Kikwete ndiye Rais bora zaidi tangu Tanganyika ipate uhuru

IMG_8106.jpeg

Dah
 
Alikuwa na mazuri yake na mabaya pia yalikuwepo.

Kipindi cha Magufuli maisha yalikuwa magumu sana hiyo haikwepeki.
Maisha magumu unauhakika..?

Mchele kilo ulikua unapata kwa buku

Nani amepeleka umeme wa REA vijijini ..?

Nani ametoa mikopo kwa watoto wa maskini..? Hapo HESLB si ilikua saccos ya matajiri kupeana mikopo..?

Nani alisimamia maji vijijini yakafika hadi kumjua huyo aweso wenu wa sasa hivi

Sio nyie mlikua mnafia kwenye mabenchi ya hospitali wakati manesi wanachat insta vipi magu alipowakazia..?

Mambo ya mbolea ya ruzuku je..?

Hayo wewe unayaita maisha magumu, kweli kazi ipo
 
Mpumbavu kweli hajifichi.

Magufuli aliteuliwa na Mkapa na Magufuli ndiye aliyekuja kuharibu nchi , Samia kaja kaharibu zaidi.
Mkapa si alimpendekeza magufuli baada ya kuona listi yote imejaa mataputapu na nchi ingedondokea kwa wapinzani
 
Huyu kwa namna moja au nyingine aliharibu nchi japo ana mazuri yake.

Nampa 60%
Inataka kuelewa ugumu wa kubadili culture ya utendaji serikalini.

Vita yake na watendaji wasiotaka kubadilika

Uhasama (chuki) na watu aliowaondolea udokozi.

Motivation strategy yake kwa vyombo vya usalama (kama hujui, afisa usalama anaetoa siri ya wizi) malipo yake ni holiday destination yoyote anayotaka kwenda duniani + plus 10% ya hela aliyeokoa.

Nyuma ya pazia Magufuli alikuwa saint, hamumjui tu namna alivyokuwa anaipenda Tanzania na ugumu wa vita yake.

Mambo mengine sio ya kuandika humu; you don’t know.

Magufuli anawasanifu tu huko mbinguni, unadhani rahisi kujitoa kwenye kupambana na wahuni.
 
Maisha magumu unauhakika..?

Mchele kilo ulikua unapata kwa buku

Nani amepeleka umeme wa REA vijijini ..?

Nani ametoa mikopo kwa watoto wa maskini..? Hapo HESLB si ilikua saccos ya matajiri kupeana mikopo..?

Nani alisimamia maji vijijini yakafika hadi kumjua huyo aweso wenu wa sasa hivi

Sio nyie mlikua mnafia kwenye mabenchi ya hospitali wakati manesi wanachat insta vipi magu alipowakazia..?

Mambo ya mbolea ya ruzuku je..?

Hayo wewe unayaita maisha magumu, kweli kazi ipo
Maisha yalikuwa magumu kipindi cha Magu , watu pesa mfukoni walikuwa hawana.

Alijitahidi kwenye miundombinu ila mzunguko wa pesa uliminywa sana.
 
Inataka kuelewa ugumu wa kubadili culture ya utendaji serikalini.

Vita yake na watendaji wasiotaka kubadilika

Uhasama (chuki) na watu aliowaondolea udokozi.

Motivation strategy yake kwa vyombo vya usalama (kama hujui, afisa usalama anaetoa siri ya wizi) malipo yake ni holiday destination yoyote anayotaka kwenda duniani + plus 10% ya hela aliyeokoa.

Nyuma ya pazia Magufuli alikuwa saint, hamumjui tu namna alivyokuwa anaipenda Tanzania na ugumu wa vita yake.

Mambo mengine sio ya kuandika humu; you don’t know.

Magufuli anawasanifu tu huko mbinguni, unadhani rahisi kujitoa kwenye kupambana na wahuni.
Amefanya mazuri kwa namna yake , hilo lipo wazi.

Ila shida kubwa pesa mtaani ilipotea.

Maisha yalikuwa magumu sana.
 
Uchumi sahihi autengenezwi na artificial sources, bali realistic ‘demand and supply’.

Na hakuna kitu kinachoharibu ‘demand and supply’ kama ufisadi.

Kazi ya kutengeneza nchi kuwa kwenye mstari ina lawama sio kidogo. Magufuli was special (god’s gift to Tanzania).

Kikwete hatoshi hata kwenye kiganja cha Magufuli, if only watanzania tungeelewa the he was god sent.

Magufuli was special, the good don’t last.
 
Amani ilianza kutoweka kipindi cha Magufuli unakumbuka hilo?
 
Ndugu ukimtukana raisi wa Tanzania anawapambe wanakushughulikia hata yeye hajui.

Magufuli alikuwa mcha mungu; wanamzushia.

You come across kama wa mjini, tafuta watu wa system wengi ni waropokaji. Tafuta pandę mbili za uongozi wa Magufuli; utapata hitimisho alikuwa ni mtu wa sina gani.

Binafsi baada ya kusikiliza pande mbili za hao watu nimejua uchungu wa Magufuli kwa Tanzania.

Ukisikiliza habari za hawa wanyofoa kucha wanayojisifia, unabaki kuheshimu privy uliyopewa kutoropoka.

Lakini ni watu wa hovyo, depend on what you hear.

Yaani kumlaumu Magufuli ni kwamba hujui tu vita yake. But that’s life
 
Watu wasiojulikana walianza awamu gani?
 
Back
Top Bottom