/10Rais mstaafu wa awamu ya nne ndugu Jakaya Kikwete ndiye rais bora zaidi kwa hapa nchini kuliko marais wote waliopita na huyu aliyejipa urais kinguvu
Kipindi cha Kikwete maisha yalikuwa poa sana na wengi walitoboa kipindi chake.
Ila sasa mgema akisifiwa tembo hutilia maji.
Mzee amekuja kujiharibia dakika za jioniiiiii kabisa.
Siku hizi wakitajwa watu wasiopendwa na wanapewa kashfa za kila namna ni yeye , laiti kama angejikalia zake kimya na kutojihusisha na samia angejijengea heshima zaidi na angekuwa ni rais anayekumbukwa zaidi kuliko marais wote waliopita.
Nakumbuka kipindi cha Magufuli , kuna watu walikuwa wanatamani hata Kikwete arudi tena madarakani au kama inawezekana aende hata chama pinzani aje kumchallenge magufuli kwenye uchaguzi unaofuata wa nafasi ya urais.
Hii yote ilikuwa inaonesha ni namna gani alivyokuwa anapendwa.
Kwa sasa wengi hatumpendi maana ina sadikika yeye ndio yupo nyuma anaratibu kwa haya yote yanayoendelea nchini .
Nchi mpaka sasa haijapata utulivu tangu mwaka huu uanze mpaka unaelekea ukingoni na kuanzia mwezi wa 8 mpaka sasa matukio mengi ya kuogofya yanazidi kupamba moto.
Tulimpenda ila ameshindwa kulinda heshima yake.
Soma vizuri uzi , usikurupuke.Rais Bora kashindwa kutoa tamko lolote baada ya 29/10
Bora au Baya?
Una maono finyu sana wewe.Soma vizuri uzi , usikurupuke.
Mpaka sasa maiti ya JPM inaongoza kuliko walio haiRais mstaafu wa awamu ya nne ndugu Jakaya Kikwete ndiye rais bora zaidi kwa hapa nchini kuliko marais wote waliopita na huyu aliyejipa urais kinguvu
Kipindi cha Kikwete maisha yalikuwa poa sana na wengi walitoboa kipindi chake.
Ila sasa mgema akisifiwa tembo hutilia maji.
Mzee amekuja kujiharibia dakika za jioniiiiii kabisa.
Siku hizi wakitajwa watu wasiopendwa na wanapewa kashfa za kila namna ni yeye , laiti kama angejikalia zake kimya na kutojihusisha na samia angejijengea heshima zaidi na angekuwa ni rais anayekumbukwa zaidi kuliko marais wote waliopita.
Nakumbuka kipindi cha Magufuli , kuna watu walikuwa wanatamani hata Kikwete arudi tena madarakani au kama inawezekana aende hata chama pinzani aje kumchallenge magufuli kwenye uchaguzi unaofuata wa nafasi ya urais.
Hii yote ilikuwa inaonesha ni namna gani alivyokuwa anapendwa.
Kwa sasa wengi hatumpendi maana ina sadikika yeye ndio yupo nyuma anaratibu kwa haya yote yanayoendelea nchini .
Nchi mpaka sasa haijapata utulivu tangu mwaka huu uanze mpaka unaelekea ukingoni na kuanzia mwezi wa 8 mpaka sasa matukio mengi ya kuogofya yanazidi kupamba moto.
Tulimpenda ila ameshindwa kulinda heshima yake.
Yote kwa yote ila maisha yalikuwa poa sana.Uchawa ulianza enzi za JK, enzi zake ndio tulianza kushuhudia teuzi za ajabu ajabu serikalini.
Ufisadi ulitamalaki kipindi cha JK
Wewe ambaye mawazo yako sio finyu yako wapi?Una maono finyu sana wewe.
Alikuwa na mazuri yake na mabaya pia yalikuwepo.Mpaka sasa maiti ya JPM inaongoza kuliko walio hai
Hapo mwishoni umeharibu .Hakika JK is GOAT huyu ndo bingwa wa UCHUMI , ajira , n.k
Na sasa at least heshima ya wasomi imerudi sio Kama wakati wa MAGU
Maisha hayakuwa poa kwa wamachinga na mama ntilie waliokuwa wakifukazana na migambo kila siku,Yote kwa yote ila maisha yalikuwa poa sana.
Ufisadi mkubwa, watumishi hewa lakini pesa mtaani ilikuwepo na amani pia ilikuwepo.
Ubaya wake ulikuwa wapi?Hana ubora wala hakuwahi kuwa bora ni kwamba alibahatika tu kupenya hadi akawa Rais ni mtu ambaye hana nidhamu yeye binafsi na ubinafsi wa hali ya juu.
Ubora wa Magu ulikuwa wapi?Magu is a goat