Kikwete ndiye Rais bora zaidi tangu Tanganyika ipate uhuru

Ukimtoa hayati Nyerere hao wengine woote mpaka bi chura
masanduku yaliwabeba

Wote ni majizi ya kura!
 
Wewe ambaye mawazo yako sio finyu yako wapi?

Ili Kikwete asiye rais bora zaidi mpaka sasa ,nani unahisi anampiku Kikwete?
Kikwete ndiye aliyefanya Tanzania ianze ku-nosedive kwenda chini. Ndiye mwazilishi wa teuzi za watu wengi wa hovyo. Ndiye aliyeshusha standard za urais. Ndiye mwanzilishi wa kujificha kwenye kivuli cha udini pale alipoona anakosolewa. Na ndiye aliyefanya uteuzi wa mgombea urais wa CCM wa 2015 utoe watu wa hovyo akiwemo huyu anaharibu nchi sasa.
 
JK na kijana wake February Marope ndio walioutunga sheria mbovu za makosa ya mtandaoni ambazo zinatesa raia mpaka leo.
 
Mpumbavu kweli hajifichi.

Magufuli aliteuliwa na Mkapa na Magufuli ndiye aliyekuja kuharibu nchi , Samia kaja kaharibu zaidi.
 



Kitambo nilikuwa na MASHAKA kwamba wewe sio MZIMA,ila leo ndio NIMETHIBITISHA kwa asilimia zote
 
Moderators mnakubaliana na hii hali matusi kama haya ya rejareja /dhihaka kama hizi? Je miongozo yenu inaruhusu hii?

Moderator Paw Payge Cookie Fang Active Panel Principled Innovator YinYang Wand BlackBold Zenora Xyln Reviser Refiner Maxence Melo


Angalia sasa mtu anavyo panick hapa,najua ni vigumu sana kukubaliana na UKWELI hasa unapokuwa mchungu,ila ni vyema ukajifunza kupokea ukosoaji kwa namna ile ile unayozipokea sifa na si kukimbilia kulia lia kwa moderators
 
Faki that sonofabitch!
 
Angalia sasa mtu anavyo panick hapa,najua ni vigumu sana kukubaliana na UKWELI hasa unapokuwa mchungu,ila ni vyema ukajifunza kupokea ukosoaji kwa namna ile ile unayozipokea sifa na si kukimbilia kulia lia kwa moderators
Umejiunga JF ili uje utukane watu usiowajua?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…